Bible Teachings

proshabo
3 Views · 1 year ago

Author: William D. Longstaff (ca. 1882)

Tune: HOLINESS (Stebbins)
Key: F major

proshabo
0 Views · 1 year ago

#gctvmedialtd

proshabo
8 Views · 1 year ago

​ @MadhabahuYaMoto
#shorts

proshabo
4 Views · 1 year ago

INTRO

Baba ninakuabudu,
baba ninakuadhimisha
ninapenda nikae uweponi mwako bwana
utakatifu ndio msingi wa kiti chako cha enzi Jehova
haleluya Bwana haleluya Bwana huuu!!! Haleluya haleluya

VERSE 1
kwa uzuri wa uu takatifu wako na kwabudu YESU
kwa uzuri wa uu takatifu wako na kwabudu YESU
kwa uzuri wa eeee!! uu takatifu wako haleluya na kwabudu YESU
kwa uzuri wa uu takatifu wako na kwabudu YESU

CHORUS
wastahili wastahili wastahili YESU
wastahili wastahili wastahili YESU
wastahil pekeyako wastahili wastahili YESU
haleluya JEHOVA

VERSE 2
nakwabudu nakwabudu nakwabudu jinsi ulivyo
mtakatifu mtakatifuu mtakatifu ni jinsi ulivyo
mtakatifu mtakatifu peke yako yeee yeee yeee YEESUUUU!!

CHORUS
Kwa uzur eeee! Wewe ni wa rehema wewe ni mwaminifu YAHWE YESU heeeheeeheee heee!!
Kwa uzur wa nakwabudu wewe nakwabudu wewe wewe wewe wewe wewe wewe
wastahili wastahili nina kwabudu kwa uzuri wako
umejawa na huruma umejawa na fadhili YESU
kwa uzuri wako nitakwabudu wewe pekeyako heeeeeee!!!
wastahili wastahili ooooh!! YESUUUU!!!
#Minza #Josephinenza #Kwauzuri.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

proshabo
0 Views · 1 year ago

Worship song

proshabo
4 Views · 1 year ago

inbox me through given number in the picture

proshabo
4 Views · 1 year ago

Produced By: smOntheBeat
Production: SM STUDIOS ELDORET Company Ltd
Director By: Director PASSMA

email: lilmuthama@gmail.com
Don't forget to SUBSCRIBE - @meshh2hministries

Follow Lilian Muthama
Instagram: https://www.instagram.com/meshh2hministries/
Facebook: https://www.facebook.com/lilianmuthama
TikTok: https://www.tiktok.com/@lilianmuthama778

Listen to Mesh
https://www.youtube.com/channe....l/UCDSwHWbOQMjEgYeFJ
Audiomack: https://audiomack.com/meshh2hministries

The official YouTube channel of MESH. Don't forget to SUBSCRIBE - @meshh2hministries for the latest music videos, performances,
and more.

For Bookings & More
Email: lilianmuthama@gmail.com
Call: +254 716129883

© Mesh (May 2023)

#@meshh2hministries #WorshipMusic #worshipsongs

proshabo
38 Views · 1 year ago

PR. BARAKA BUTOKE- MUNGU HUKAA KIMYA TUFANYAPO DHAMBI

proshabo
21 Views · 1 year ago

Nafahamu kuwa mahusiano au ndoa kuyumba kuna sababu nyingi sana. Inaweza kuwa madhaifu ya mume au mke au hata ndugu. Mke au mume wanaweza kuwa wanayajua madhaifu haya au hawayajui kabisa. Bahati mbaya sana, makosa au matatizo yanayosababishwa na wanawake yanaweza kuiathiri ndoa kwa uzito mkubwa kuliko matatizo mengine. Hii ni kutokana na nafasi aliyonayo mke kwenye ndoa. Je unayajua makosa wafanyayo wanawake kwenye ndoa? Fuatilia video hii kwa uelewa zaidi.
#DrChrisMauki#Makosa#Wanawake

proshabo
10 Views · 1 year ago

Pamoja na nguvu ya Mungu iliyokua juu ya Mariamu mpaka kuumba kitu ndani, Mariamu alijifunza kufunga mdomo.Kitu cha muhimu na cha kuzingatia, jifunze kufunga mdomo. Sio kila anayekupongeza kwa mazuri yako, anakufurahia kutoka moyoni.Mariamu hakumueleza kila mtu kuhusu kitu alichokibeba, kulikua na mtu sahihi aliyeandaliwa ku-share naye jambo lake. Elizabeth aliandaliwa kwa ajili ya Mariamu.

