Bible Teachings

proshabo
3 Views · 1 year ago

Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com

Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:

Youtube: http://www.youtube.com/c/RGCMTV​
Facebook: https://www.facebook.com/rgcministry
Instagram: https://www.instagram.com/rgcministry
Twitter:https://twitter.com/rgcm_ministry
TikTok:https://www.tiktok.com/@rgcministry
Online Radio:http://rgcministry.ezyro.com/?i=1

SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544

CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA. MUNGU AKUBARIKI SANA.

proshabo
1 Views · 1 year ago

1Yohana 1:5-10
Ujumbe ndiyo huo 5a
Mungu ni Nuru hana Giza 5b
Watu wa giza 6
Watu wa Nuru 7
Kudai hatuna dhambi n ikujidanganya 8
Dhambi inatakiwa kushughulikiwa 9
Kusema hatutendi dhambi ni kumfanya Mungu mwongo 10

1Yohana 1:5-10
Mungu ni nuru
5 Na hii ndiyo habari tuliyoisikia kwake, na kuihubiri kwenu, ya kwamba Mungu ni nuru, wala giza lolote hamna ndani yake. 6 Tukisema ya kwamba tunashirikiana naye, huku tukienenda katika giza, tunasema uongo, wala hatuifanyi iliyo kweli; 7 bali tukienenda katika nuru, kama yeye alivyo katika nuru, tunashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote. 8Tukisema kwamba hatuna dhambi, tunajidanganya wenyewe, wala kweli haimo ndani yetu. 9 Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kututakasa na udhalimu wote. 10Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, tunamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo ndani yetu.

Ujumbe ndiyo huo 5a;
Yohana anarudia tena kusema kwamba ujumbe anaouleta ni yale aliyoisikia kwa Yesu mwenyewe.
Si ujumbe aliyobuni mwenyewe bali ni maneno ya Mungu.

Mungu ni Nuru hana Giza 5b
Nuru inalinganishwa na kinyume cake Giza
Nuru na Giza havina ushirikiano, mmoja akiingia mwingine lazima ataondoka.
Yesu anajitangaza kama ”Nuru ya ulimwengu” Yoh 8:12
Mfano wa Mungu kama nuru ya watu wake tunaiona katika Kutoka 13:21
Baadhi ya maandiko yanayoongea juu ya Mungu kuwa nuri;
Mungu ni Nuru yetu
Zab 27:1, 119:130
Yesu ndiyo hiyo nuru kwa vile naye ni Mungu
Yoh 1:4; 8:12; 9:5; 11:9-10; 12:35-36
Maana yake Mungu;
Ha danganyi - Habadiliki - Kauli yake ni kweli - Hana dhambi - Yuko wazi katika habari zake zote.

Watu wa Giza 6
Kuna watu wanaodai kuwa wamo katika Nuru, lakini mambo yao yanawa saliti!
Mtu asiye tembea Nuruni na kuruhusu ukweli wa Mungu kummulikia si mtu wa Nuru bali wa Giza, ni mwongo na hana ushirikiano na Mungu.
Ukiendelea na dhambi katika maisha, hauko na Mungu, usijidanganye!
Watu wa giza Yohana anasema juu yao katika Yohana 3:19-21

Watu wa Nuru 7
Kama vile ilivyo na watu wa Giza hata watu wa Nuru wanatambulika,
Wanaushirikiano na watu wa Mungu wengine
1Yohana 5:1 inasema;
alama nynigine ni kwamba wanajiepusha na dhambi, wanapotambua dhambi maishani wanaiungama na kuliacha.
Hawatetei dhambi kama ”matatizo kidogo”, ”kila mtu anafanya…” bali wanashughulikia!

Kudai hatuna dhambi ni kujidanganya 8
Anaye sema hana dhambi, anajitambulisha kama asiye tembea katika nuru!
Biblia inasema kwamba sote tumeambukizwa dhambi kwa urithi kutoka adamu na Hawa Warumi 5:12;
Katika Waebrania tunasoma; 4:12-13
Haina maana kujidanganya, ipo siku ya mahesabu bora kuanza kushughulikia dahmbi leo!

Dhambi inatakiwa kushughulikiwa 9
Mungu si Mungu wa kutuweka katika hali isiyo na uponyaji
Anasema hivi katika andiko lake mst 9
Hatuachi bila njia!
Tunahitaji kukiri kila dhambi maishani mwetu
Mawazo - Matendo - Tabia - Maneno …
Tunapokiri Yeye naye ni;
MWAMINIFU na wa HAKI
ANAONDOA DHAMBI ZETU
ANANTUTAKASA NA UDHALIMU WOTE!

