MITIMINGI # 244 UNAPOTAKA KUOA/KUOLEWA ANGALIA MTU ATAKAEKUVUTIA WEWE KIROHO NA KIMWILI
0
0
4 Views·
10 August 2023
Our God is God of Balance - Mara nyingi vijana wanakumbwa na changamoto pale wanapohitaji kuoa/Kuolewa. Wanasukumwa na baadhi ya vitu tu, vya Rohoni, na kuacha vya mwilini.
Ushauri ni kwamba vijana mnapotaka kuoa/kuolewa unatakiwa ubalance mwili na roho, kwa maana hauendi kuishi na roho mtakatifu bali unaishi na mwili halisi.
Mwisho wa Somo hili - Mwanzo wa somo lingine, ikiwa una shida ya Ushauri wa mahusiano ya wanandoa, wachumba, biashara, N.K. wasiliana nami kwa ... number +255 713 18 39 39
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist
Show more
0 Comments
sort Sort By