Bible Teachings
IFB 250623_Mambo yasiyompa mtu uzima wa milele (Wokovu Part 2)
Josse Kash performing "Uzima wa Milele" from Mathew16:26
Audio: by Kish
Email: jossekash@gmail.com
Facebook: https://www.facebook.com/josse.kash
FUNDISHO la KIBIBLIA NI LIPI
Uzima tunao ni katika bwana Yesu,ni kwake tumaini letu, tuki acha maisha yetu ya ongozwe naye, ni hapo tuta tiwa nguvu yaku songa mbele na ku endeleya mbele kwenye safari yetu ya kwenda mbinguni, tubarikiwe pamoja na hiloujumbe, ila ukisha barikiwa mubariki mwenzio pia kwa ku share iyo mwimbo. Mungu awa bariki
retrouvez nous egalement sur; instagram et sur Facebook David kadesi
https://www.instagram.com/accounts/edit/
Katika maisha ya hapa chini ya jua, inafaa kuwa na matamanio yakuongozwa nae Yesu Kristo
cover by Director BK Elia under KY PRO
The official music video for Kyampisi Children's Choir performing 'Yesu Ni Wangu' (Jesus is Mine) in Kyampisi village.
iweni makini na mafundisho potovu ya Kunena kwa lugha
Powerful Worship
1. Nina uzima wa milele, na tumaini ni imara, mbinguni nitaona Yesu, Mwokozi wangu kwa furaha.
2.Nina urithi bora huko unaolindwa hata mwisho. Na kila siku ya jaribu natiwa nguvu naye Baba.
3.Namshukuru Mungu wangu! Ananitunza siku zote katika shida na taabu, kwa hiyo sisumbuki tena.
4. Rohoni mwangu ni amani, naimba kwa furaha kubwa. Nikiongozwa naye Yesu naendelea kwa salama.
5. E’ Bwana Yesu, unifunze ku’tumikia wewe vema wakati ubakio tena wa mwendo wangu dunianai!
Nils Frykman, 1883
#Nyimbozawokovu
Dine with The King Annual dinner concert is an event hosted by Minister David Kasika with his team The Gospel Kings Band International where people come to eat, network and above all Worship Almighty God.
this is the 8th edition
get blessed with this song YESU WA UZIMA featuring Florence Andenyi/Pacific Banji/Naema Murundi/Neema Mpova/Monica Muli/Steve Omodecx.
Live Audio by Anthem records (Paul Loni)
Video by DC UTAWALA media
watch official video Yesu wa uzima here👇🏻👇🏻👇🏻
https://youtu.be/P_QGn8SD-7s
for support and partnership: +254 724 876 553
kasikadavid@gmail.com
#davidkasika
#Anthemrecords
#Gospelkingsbandintl
#DinewiththeKing2022
Description
Papa Henri He has served God with his beautiful singing ❤Love this song
Sebene kali
KMK Queens, wanawakaribisha kuitazama video hii yenye jina la 'NITAWAPA UZIMA'
KMK Queens ni kina dada 14 ambao ni tunda la kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi - DSM ambao wanatumia karama zao katika kumsifu na kumtukuza Mungu.
Hii ni Album yao ya Kwanza wakiwa wameimba sauti zote nne peke yao bila kuwa na sauti za kiume. Usikose kuinunu DVD hii usikilize na kutazama kazi hii.
'NITAWAPA UZIMA' Utunzi wake Musa Charles Mabogo, ndio wimbo uliobeba jina la album yao yenye nyimbo tisa.
KMK Queens, pia wanakaribisha wale wote ambao wangependa kuwa wasambazaji wa kazi hii kufanya mawasiliano nao kupitia namba zilizopo hapa chini.
Wasiliana nao kupitia +255 620 884 852 / +255 719 616 698 / +255 756 937 970 / +255 785 794 452
#kwayakatoliki
Somo: KIBALI toka Ibadani na Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, EFATHA MINISTRY.
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/revdanielmgogo/
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Askofu Antony Lusekelo ni kiongozi wa kiroho mwenye ushawishi na maono. Yeye ndiye mwanzilishi na mchungaji mwandamizi wa kanisa la Tutashinda.
Watazamaji zaidi ya million 5 hutazama jumbe zake za kutia moyo kila wiki kupitia runinga ya channel ten na zaidi ya watu milioni 1.7 wanaungana na Mzee wa upako kupitia majukwaa yake ya mitandao ya kijamii ulimwenguni.
Mzee wa upako anaweza kusikika 24/7 kwenye channel zake za Youtube Mzee wa upako na TUTASHINDA CHURCH. Ungana na Askofu Antony Lusekelo kwenye Instagram Mzeewaupakotz.
Luka 11:2 Akawaambia, Msalipo, semeni, Baba [yetu uliye mbinguni], Jina lako litakaswe, Ufalme wako uje, [Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.] And he said unto them, When ye pray, say, Our Father which art in heaven, Hallowed be thy name. Thy kingdom come. Thy will be done, as in heaven, so in earth.
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/revdanielmgogo/
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/revdanielmgogo/
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
https://youtu.be/4tGDp5zuyoI
Siku za Nuhu 1. https://youtu.be/8eTu5Paf09Q
Siku za Nuhu 2. https://youtu.be/ojCz1iszDT4
Hatari za siku za mwisho . https://youtu.be/uK382-H4pzw
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Created by InShot:https://inshotapp.page.link/YTShare
MAHUBIRI YA APOSTLE DASTAN MABOYA KATIKA KONGAMANO LA MIUJIZA NA UPONYAJI LILIFANYIKA MKOANI TABORA
USIACHE KU COMMENT PALE AMBAPO UMEBARIKIWA AU KUTENDEWA MUUJIZA NA MUNGU