Kusema hatutendi dhambi ni kufanya Mungu kuwa mwongo 10
Licha ya hali ya dhambi tuliyonayo, tunaungama tunapomwendea Mungu na kutubu
Tunaendelea kutenda dhambi kila siku, kwa hiyo tunahitaji kukaa katika ungamo kila siku…
Utakaso ni jambo la maisha yote, tunapozidi kutakaswa dhambi ndogo zonzjitokeza, na tunayashughulikia.

proshabo
11 Views · 1 year ago

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official YouTube channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael:
http://www.youtube.com/channel..../UCx_7vLZHI5UBm__PjE

#RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

proshabo
1 Views · 1 year ago

Mithali 28:13 "Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema".

proshabo
0 Views · 1 year ago

Contact the choir through - +254718021360

proshabo
2 Views · 1 year ago

WATU WENGI WAMECHANGANYIKIWA NA SWALA HILI! KWANINI MAGONJWA YAMEKUWA MENGI HIVI? CHAKULA KIPI NI SAHIHI NA KIPI SIO!! NIFANYEJE ILI NIPUNGUE UZITO?

proshabo
4 Views · 1 year ago

Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com

Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:

Youtube:

/ rgcmtv​
Facebook: https://www.facebook.com/rgcministry
Instagram: https://www.instagram.com/rgcministry
Twitter:https://twitter.com/rgcm_ministry
TikTok:https://www.tiktok.com/@rgcministry
Online Radio:http://rgcministry.ezyro.com/?i=1

SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544 (JINA : DANIELY MREMA)

CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA). MUNGU AKUBARIKI SANA.

proshabo
10 Views · 1 year ago

KARIBU UTANGAZE NASI KUPITIA CHANNEL YETU KWA MAWASILIANO
+255746568552 WhatsApp/Call
Follow Us On Twitter : https://twitter.com/UhaiFm
Follow Us On Instagram: https://www.instagram.com/uhai_fm/
Follow Us On Face Book: https://www.facebook.com/Radiouhai
@wajoliministers255#uhaionlinetv

proshabo
3 Views · 1 year ago

#Uhaimedia
CONTACT UHAI MEDIA +255 752 348 789

MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU
https://www.youtube.com/watch?v=BkCfS_stC30&list=PLG4PW7sUJu42P7P0miZ6nKPJ0bN7nACVd
HABARI
https://www.youtube.com/watch?v=RPFTIKZOegk&list=PLG4PW7sUJu43BKMTjrbjKvFbLt97FLrk_
FIKIRI TOFAUTI
https://www.youtube.com/watch?v=_ciwgUsFAvI&list=PLG4PW7sUJu42n7lf4Sy1elnFCN26cY9nl
MAKALA FIKRA TUNDUIZI
https://www.youtube.com/watch?v=8yyheoVLmD4&list=PLG4PW7sUJu40i98c5d3UCW7Y95Te6BAFu
SHUHUDA
https://www.youtube.com/watch?v=p67DH6kGHH4&list=PLG4PW7sUJu42xKxBrRqGm0ZCMiUpm5OvA
FAHAMU ZAIDI YA JANA
https://www.youtube.com/watch?v=6_ykbW3rtu4&list=PLG4PW7sUJu400nRsOEZLlK3_Du7qis6NX
SIMULIZI ZA VITABU
https://www.youtube.com/watch?v=5GpFju_JE6A&list=PLG4PW7sUJu43zmc4AjNAefcNemyxDJ49U
BIBLIA YANGU
https://www.youtube.com/watch?v=jl0lj2-BEmQ&list=PLG4PW7sUJu43-SW8MkliT5B6X_JdEc6dj
NYIMBO ZA INJILI
https://www.youtube.com/watch?v=pIElorLigs4&list=PLG4PW7sUJu4397_BeX_xYCypq2GF9cxG9

proshabo
3 Views · 1 year ago

+254700519844 HOPE PRODUCTIONS

Romans 7:17-19 New International Version (NIV)
17 As it is, it is no longer I myself who do it, but it is sin living in me. 18 For I know that good itself does not dwell in me, that is, in my sinful nature.[a] For I have the desire to do what is good, but I cannot carry it out. 19 For I do not do the good I want to do, but the evil I do not want to do—this I keep on doing.

