MITIMINGI # 681 WANANDOA KUSHINDWA KUSHIRIKIANA KITANDA AU CHUMBA CHA KULALA HUCHANGIA USALITI
0
0
3 Bekeken·
10 Augustus 2023
Raha ya ndoa ni kushirikiana na kuwa kitu kimoja. Pale wanandoa wanaposhindwa kushirikiana Kitanda kimoja hubomoa ile Bond baina ya Mume na mke.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
Laat meer zien
0 Comments
sort Sorteer op