TENZI ZA ROHONI. JOSEPH NYUKI AAMUA KUELEZEA MAPOKEO YA NYIMBO ZA TENZI KWA WATANZANIA.
0
0
2 Lượt xem·
01 Tháng 9 2023
Trong
Âm nhạc
Aweka wazi kuwa ni nyimbo zenye upako wa namna yake.
Msikilize hadi mwisho kama unavyojua kuwa amemtumikia Mungu kwa kadri ya alivyowezeshwa naye tangu miaka kadhaa iliyopita.
Hivi ndivyo asemavyo......
Cho xem nhiều hơn
0 Bình luận
sort Sắp xếp theo