MITIMINGI # 218 NI AIBU KWA MWANAMKE KUWA MCHAFU - TAMAA YA MWANAUME IPO KWENYE MACHO
0
0
4 Lượt xem·
10 Tháng tám 2023
Trong
Người và Blog
Mwanaume Tamaa yake ipo kwenye macho, Aone ndio avutwe. WAMAMA wengi wakiwa nyumbani kwao hawapendezi, hawawavutii waume zao. Hii inapelekea wanaume wengi kuwakinai wake zao. WAKIENDA NJE, Wanavutiwa na wanawake wa nje. Ni vyema mwanamke ukawa msafi wakati wote USAFI WA NJE na USAFI WA NDANI.
Mch na Mwl Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist (Speaking at Kitchen Party of BETH) +255 713 18 39 39.
Cho xem nhiều hơn
0 Bình luận
sort Sắp xếp theo