Bible Teachings
NYIMBO KALI ZA INJILI, UTAMBULISHO WA HADASSA TV
ANGALIA SEHEMU YA PILI
MAMBO HAYA YATAKUTOA KWENYE SHIDA YOYOTE#2
https://youtu.be/p8XU7aSUgmM
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/revdanielmgogo/
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
KAMA HUMUAMINI MASANJA SIKILIZA MAHUBIRI HAYA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
Karibu Kanisani Free church siku za ibada ni
Jumatano saa9 -12 jioni
Ijumaa saa 9-12 jioni
JUMAPILI IBADA INAANZA SA4 MPKA SAA8 MCHANA
Kwa maombi / maombezi au jinsi ya kufika kanisani tupigie kwa namba
+255 713 855 855 MUNGU AKUBARIKI
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Nataka Niwe Na Wewe · Jennifer Mgendi
Nataka Niwe Na Wewe
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2012-10-31
Auto-generated by YouTube.
Karibu sana kwenye Channel yetu ya J & R Chat . Leo tumepata bahati ya kuwa na maongezi na dada yetu mtumishi wa Mungu na muimbaji wa nyimbo za injili dada Jennifer Mgendi. Karibu usikilize na kuwatumia na wengine
Tunaomba uangalie, u- subscribe , share , comment and like . Ubarikiwe sana ❤️❤️
Muimbaji wa nyimbo za injili ajulikanae kama Jennifer Mgendi amekuja kivingine kwa msimu huu kwa nyimbo yake mpya hii
Subscribe to Magiks Films here: https://bit.ly/2UUL3om
Jennifer Mgendi Chai Moto Part 3
#MagiksFilms #Toptentrending# SwahiliCinema #KenyaTop Gospelvideos #kigoocoHit # KikuyuWorship#SwahiliWorship
Magiks Films, Magic, Magik, Magiks, Kikuyu Gospel Music, Kenyan Music, Bongo Movies, Bongo Comedy, Movie, Music, Bongo Flava, Kikuyu, Movies, Kenyan Movies, The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Subscribe to Magiks Films here: https://bit.ly/2UUL3om
Jennifer Mgendi Mama Mkwe Part 2
WATCH PART 3 HEREhttps://www.youtube.com/edit?ar=2&o=U&video_id=n6s0YVRvhuE
#MagiksFilms #Toptentrending# #SwahiliCinema #Mamamkwe #kigoocoHit # KikuyuWorship#SwahiliWorship
Magiks Films, Magic, Magik, Magiks, Kikuyu Gospel Music, Kenyan Music, Bongo Movies, Bongo Comedy, Movie, Music, Bongo Flava, Kikuyu, Movies, Kenyan Movies, The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Subscribe to Magiks Films here: https://bit.ly/2UUL3om
Jennifer Mgendi Mama Mkwe Part 3
WATCH PART 4 HEREhttps://www.youtube.com/edit?ar=2&o=U&video_id=pfHCrmiqfwI
#MagiksFilms #Toptentrending#SwahiliCinema #Jennifermgendi #kigoocoHit # KikuyuWorship#SwahiliWorship
Magiks Films, Magic, Magik, Magiks, Kikuyu Gospel Music, Kenyan Music, Bongo Movies, Bongo Comedy, Movie, Music, Bongo Flava, Kikuyu, Movies, Kenyan Movies, The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
Jennifer Mgendi singing "Nalia" live at Mbagala KKKT Church
Bahati Bukuku & Jennifer Mgendi Nipo Studio Pt 2
Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music: filamu za bongo: filamu za jennifer mgendi: bahati bukuku: jenniffer mgendi: jennifer mgendi brand new 2016: jennifer mgendi latest: jennifer mgendi 2016: Bahati Bukuku & Jennifer Mgendi Nipo Studio: bahati bukuku new music 2016: bahati bukuku new music 2017: bahati bukuku latest
Afikishwa Polisi kisa Wimbo wa Jennifer Mgendi
#tuliamoyo #jennifermgendi #music
Jennifer Mgendi - Tulia Moyo Video
Provided to YouTube by Jennifer Mgendi
Kuna Mji Mzuri · Jennifer Mgendi · Jennifer Mgendi · Jennifer Mgendi
Kuna Mji Mzuri
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2016-02-15
Auto-generated by YouTube.
