#USIPITWE JUMAPILI HII BCIC MBEZI BEACH - Askofu Sylvester Gamanywa
0
0
2 Views·
06 August 2023
USIPITWE JUMAPILI HII BCIC MBEZI BEACH.
Askofu Sylvester Gamanywa atahitimisha semina ya tabia ya uungu inayajulika kama tunda la Roho, ikiwa ni wiki ya tisa, na Jumapili hii ni sehemu ya tisa ambayo ni tabia ya uungu ya tisa "TABIA YA KIASI"
Usikose Jumapili hii kwenye ibada kuazaia saa 5:00 asubuhi hadi saa 8:00mchana, Ni BCIC Mbezi Beach Jogoo, Dar es Salaam. Watu wote mnakaribishwa bila kujali dini. #USIPITWE JUMAPILI HII.
Show more
0 Comments
sort Sort By