SAYANSI YA KUSHINDA DHAMBI-SEH 1,TATIZO
0
0
2 Views·
06 August 2023
Kwanini somo la jinsi ya kushinda dhambi halisikiki ? Kwasababu wengi hawaamini kwamba yawezekana kushinda dhambi, kwasababu hiyo wengi hawataenda mbinguni kwa kukukosa imani iletayo ushindi dhidi ya dhambi.
Kwa wengi uzoefu wa kupambana na dhambi umekua ni kuungama na kurudia kutenda dhambi,kuungama na kurudia dhambi kamwe hawajapata uzoefu wa kuungama na kushinda dhambi. Mfululizo wa masomo haya huangazia ni nini chapaswa kufanyika ili kuondokana na uzoefu wa kuirudia dhambi na badala yake kuweza kusihinda dhambi.
Show more
0 Comments
sort Sort By