[SWAHILI ] NIMEKUKOSEA MUNGU
Romans 7:17-20
1) Nimekukosea mungu kwa vitendo nazo fikira zangu ninakusihi eeh mungu wangu
nirehemu nisipotee nimetanga tanga katika dhambi nakusahu maagizo yako maisha
yangu yananshangaza nala navaa kama wenye dhambi (nimegundua mwokozi wangu bila
wewe nitapotea X2) X2
Chorus
Mwokozi wangu naja kwako nimelemewa na dhambi zangu nioshe tena kwa
damu yako mimi mfungwa wa dhambi X2

2) Solo-Upendo wa dunia umekita mizizi)All-Katika maisha yangu..upendo wa dunia
umekita mizizi katika maisha yangu moyoni mwangu natamani kutenda mema lakini
mwili ni dhaifu ninapo panga kutenda mazuri najikuta natenda maovu (bila nguvu za
mbinguni uongozi wako bwana udhaifu utanizidi X2)

[ENGLISH] HAVE WRONGED YOU GOD
Romans 7:17-20
1) HAVE WRONGED YOU GOD THROUGH MY ACTIONS AND THOUGHTS, I PLEAD WITH YOU MY GOD TO HAVE MERCY ON ME I DON’T GET LOST BECAUSE HAVE WANDERED IN SIN AND FORSAKEN YOUR COMMANDMENTS ,MY LIFE AMAZES ME I EAT AND DRESS LIKE SINNERS , HAVE REALIZED MY LORD WITHOUT YOU I WILL PERISH

Chorus
MY REDEEMER I COME TO YOU
AM OVERBURDENED BY MY SINS
WASH ME WITH THY BLOOD
AM A PRISONER OF SIN


2) SOLO - THE LOVE OF THE WORLD IS ROOTED
ALL - IN MY LIFE

IN MY HEART I DESIRE TO DO GOOD
BUT THE BODY IS WEAK
WHEN I PLAN TO DO GOOD
I FIND MYSELF DOING THE WRONG
WITHOUT THE HEAVENS POWER AND YOUR GUIDANCE SINS SHALL OVERCOME ME

[FRENCH] VOUS A TORTÉ DIEU
Romains 7: 17-20
1) VOUS A TORTÉ DIEU À TRAVERS MES ACTIONS ET PENSÉES, JE PLAIE AVEC VOUS MON DIEU POUR AVOIR DE LA MISÉRICORDE SUR MOI JE N'AI PAS PERDU PARCE QUE VOUS AVEZ ÉVOLUÉ DANS LE PÉCHÉ ET A ABANDONNÉ VOS COMMANDANTS, MA VIE AMAZES MOI QUE JE MANGE ET S'HABILLE COMME LES SINNERS, Ai réalisé mon Seigneur sans toi, je périrai

Refrain
MON RACHETTEUR JE VIENS À VOUS
 Suis surchargé par mes péchés
  LAVEZ-MOI AVEC VOTRE SANG
  SUIS UN PRISONNIER DE PÉCHÉ


2) SOLO - L'AMOUR DU MONDE EST ENRACINÉ
TOUT - DANS MA VIE

 DANS MON CŒUR, JE DÉSIRE FAIRE BON
 MAIS LE CORPS EST FAIBLE
 QUAND JE PLANIFIE DE FAIRE BON
 JE ME TROUVE FAIRE LE TORT
SANS LA PUISSANCE DU CIEL ET VOS PÉCHÉS DE GUIDAGE ME VAINCRONT


#Creativity_Beyond_Imagination

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kanisa lipo Tabata segerea, Ratiba za Ibada ni kama zifuatavyo
Jumapili saa 03:00 asubuhi
Alhamis saa 10:00 jioni.
Maombi na maombezi yatafanyika njoo tujifunze neno la Mungu maana ndio msingi wa mafanikio yako.
Kwa mawasiliano zaidi 0764 266 255

proshabo
4 Views · 1 year ago

Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com

Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:

Youtube: http://www.youtube.com/c/RGCMTV​
Facebook: https://www.facebook.com/rgcministry
Instagram: https://www.instagram.com/rgcministry
Twitter:https://twitter.com/rgcm_ministry
TikTok:https://www.tiktok.com/@rgcministry
Online Radio:http://rgcministry.ezyro.com/?i=1

SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544

CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA. MUNGU AKUBARIKI SANA.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Chaneli hii na kikristo. Imebeba mafundisho kuhusu KUTUBU na KUACHA dhambi tukisubiri siku ya unyakuo.....Mungu akubariki mpendwa....