Fumbua Macho Official Video
2005 Audio by Sam Malonja.
Jennifer Mgendi Unifundishe Kusifu Official Video
#Mgendi #M-pesa255745432392
SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANNEL!!!
Freie Christengemeinde: From Faith To Faith To The Nations
Visit our Website: www.fffnations.com
Hope and Faith For All Nations Bible School: www.hfnations.com
Email: info@fffnations.de
Singer: Jennifer Mgendi Mwimbaji
Language: English / German
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Pokea Sifa · Jennifer Mgendi
Pokea Sifa
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2013-09-05
Auto-generated by YouTube.
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Mimi Ni Wako · Jennifer Mgendi
Mimi Ni Wako
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2013-09-05
Auto-generated by YouTube.
SUBSCRIBE TO OUR YOUTUBE CHANNEL!!!
Freie Christengemeinde: From Faith To Faith To The Nations
Visit our Website: www.fffnations.com
Hope and Faith For All Nations Bible School: www.hfnations.com
Email: info@fffnations.de
Singer: Jennifer Mgendi Mwimbaji
Language: English / German
#HUZUNI KIFO CHA MUME WA JENNIFER MGENDI CHAIBUA SIMANZI UPYA 😭, AONGEA UJUMBE MZITO KWA WAJANE WOTE
#mgendi #jennifermgendi #rip #kifo #gospelmusic
Leo Ni miaka mitatu tangu rafiki yangu, mume wangu Dr Job Chaula apumzishwe na Bwana . Nimeshalia sana, nimeshamlaumu Mungu sana (na kutubu) Ila Kwa kuwa Bwana ananiimarisha nami naona niwaimarishe wengine kidogo kwa haya machache kati ya mengi niliyojifunza mimi binafsi, na niliyojifunza kwa wajane wengine, labda yatamfaa mjane mmoja au mtu mwingine yeyote...
1. NI MSALABA WAKO
Hiki ni kikombe chako ulichopewa kukinywea wewe. Haitawezekana kunywewa na mwingine na kupata uchungu unaoupata. Unayemsimulia au kutaka ashiriki maumivu yako unaweza kumlaumu bure kwa kutojali kumbe si kikombe chake. Hata mjane mwenzio anaweza asihisi maumivu unayosikia kutegemea pia yeye na mwenzi wake waliishije na muda gani umepita tangu afiwe. Kwa hiyo siku zote jitahidi sana ujane wako upambane nao mwenyewe tu na wale ambao Mungu atawagusa wao binafsi. Mwanzoni unatamani uongee na kila mtu labda akufariji nilikuja kugundua wengi unawaboa hasa ambao hawajapitia mtafute mjane mwenzio umsimulie wengine hawakuelewi sana na sio kosa lao.
2. USILAZIMISHE KURUKA HATUA ZA MAOMBOLEZO
Wataalamu wa mambo ya akili wanasema maombolezo ya kufiwa yana hatua 5, Kukataa, hasira, kutafuta mapatano Msongo wa mawazo, kukubali. Acha muda ukuvushe vipindi vyote hivi wengine itawachukua muda mfupi wengine mrefu kutegemeana. Amini tu baada ya muda fulani utaaanza kuwa sawa. Usilazimishe kujisikia ambavyo hujisikii we mwombe tu Mungu akuvushe salama.
