PUMII - Njia za kushinda dhambi za zinaa, tamaa nk. (KISWAHILI)
PUMII- Pure Mind ni initiative au kikundi cha kampeni chaa kuelimisha na kusaidia watu wenye mahitaji ya aina tofauti, ikiwemo counselling kwa watu wenye matatizo kama stress, depression nk.
Lakini kubwa zaidi tunashugulika na kuwasaidia watu wenye uraibu mbali mbali kama vile dawa za kulevya na haswa wanaoteshwa na tabia chafu kama tamaa, zinaa, kujizini, filamu chafu, ndoto chafu nk.
Ikiwa wewe ni mtu unayeamini au unatamani / ungependa kuishi katika usafi wa mawazo na ufahamu, kuacha, kushinda au kujiepusha na maisha ya uasherati na mawazo machafu ya zinaa. Uko huru kujiunga na kikundi hiki cha umma, ambapo utasikia mambo yatakayokusaidia kuendelea kuishi maisha safi kama hayo au mambo ambayo yatakusaidia kutoka katika uraibu wowote ikiwa ni pamoja na dawa za kulevya, dhambi za zinaa, mawazo machafu nk.
Tunapatikana kwenye mitandao ya whatsapp na Facebook
WhatApp: https://chat.whatsapp.com/BuyQVrLO2ZK8F0VbLzZQxv
Facebook; https://www.facebook.com/groups/5485706061489310
Tunaamini katika kuja kuwa na ulimwengu safi usio wa zinaa na shida zingine za maisha haya.