Inayofuata

MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE: SEMINA YA VIJANA DAR ES SALAAM, JUNE 2022.

2 Kutazamwa· 06 Agosti 2023
proshabo
proshabo
5 Wanafuatilia
5

Mwl. Christopher Mwakasege, anakukaribisha ufanye Maombi haya juu ya vijana, Maombi ya Kuokoka na kukata KITOVU cha Kiroho na kutangua Maagano na Viapo Kwenye Maisha Yako na mahali vilipotokea.
Maombi haya ni matokeo ya Semina ya vijana iliyofanyika Dar es salaam june 2022.

Onyesha zaidi

 0 Maoni sort   Pangilia kwa


Inayofuata