Video Player
00:00
00:00
Quran inasema Yesu ni Mungu - Sifa Saba za Yesu kutoka Quran. - 4
0
0
4 ビュー·
10 8月 2023
Katika Kurani, Muhammad anathibitisha kwamba Yesu ni neno la Mwenyezi Mungu akinakili maneno ya utangulizi wa injili ya Yohana. Yesu pia ndiye mtu pekee katika Kurani aliyepewa cheo cha Masihi. Asili yake ya kiroho na ya milele inasisitizwa na maneno yanayoelezea harakati zake ndani ya tumbo la mamake Mariamu. Hizi ni baadhi ya sehemu za kuvutia na kukiri kwa Qur'an kwamba Yesu ni Mungu. Tazama Al Fadi na Ndugu Sam wakifichua kauli hizi za kushangaza kuhusu uungu wa Yesu Kristo katika Kurani.
Video katika lugha ya Kiingereza inapatikana hapa
@https://youtu.be/NbceatcJs9A
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え