Inayofuata

MITIMINGI # 374 JIFUNZE KUPANGA MATUMIZI YAKO YA FEDHA HATA KAMA KIPATO NI KIDOGO

2 Kutazamwa· 10 Agosti 2023
proshabo
proshabo
5 Wanafuatilia
5
katika Watu na Blogu

Watu wengi sana wameshindwa kufanikiwa kwa sababu hawapangi matumizi ya fedha zao, wakidai kwamba wakianza kufanikiwa ndipo wataanza kupanga Budget. Kanuni ya kufanikiwa kiuchumi inasema JIFUNZE KUPANGA MAYUMIZI YA FEDHA ZAKO KWA KIPATO KILE KILE ULICHONACHO NA UTAFANIKIWA.

SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA

By. Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

Onyesha zaidi

 0 Maoni sort   Pangilia kwa


Inayofuata