MITIMINGI # 186 MWANAMKE ANAHITAJI MATUNZO - JE, KWA NINI NI MUHIMU KUMTUNZA MKEO?
0
0
3 Views·
10 August 2023
Wanawake wengi sana walio kwenye ndoa, Mahitaji yao Muhimu wanajigharamikia wenyewe. Jukumu kubwa alilopewa mwanaume ni Kutunza Familia (Mke). Katika kitabu cha 1 Wafalme 2. B. Maandiko yanamuhasa mwanaume kuhusu kutunza familia. "Basi uwe hodari ujionyeshe kuwa Mwanamume". Usipomtunza mkeo nani atakutunzia? Challenge.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologists +255 713 18 39 39
Show more
0 Comments
sort Sort By