Tiếp theo

Wokovu part 1A

3 Lượt xem· 19 Tháng tám 2023
proshabo
proshabo
5 Người đăng ký
5

WOKOVU
Efeso 2:1-6
Nanyi mlikuwa wafu kwasababu ya makosa na dambi zenu ambazo mliziendea zamani kwa kufuata kawaida ya ulimwengu huu na kwa kumfuata mfalme wa uwezo wa anga roho Yule atendae kazi saba katika wana wa kuasi. Ambazo zamani sis sote nasi tulienenda kati yao katika tamaa za miili tuliyoyatimiza mapenzi ya mwili na ya nia tukawa kwa tabia yetu watoto wa hasira kama na hao wengine.
WOKOVU SOMO
Ufunuo 2:11
Yeye aliye na sikio na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia maknisa yeye ashindae hatapatikana na madhara ya mauti ya pili.
Ufunuo 20:5-6
Hao wafu waliosalia hawakuwa hata itimie ile miaka elfu. Huo ndio ufufuo wa kwanza Heri na mtakatifu ni yeye aliye na sehemu katika ufufuo wa kwanza juu ya hao mauti ya pili haina nguvu bali watakuwa makuhani wa Mungu na Wakristo nao watatawala pamoja naye hiyo miaka elfu
Ufunuo 20:14
Mauti na kuzimu zikatupwa katika lile ziwa la moto.Hii ndiyo mauti ya pili yaani ziwa la Moto
Ufunuo 20:8
Naye atatoka kuwadanganya mataifa walio katika pembe nne za nchi Gogu na Magogukuwakusanya kw vita ambao hesabu yao ni kama mchanga wa bahari

Cho xem nhiều hơn

 0 Bình luận sort   Sắp xếp theo


Tiếp theo