Ukiona unatumia nguvu kubwa kumshawishi mtu aamini kuhusu maono yako, ujue hajaandaliwa kwa ajili yako. #PastorSunbella#Jifunze#KukaaKimya

proshabo
27 Views · 1 year ago

MAISHA YA DHAMBI NA MAOMBI HIKI NDO KINACHO TOKEA
USISAHAU KU SUBSRIB KU LIKE NA KU COMMENT UBARIKIWE

proshabo
29 Views · 1 year ago

proshabo
25 Views · 1 year ago

Like and Subscribe

proshabo
3 Views · 1 year ago

Katika maisha lazima uwe tayari kuepuka kujihurumia na kua na vijisababu.
Mambo yatakayo changia kufeli kwako.
1. Kukosa maono
- Maono yanajibu swali la nini ufanye
- Na malengo yataleta namna ya kufanya
2. Kukosa maarifa
- Maarifa yanaweza kutafutwa na kupatikana
- Na ni ya muhimu sana
3. Kukosa utii
- Utii ni muhimu sana katika maisha
4. Kuwashusha walio fanikiwa/ Kutoa sababu kwanini wengine wamefanikiwa/ kukosoa mafanikio ya wengine.
- Ili ufanikiwe jifunze kwa wale walio fanikiwa

Lazima uondokane na vijisababusababu
Hesabu 13: 1-2, 21-24, 27-29, 33
1-2
1 Kisha Bwana akanena na Musa, akamwambia,
2 Tuma watu, ili waende wakaipeleleze nchi ya Kanaani, niwapayo wana wa Israeli; katika kabila ya baba zao mtamtuma mtu mmoja, kila mtu na awe mkuu kati yao.

21-24
21 Basi wakapanda wakaipeleleza nchi toka jangwa la Sini hata Rehobu, mpaka kuingia Hamathi.
22 Wakapanda katika Negebu, wakafika Hebroni; na Ahimani, na Sheshai, na Talmai, wana wa Anaki, walikuwako huko. Nao Hebroni ulijengwa miaka saba kabla ya Soani wa Misri.
23 Wakafika bonde la Eshkoli, na huko wakakata tawi lenye kishada kimoja cha zabibu, wakalichukua kwa mti kati ya watu wawili; wakaleta makomamanga pia, na tini.
24 Bonde lile liliitwa bonde la Eshkoli kwa sababu ya hicho kishada walichokata huko wana wa Israeli.

27-29
27 Wakamwambia wakasema, Tulifika nchi ile uliyotutuma, na hakika yake, ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali, na haya ndiyo matunda yake.
28 Lakini watu wanaokaa katika nchi ile ni hodari, na miji yao ina maboma, nayo ni makubwa sana; na pamoja na hayo tuliwaona wana wa Anaki huko.
29 Amaleki anakaa katika nchi ya Negebu; na Mhiti, na Myebusi, na Mwamori wanakaa katika milima, na Mkanaani anakaa karibu na bahari; na kando ya ukingo wa Yordani.

33
33 Kisha, huko tuliwaona Wanefili, wana wa Anaki, waliotoka kwa hao Wanefili; tukajiona nafsi zetu kuwa kama mapanzi; nao ndivyo walivyotuona sisi.

Mtazamo hasi ni mbaya, utakufanya ujione si kitu
- Maendeleo ya mtazamo chanya ni muhimu sana katika kufanikiwa kwako,
- namna unaona vitu ni muhimu, na inajalisha sana.
- Mungu anapokuita, atakutia nguvu kwa ajili ya kazi aliokuitia. Maana hio kazi itaendana sawasawa na neema Mungu alioachilia kwako.

mithali 26:13
mtu mvivu husema simba yupo njiani, simba yupo njia kuu.