proshabo
4 Views · 1 year ago

Epuka Dhambi za Ngono - 1 Wakorintho 6:9-20
Lugha ya Ishara ya Tanzania - CBT 098, SGH 023 -
-
Biblia ya Lugha ya Alama ya Tanzania © 2013 ya BILAT kushirikiana na DOOR International imepewa leseni chini ya Attribution-ShareAlike 4.0 International. Ili kuona nakala ya leseni hii, tembelea http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/

proshabo
6 Views · 1 year ago

Epuka Dhambi za Ngono - 1 Wakorintho 6:9-20
Lugha ya Ishara ya Tanzania - CBT 098, SGH 023 -
-
Biblia ya Lugha ya Alama ya Tanzania © 2013 ya BILAT kushirikiana na DOOR International imepewa leseni chini ya Attribution-ShareAlike 4.0 International. Ili kuona nakala ya leseni hii, tembelea http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/

proshabo
3 Views · 1 year ago

Epuka Dhambi za Ngono - 1 Wakorintho 6:9-20
Lugha ya Ishara ya Tanzania - CBT 098, SGH 023 -
-
Biblia ya Lugha ya Alama ya Tanzania © 2013 ya BILAT kushirikiana na DOOR International imepewa leseni chini ya Attribution-ShareAlike 4.0 International. Ili kuona nakala ya leseni hii, tembelea http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/

proshabo
5 Views · 1 year ago

Epuka Dhambi za Ngono - 1 Wakorintho 6:9-20
Lugha ya Ishara ya Tanzania - CBT 098, SGH 023 -
-
Biblia ya Lugha ya Alama ya Tanzania © 2013 ya BILAT kushirikiana na DOOR International imepewa leseni chini ya Attribution-ShareAlike 4.0 International. Ili kuona nakala ya leseni hii, tembelea http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/

proshabo
6 Views · 1 year ago

Epuka Dhambi za Ngono - 1 Wakorintho 6:9-20
Lugha ya Ishara ya Tanzania - CBT 098, SGH 023 -
-
Biblia ya Lugha ya Alama ya Tanzania © 2013 ya BILAT kushirikiana na DOOR International imepewa leseni chini ya Attribution-ShareAlike 4.0 International. Ili kuona nakala ya leseni hii, tembelea http://creativecommons.org/licenses/by-sa/4.0/

proshabo
1 Views · 1 year ago

cooperate trainer, life coach, success, nidhamu, maono, personal development, tanzania, marafiki, kusudi, ujasiri, nguvu, bajeti, mwanamke, tofauti, boss, biashara, kufanikiwa, stress, mpenzi, maneno, maisha, usikatetamaa, uchumi, matokeo, fursa, fedha, malengo, timizamalengo, timizamalengoyako, joelnanauka, nanauka, seeyouatthetop, timiza
#joelnanauka
#Nanauka2023
#TIMIZAMALENGOYAKO
#lifecoach

proshabo
4 Views · 1 year ago

Kama umejifunza vitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:

Soma eBooks Zangu: Whatsapp 0745 252 670

Jiunge na Kozi Zangu : Whatapp 0762 312 117

Book Mafunzo / Ushauri Wangu: Piga 0756 094 875

See You At The Top

Joel Nanauka.

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii:

Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/

Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/

YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCned...

#Timizamalengoyako #Seeyouatthetop #JoelNanauka #Nanauka

proshabo
0 Views · 1 year ago

Upo wivu ambao ni dhambi na upo wivu ambao siyo dhambi. Wivu pia una viwango mbalimbali mfano mwalimu humwonea wivu mwalimu mwenzake, mpishi vivyo hivyo n.k. Lakini lazima ieleweke kuwa watu wanatofautina viwango.

proshabo
3 Views · 1 year ago

#RiyadhTvZnz #Zanzibar #Shk_Turkiy

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ebenezer choir FPCT - Kitangiri
Wanapatikana Kitangiri chini ya Mch. David Batenzi

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kama umejifunza vitu kupitia video hii na unapenda nikusaidie upate maarifa zaidi nashauri upate usaidizi kwa namna zifuatazo:

Soma eBooks Zangu: Whatsapp 0745 252 670

Jiunge na Kozi Zangu : Whatapp 0762 312 117

Book Mafunzo / Ushauri Wangu: Piga 0756 094 875

See You At The Top

Joel Nanauka.

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii:

Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/

Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/

YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCned...