3. HUZUNI HAIISHI ILA JIHAHIDI KUIPOTEZEA
Ni kweli maumivu ya mwaka wa kwanza hayalingani na ya mwaka wa pili lakini huzuni haiishi. Ukipita maeneo mliyokuwa mnapita na mwenzako unakumbuka, ukienda kanisani ukitazama alipokuwa anakaa unakumbuka, ukiwatazama watoto unakumbuka unahuzunika, ukiwaona marafiki zake unahuzunika, ukiona njiani matunda aliyokuwa anayapenda unahuzunika, ukiingia chumbani unahuzunika, ukipata hela unahuzunika (angekuwepo tungefurahi wote) ukikosa unahuzunika (angekuwepo angenipa), ukisikia kitu cha kufurahisha angekuwepo ningemwambia, cha kuumiza angekuwepo angenifariji....hakuna muda ambao moyo hutulia.... Ni kipindi kitapita.
4. WATU WAKO WATABADILIKA
Marafiki ambao mlikuwa nao na mumeo kwa namna moja au nyingine hamtakuwa na ukaribu sana kama zamani (hawakuchukii bali ipo hivyo tu). Hata wale marafiki wanandoa 'couples' ambao mlikuwa karibu sana huo ukaribu utakufa au kubaki umeshikiliwa na uzi mwembamba na si kwa ubaya. Unatakiwa kuwa na hekima usilazimishe urafiki maana tayari hamuwezi kuwa watatu kama mlikuwa mnaenda 'outing' pamoja au kutembeleana fahamu haitawezekana tena kuwa tu mwelewa. Ila Mungu atainua watu wengine kabisa wa kuambatana nao na kwa sehemu kubwa watakuwa wajane wenzako, masingle mothers, na wale watu wako ambao kweli ni wako wanakupenda haswa haswa.
5.ZINGATIA AFYA YAKO
Baada ya mwenzako kuondoka, asilimia kubwa hupatwa na magonjwa mbali mbali kutokana na huzuni , kushindwa kula vizuri, kukaa muda mrefu bila kutembea kwani muda mwingi umekaa tu sehemu moja (kipindi cha maombolezo), mashambulizi katika ulimwengu wa roho.
6. HESHIMA KWAKO ITAPUNGUA
Kwa wale waliokuwa wanaheshimiwa sababu ya nafasi za waume zao basi dharau huanza na watu kukupuuza kwa kuwa waliyekuwa wanamheshimu hayupo tena.... Litarajie Hilo na lisikupe shida. Ulikuwa unapokelewa mkoba "Mama Mheshimiwa, Mama Askofu, Mama Mkurugenzi, Shemeji, Madam, Wifi... " unasalimiwa salimiwa hayo yatatoweka taratibu au ghafla kutegemea pia uhusiano uliokuwa nao na watu enzi za uhai wa mzee.
7. WATU KUKUKWEPA
Baadhi ya watu watakukwepa wakiogopa utawaeleza matatizo mbalimbali mara "tumepungukiwa hiki, watoto wamefukuzwa ada, tumeishiwa kodi... nk Mwombe sana Mungu akupe hekima katika hili Mungu akupe uwezo wa kupata kakipato kako hata kadogo. Jitahidi kuanza shughuli za kukuingizia kipato mapema tena jilazimishe tu.
8. KUBALI MATOKEO
Kubali matokeo kuwa yashatokea basi hakuna jinsi ni kukubaliana na hali halisi. Uchumi utabadilika, maisha yatabadilika, nk yakubali kuwa ndiyo mapemzi ya Mungu kwako kwa wakati huo.
9. PUUZA MANENO
Maneno huwa mengi sana kipindi cha mwanzo ya kukatisha tamaa, ukifanya kazi wengine watasema huna uchungu ulitakiwa ukae kwanza kuomboleza, ukikaa uomboleze halafu uanze kuwaomba misaada watasema wewe mvivu unawalemea, utasingiziwa na kuzushiwa, utapendwa na wengine na kuchukiwa na wengine nk. Ni kipindi cha aibu na kuhisi kama watu wanakucheka au kukuzomea ni kipindi tu kitapita.
10.USIKAE PEKE YAKO
Kipindi cha mwanzoni ni kigumu sana jitahidi sana usikae peke yako kwani unakuwa na hofu na huzuni nyingi. Jilazimishe kujichanganya na watu inasaidia sana ingawa ni ngumu unatamani ukae peke yako ulie tu. Kajiunge na kwaya, au anza kuhudhuria vikundi vya kinamama wenzio unapoabudu na kwingineko inasaidia sana.
