MSIKIENI YEYE #1 | TAFSIRI YA MSAMIATI WA KUSIKIA | ASKOFU SYLVESTER GAMANYWA
0
0
1 Views·
06 August 2023
MSIKIENI YEYE.” (MT.17)
TAFSIRI YA MSAMIATI WA KUSIKIA
Msikieni (akoúō) kusikiliza fundisho au kumsikiliza mwalimu
²Kusikia (kusikiliza) sauti ya mungu ambako huzalisha imani ndani ya mwenye kusikiliza. “Na mtu asipowakaribisha wala kuyasikiliza maneno yenu, mtokapo katika nyumba ile, au mji ule, kung’uteni mavumbi ya miguuni mwenu. Amin, nawaambia, itakuwa rahisi nchi ya Sodoma na Gomora kustahimili adhabu ya siku ya hukumu, kuliko mji ule.” (MT.10:14)
Show more
0 Comments
sort Sort By