Ungana na Askofu Amon Lukama katika kutafakari neon kila alhamisi.

Mawasiliamo 0764982929

proshabo
1 Views · 1 year ago

Buy it from iTunes: https://geo.itunes.apple.com/i....n/album/wambea-nao/i
Listen and share Wambea Nao by Rose Muhando. Rose Muhando is a Gospel artist from Tanzania. Loved this song?
Subscribe to Rose Muhando's official YouTube channel:
http://ow.ly/AtkDz.
Subscribe to Injili for Gospel music from Africa. Click here:
http://ow.ly/yvLg6
Find Injili on Facebook
https://www.facebook.com/InjiliAfrica
Find Injili on Twitter:
http://twitter.com/InjiliAfrica

proshabo
4 Views · 1 year ago

Alilipa deni zangu kwa gharama ya mauti
#ufufuonauzima

proshabo
9 Views · 1 year ago

Tafadhali EPUKA MATAPELI (BE AWARE OF IMPOSTERS) PASTOR TONY KAPOLA yuko Tanzania, Morogoro hizi ndio number Pekee... +255659085731 or +255713702187
And For Offerings We ONLY have This M-PESA +255762153539

proshabo
6 Views · 1 year ago

denis mpagaze,
denis mpagaze na ananias edgar,
denis mpagaze youtube,
denis mpagaze umaskini na utajiri,
denis mpagaze wanawake,
denis mpagaze tafuta hela,
denis mpagaze magufuli,
denis mpagaze mix,
denis mpagaze raila odinga,
denis mpagaze mapenzi,
denis mpagaze 2023,
denis mpagaze africa,
denis mpagaze all story,
denis mpagaze afrika,
denis mpagaze aina za marafiki,
denis mpagaze akili,
denis mpagaze acha dharau,
denis mpagaze all,
denis mpagaze amazon,
denis mpagaze audio,
denis mpagaze audio download,
ananias edgar & denis mpagaze,
ananias edgar & denis mpagaze 2023,
ananias edgar & denis mpagaze wanawake,
ananias edgar & denis mpagaze mobutu,
ananias edgar & denis mpagaze magufuli,
denis mpagaze wanawake mungu anaona,
denis mpagaze na ananias edgar latest,
denis mpagaze binadamu,
denis mpagaze biblia,
denis mpagaze burundi,
denis mpagaze biashara,
denis mpagaze bidii bila akili,
denis mpagaze bangi,
denis mpagaze bob marley,
denis mpagaze bokassa,
denis mpagaze bandari,
denis mpagaze books,
best of denis mpagaze,
the story book denis mpagaze,
the story book na denis mpagaze,
wasomi huru gerezani by denis mpagaze,
historia ya bob marley denis mpagaze,
jitambue by denis mpagaze,
kamuzu banda na denis mpagaze,
the story book 2023 denis mpagaze,
story book wasafi denis mpagaze,
magufuli by denis mpagaze,
denis mpagaze congo,
denis mpagaze chuki,
denis mpagaze chezea ujana,
denis mpagaze fidel castro,
denis mpagaze kifo cha magufuli,
fidel castro denis mpagaze,
denis mpagaze dubai,
denis mpagaze lucky dube,
simulizi za denis mpagaze download,
lucky dube denis mpagaze,
denis mpagaze elimu ya nyota,
denis mpagaze enyi wanawake,
denis mpagaze elimu,
denis mpagaze na ananias edgar 2023,
denis mpagaze & ananias edgar,
denis mpagaze na ananias edgar historia,
denis mpagaze na ananias edgar 2022,
denis mpagaze na ananias edgar mapenzi,
elimu ya nyota denis mpagaze,
denis mpagaze freemason,
denis mpagaze focus,
denis mpagaze fungua ubongo sehemu ya 1,
denis mpagaze faida za kukumbatiana,
denis mpagaze ukombozi wa fikra,
freemason denis mpagaze,
ukombozi wa fikra denis mpagaze,
denis mpagaze global tv,
denis mpagaze gaddafi,