MUNGU AKUBARIKI SANA
USISAHAU KU SUBSCRIBE
JENIFA MGENDI:AFUNGUKA KWANINI AZEEKI/VIDEO CHAFU NDIO ZAMBI KUIGIZA! NASI MASANJA TV TUPIGIE SASA KWA NAMBA 0712329490
SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates:
👇 👇
https://www.youtube.com/channe....l/UCmKRCC5AXn1Hb0ClJ
Juliet Mhina Umenipa Tabasamu 2019 Production
Jenifa Mgendi akiimba katika harusi ya mdogo wake Augustin Mgendi
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Fumbua Macho · Jennifer Mgendi
Fumbua Macho
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2013-09-05
Auto-generated by YouTube.
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Nitasubili Fadhili · Jennifer Mgendi
Nitasubili Fadhili
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2012-10-31
Auto-generated by YouTube.
MAMA WAKAMBO....ni filamu ambayo inaelezea maisha ya ndugu wa wawili mbayu na Salima baada ya kifo cha wazazi baba na mama yao waliishi kwa mateso na manyanyaso makubwa mno kutoka kwa mama yao mkubwa mpaka kufukuzwa nyumbani kwao na kulelewa na mlevi baada yakusoma na tayari wameshakuwa watu wazima wanafahamu ukweli wa vifo vya wazazi wao vilisababishwa na mama yao mkubwa kutokana na tamaa ya mali.Je nini kitatokea ni maamuzi gani watachukua ndugu hawa wawili dhidi ya mama yao mkubwa na wakati huo mama mkubwa maisha yake ya meharibika anasumbuliwa na maradhi na msaada peke ni mbayu na salima ambao wameshafahamu muhusika wa vifo vya wazazi wao ni yeye mama mkubwa...fuatilia mkasa huu wakuelimisha na kuonya.
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Yote Namtolea Yesu · Jennifer Mgendi
Yote Namtolea Yesu
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2012-10-31
Auto-generated by YouTube.
BREAKING: MUME wa JENIFFER MGENDI AFARIKI DUNIA, ni MHADHIRI wa CHUO KIKUU cha ARDHI..
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt. Job Asheri Chaula amefariki dunia leo Ijumaa, Mei 8, 2020, asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Uongozi wa Chuo Kikuu Ardhi umetangaza msiba wa Mhadhiri wake katika skuli ya Earth Sciences, Real Estate, Business and Informatics (SERBI), Dkt. Job Asheri Chaula kilichotokea leo katika hospitali kuu ya Taifa Muhimbili.
Dkt. Chaula alikuwa mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Tanzania, Jenifer Mgendi ambaye walifunga ndoa mwaka 1998 na kubarikiwa kupata watoto watatu (Jotham, Jeftah na Joan).
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
iOS:https://apple.co/38HjiCx
VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline
JE, NA WEWE UNA HABARI?
WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
OUR PLAYLIST:
HABARI MPYA DAILY: http:shorturl.at/lNOZ2
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
+44 7388 915381 Joyce Malima
MAGGIE MULIRI /TAMASHA YA KUABUDU/KWA APOSTLE P.K.E / +255713075013/+255766780580 / SUBSCRIBE NOW
Provided to YouTube by Jennifer Mgendi
Twendeni Sayuni · Jennifer Mgendi · Jennifer Mgendi · Jennifer Mgendi
Kuna Mji Mzuri
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2016-02-15
Auto-generated by YouTube.
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Chombo Cha Sifa · Jennifer Mgendi
Chombo Cha Sifa
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2012-10-31
Auto-generated by YouTube.
Provided to YouTube by YouTube CSV2DDEX
Mambo Yote Ni Ubatili · Jennifer Mgendi
Mambo Yote Ni Ubatili
℗ Jennifer Mgendi
Released on: 2013-08-28
Auto-generated by YouTube.