#Timizamalengoyako #Seeyouatthetop #JoelNanauka #Nanauka

proshabo
3 Views · 1 year ago

Provided to YouTube by CDBaby

Kwa Uzuri Wa Utakatifu (feat. Ushindi Leonard) · Josephine Minza · Ushindi Leonard

Kwa Uzuri Wa Utakatifu (feat. Ushindi Leonard)

℗ 2022 Huru Digital

Released on: 2022-03-12

Auto-generated by YouTube.

proshabo
2 Views · 1 year ago

IBADA YA SABATO YA TAREHE 05/06/2021
SOMO KUU - UTAKATIFU
Barikiwa na somo hili makini na zuri sana kutoka katika kanisa la waadventista wasabato
MLIMANI SDA CHURCH.

proshabo
0 Views · 1 year ago

“Mwabuduni BWANA kwa uzuri wa utakatifu, tetemekeni mbele zake, nchi yote.”(ZABURI 96:9)

proshabo
2 Views · 1 year ago

proshabo
2 Views · 1 year ago

MIMI NATAKA UTAKATIFU WA YESU NIENDE MBINGUNI. Best Ministry of repentance and holiness Worship Songs, this is,MIMI NATAKA UTAKATIFU WA YESU NIENDE MBINGUNI worship song.MIMI NATAKA UTAKATIFU WA YESU NIENDE MBINGUNI worship song, brought to you by Worship TV.

This ministry of repentance and holiness worship song, brought to you by Worship TV - worship channel. For more worship songs from the ministry of repentance and holiness, Subscribe to this worship channel so as to receive power-packed worship songs from the ministry of repentance and holiness.

📺Subscribe To Our Channel For MORE WORSHIP SONGS
https://www.youtube.com/c/wors....hiptv7?sub_confirmat

✅Make sure to Like, Favorite and Share this video and Subscribe if you haven't do so already at https://www.youtube.com/c/worshiptv7

🎬Other Videos To Watch:

➡️https://www.youtube.com/watch?v=8iaP2_VRybI&list=PLpwQaSfNQdXTgWEgMJmzOjxLget1E1FA1

➡️https://youtu.be/n7kUW3C_OJw
🕰SCHEDULE
Videos are uploaded every WEEK. Make sure to Subscribe and hit the Notification bell to be notified when videos go live.

⬇️
___ About The Channel:
Worship TV is a Worship Channel that post Worship Songs, Gospel Songs, Christian Music and all sorts of Instrumental Worship Among others.

SUBSCRIBE TODAY: https://www.youtube.com/c/wors....hiptv7?sub_confirmat

Hope | Comfort | Encouragement
At Worship TV, we're focused on bringing encouraging and uplifting videos straight to you. Subscribe above to receive devotionals for your week, new worship music playlists, as well as live worship videos from Worship TV

BY SUBSCRIBING TO WORSHIP TV YOU GAIN ACCESS TO OUR WEEKLY POST.
SUBSCRIBE TODAY SO YOU NEVER MISS A VIDEO https://www.youtube.com/c/wors....hiptv7?sub_confirmat

WORSHIP TV, ALL THINGS WORSHIP..
https://www.youtube.com/c/worshiptv7
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
#worshiptv #worshipsongs #praiseandworship
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------

proshabo
5 Views · 1 year ago

“Mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake; dunia yote na itetemeke mbele zake.” (ZABURI 96:9 NENO)

proshabo
2 Views · 1 year ago

karibu katika kipindi chako pendwa cha Bado kuna tumaini

proshabo
5 Views · 1 year ago

#joytv#mwakasege#nytv#motomototv#cloudstv#arisetv#dizzimonline#cloudstv#eatv#mzeewaupako#

proshabo
1 Views · 1 year ago

Subscribe, like na share utabarikiwa zaidi

proshabo
1 Views · 1 year ago

NATAKA UTAKATIFU WA YESU, NIENDE MBINGUNI - POWERFUL SWAHILI WORSHIP - NAIVASHA WORSHIP TEAM!!!

proshabo
1 Views · 1 year ago

Somo linaloenda moja kwa moja hadi kwenye hoja limeshirikishwa na huyu mtoto wa YAHUSHUA (Yesu) ambalo alifunzwa na baba yake, Mtume na Nabii Ezra kuhusu utakatifu. Inamaanisha nini kuweni watakatifu kama Nilivyo Mtakatifu? Je, hili ni jambo Wakristo wanaweza timiza? Jawabu ni ndio.

Ikiwa umebarikiwa na video hizi, tafadhali tufadhili: https://www.paypal.me/RichardKites

Kwa maswali zaidi, tafadhali tuandikie hapa beautyofheaven@startmail.com . Na fuatilia (subscribe)! Us at Torah Keeper we are an Apostolic and Prophetic Ministry. We share with the world the Prophetic Messages and Teachings straight from Heaven. If you find these are a blessing to you please consider sending us a donation through this link, thank you!

https://www.paypal.me/RichardKites

Our email is beautyofheaven@startmail.com, https://torahkeeper.com




Showing 7 out of 8