denis mpagaze gadaf,
denis mpagaze sodoma na gomora,
denis mpagaze wasomi huru gerezani,
global tv denis mpagaze,
denis mpagaze historia ya gaddafi,
denis mpagaze muammar gaddafi,
denis mpagaze historia,
denis mpagaze historia ya afrika,
denis mpagaze historia ya mwafrika,
denis mpagaze historia ya magufuli,
denis mpagaze haile selassie,
denis mpagaze hekima,
denis mpagaze history,
denis mpagaze historia ya mobutu,
denis mpagaze historia ya wabembe,
historia ya mobutu sese seko na denis mpagaze,
historia ya magufuli na denis mpagaze,
historia ya putin denis mpagaze,
historia ya kim jong un na denis mpagaze,
historia ya jomo kenyatta by ananias edgar & denis mpagaze,
historia ya kikwete na denis mpagaze,
historia ya william ruto na denis mpagaze,
historia ya mike tyson denis mpagaze,
historia denis mpagaze,
denis mpagaze imani,
denis mpagaze india 2023,
denis mpagaze interview,
denis mpagaze historia ya israel,
denis mpagaze jogoo,
denis mpagaze jitambue,
denis mpagaze jomo kenyatta,
denis mpagaze jinsi ya kukabili kesho yako,
denis mpagaze kim jong un,
denis mpagaze nguvu ya jina,
denis mpagaze kwame nkrumah,
denis mpagaze kamuzu banda,
denis mpagaze kuhusu mapenzi,
denis mpagaze kuhusu maisha,
denis mpagaze kikwete,
denis mpagaze kenya,
denis mpagaze kukata tamaa,
denis mpagaze kuhusu ndoa,
denis mpagaze kigoma,
vita vya kagera denis mpagaze,
nyamaza kimya denis mpagaze,
denis mpagaze wanaume kufa mapema,
denis mpagaze prince katega,
denis mpagaze martin luther king,
denis mpagaze latest,
denis mpagaze lumumba,
patrice lumumba denis mpagaze,
denis mpagaze mobutu sese seko,
denis mpagaze mpya,
denis mpagaze maisha,
denis mpagaze matatizo,
denis mpagaze mwanamalundi,
denis mpagaze majini,
mfahamu denis mpagaze,
makala za denis mpagaze,
mateso ya wanaume denis mpagaze,
mwanamke denis mpagaze,
magufuli denis mpagaze,
maono denis mpagaze,
mansa musa denis mpagaze,
mapenzi denis mpagaze,
maisha denis mpagaze,
magufuli na denis mpagaze,
denis mpagaze nyota,
denis mpagaze new 2023,
denis mpagaze ndoa,
denis mpagaze nyerere,
denis mpagaze nelson mandela,
nguema denis mpagaze,
ndoto na tafsiri zake denis mpagaze,
nyota yako denis mpagaze,
ndoa denis mpagaze,
denis mpagaze operation entebbe,
denis mpagaze oscar kambona,
denis mpagaze robert ouko,
omar al bashir denis mpagaze,
denis mpagaze pesa,
denis mpagaze putin,
denis mpagaze pombe,
denis mpagaze patrick lumumba,
putin denis mpagaze,
historia ya denis mpagaze,
historia za denis mpagaze,
history denis mpagaze,
denis mpagaze ruto,
denis mpagaze rais mvuta bangi,
denis mpagaze rafiki wa kweli,
denis mpagaze roho mbaya,
denis mpagaze russia vs ukraine,
denis mpagaze rafiki,
denis mpagaze siri,
denis mpagaze samora machel,
denis mpagaze story,
denis mpagaze story book,
denis mpagaze simulizi,
denis mpagaze saddam hussein.

proshabo
5 Views · 1 year ago

#arisendshinetanzania #2022mwakawakibalimarambili #mwamposalive

Don't Forget to Subscribe to get The Latest Videos
From Apostle Boniface Mwamposa Bulldozer.

WATCH ARISE AND SHINE TV
AZAM CHANNEL 469
STATIMES ANTENA CHANNEL 117 | STARTIMES DISH CHANNEL 198.

