MUNGU - Godwin Ombeni Ft. Fanuel Sedekia.
0
0
2 Kutazamwa·
02 Agosti 2023
katika
Nyimbo za Injili
Mungu ni wimbo mojawapo ya nyimbo katika Album yangu ya Pili iitwayo NIMEKUBALI. Album hii (Audio) niliimba na Rafiki yangu Fanuel Sedekia; Ndiye aliyenitia moyo kwenda Studio kwa mara ya pili.
#GodwinOmbeni#MUNGU#
Onyesha zaidi
0 Maoni
sort Pangilia kwa