Usimuige Mbuzu.

4 ビュー· 01 8月 2023
proshabo
proshabo
5 加入者
5
Sermons

Wimbo huu umeimbwa na muimbaji mahiri sana wa kitanzania, ndugu jangalason. Hivyo pia nimeshindwa kujizuia kuweza kusambaza wimbo huu nanyi ili kwa umakini tujifunze yaliyomo ndani ya wimbo huu maana ni wimbo unaogusa na kufundisha sana.

Bwana awabariki wote.

もっと見せる

 0 コメント sort   並び替え