LISTEN ARISE AND SHINE RADIO
105.7 DSM | 98.5 DSM | ARUSHA 95.7 | KILIMANJARO 95.1
IRINGA 99.3 | DODOMA 91.2 | | MOROGORO 104.7 SHINYANGA 100.7 | MBEYA 101.3 | SINGIDA 94.1.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Sasa sisi tujue kwamba kama dhambi zetu zingekuwa zinafuatiliwa kama za mwenzangu au za yule ninayemsema-hakika ningalikuwa gerezani tayari. Nakueleza-waliopo gerezani sio kwamba ndio wenye dhambi sana. Wapo kati yetu kama makosa yetu yote yangalikuwa yamejulikana-nakueleza ungalikuwa jela tayari. Hivyo, jua hili kwamba wapo ambao dhambi zao zinatangazwa zaidi ya wengine na ndio maana wanakuwa victims. Kwa mfano-padre dhambi zake hutangazwa kuliko za mtu wa kawaida.
Ukiona wale mafisadi wanaburutwa gerezani-usicheke-ni kwa sababu wao wanafuatiliwa, vyombo vya habari vinawamulika kila mahali. Na wapo wengine wanauziwa hata kesi. Hili ulijue ili upate kufanya toba ya ndani.
Hizi ni tabia zinazotuua kiroho, kamwe usijilinganishe na mwanadamu. Utaishia kuwa mwizi. Umeelezwa kwamba tuwe wakamilifu kama baba yetu alivyomkamilifu. Hivyo, tuachane na kujilinganisha na mwanadamu mwenzetu ndugu yangu.
Huyu mtoza ushuru alikuwa hajagi hekaluni mara kwa mara na hivyo hata alipokuja, ilikuwa ndio mara ya kwanza ya kwanza kwanza kukutwa pale. Alikuwa hakutwagi mara kwa mara. Naye anapaswa ajiongeze japokuwa Yesu kamsifia leo. Ajiongeze, aache uvivu, aache uvivu. Sio ati kwa kujisikitia dhambi zake ndio aishie hapo, anapaswa kupanda juu zaidi, juu sana. Abadilike, awe mtu mwema. Na wewe fanya hivi.

