MITIMINGI # 243 TENDO LA NDOA SIO KIPIMO CHA UPENDO WA KWELI
0
0
3 ビュー·
10 8月 2023
の
人とブログ
Mwanamke anaweza kutoa Tendo la ndoa kwa vigezo vingi, aidha anaweza akatoa tendo la ndoa ili apate pesa, mali N.K.
Ni muhimu kwa mwanaume unayetaka kuoa kuchunguza vigezo sahihi, Ukiona mwanamke anakupa Tendo la ndoa na haujaoa, kimbia huyo ni KIMEO-
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え