Sasa, pale unapoingia hata kama ni kanisani na kumkuta ambaye ni mdhambi zaidi yako-isikufanye uanze kujifikiria ati kwamba upo vizuri-ukimkuta akufanye wewe ukazane, ujione kwa hakika kwamba wewe ni mvivu, uwepo wake ukufanye wewe ujiongeze pia na sio kujisifia sifia na kujisahau kabisa. Nyanyuka kama vile na mtoza ushuru anavyopaswa kunyanyuka.
Niendelee kwa kuongelea tena kuhusu kipindi hiki cha ugonjwa wa korona. Hii kutokuhuzunikia dhambi ni mbaya zaidi kuliko korona. Ukiangaliaa kila mahali tunaogopa korona, yaani tumechukua tahadhari ajabu, hata watu hawaji tena mjini kuzunguka. Watu wanaogopa hata kukushika mkono, watu wanoogopa hata kukomunika-yaani tumekuwa na hofu ajabu. Hata mimi ninayo hofu kubwa sana ninapoongea nanyi na kuna wakati naonyesha hofu hata kushika mkono wa mtu au hata kumkomunisha mtu mdomoni. Naogopa nisigusane na mate yake. Ni kweli lazima nichukue tahadhari na tunamwomba Mungu atuondeshee huu ugonjwa. Kakini tutambue kwamba dhambi zetu ndio korona ya juu kabisa na mbaya kuliko zote.
Korona unaweza kukaa nayo kwa muda wa siku 14 bila ya chochote kuonekana na kumbe unawaambukizia wengine. Ndivyo na kutokuhuzunikia dhambi zetu. Tunaweza kuishi na dhambi zetu, tukikaa na marafiki wazuri, hata tukawa rafiki kwa mapadre-lakini mwisho wa siku dhambi hizi zitabakia kuwa zetu na hivyo zitakuja kutuadhibu kama Corona inavyokujaga kuadhibu mbeleni baada ya kukaa nao kama rafiki. Hivyo, epuka urafiki na dhambi zako kama unavyopaswa kuepuka urafiki na virusi vya korona. Vinajidai vinakupenda lakini mwishowe vinakuja kuwa adui. Na wewe tabua hilo ndugu yangu.
Kama Korona inavyoendelea kuambukizwa kwa wengi wakati bado vikiwa vimejificha, ndivyo ilivyo hatari au maumivu yaletwayo na kutokuhuzunikia dhambi inavyosababisha madhara. Wewe ukijiona na afya-na kumbe ukaendelea kuwasambazia wenzako dhambi na kuwafundisha ubaya, hakika unakuwa kama vizuri hivi vya korona. Navyo vina jitabia kama hizi. Vinajificha na kumbe vinasababisha madhara makubwa.
Virusi vya Korona hufanya kifua chako kibane na kushindwa kupumua. Ndivyo kutokuhuzunikia dhambi zinavyotukaba na kushindwa kupumua na kushindwa kuongea mbele za watu. Hivyo, korona ni ndogo zaidi kuliko kutokuhuzunikia dhambi zetu.
Virusi vya Korona vimetufanya tuongope hata kuwashika wengine mkono, hata kupakia daladala, hata nipumue hewa ya kawaida. Lakini kutokuhuzunikia dhambi ndiyo inayotufanya tushindwe kuwashika wenzetu kuwapatia mkono wa heri, itatufanya tushindwe kufanya mkusanyiko wowote na kufanya canceling kama wengi tunavyofanya canceling ya booking za ndege. Tutafika kanisani bila kujuana, ukimtakia mwenzako amani wala moyo wako haupo hapo, hivyo tuwe watu wa kuhuzunikia dhambi zetu ndugu zangu.
Corona imetufanya tuoogope tufunge makanisa-lakini hii kutokuhuzunikia dhambi zetu ndizo zilikuwa chanzo-na ni sababu ya hata makanisa yetu yafungwe sasa na baadaye-corona itafunga kanisa kwa sasa lakini dhambi itaufnga kwa nyakati zote
na wapo wanaofurahia ati makanisa yanafungwa kwa sababu ya Corrona wakisema ati Mungu sasa hana nguvu. Lakini ukitafakari wewe huna tofauti na hawa wanaofurahi-sisi tusiohuzunikia dhambi zao. Ndio tunapofurahia tukiona ati mwingine kaanguka-ni sawasawa na huyu anayeona kanisa limefungwa-watu hawawezi kusali tena na hivyo kuamua kufurahia.sisi tuipinge dhambi kuliko korona
Korona inatutuka tufuate masharti-kuwa na sanitizer na maji ya kunawa sasa ni kila mahali. Sasa nasi tuwe na maji ya kusafisha dhambi zetu. Ni sakramenti ya kitubio. Kama tulivyoserious kwenye kunawa mikono kwa sababu ya korona tufanye hivyo hivyo kwenye dhambi zetu.

#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa

proshabo
34 Views · 1 year ago

#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079
UNAWEZA KUTUMA SADAKA YAKO KWA M_PESA +255742692079
YOU CAN SEND YOUR LOVE OFFERING TO THESE NUMBERS M_PESA +255742692079

proshabo
15 Views · 1 year ago

Haleluyaaaa x 3
Wapendwa vipi mmemsoma Hezekia ?
Bado hatuna bibilia
Alituma wajumbe kwa Israeli na Yuda, waende kula pasaka nyumbani Yelusalemu.
Pasaka ikafanywa nyumbani kwa Bwana yesu x 2
Wakafanya amari, Israeli yote ,Ikapigwa mbiu toka berry sheba mpaka dani kati,
Wakaketi kati kula karamu kati na Bwana Yesu Kati x 2

Hawakuweza kufanya ule wakati, kwasababu hawakutubu
Baada ya Karamu Kati, wakaambiwa mrudieni Mungu
Msiwe na shingo kali, kama vile baba zenu.

Uchafu kaa mbali nao, utakuponza ukose mbingu
Maovu kaa mbali nayo, yatakutupa kwenye moto
Tubu sasa, tubu sasa

Weka yako nadhiri, nafsi yako kwa Mungu
Epuka Dhambi , usije kukosa Mbingu
Fanya toba upesi, umlaki kwa Mawingu
Paza yako sauti, ukiri wako wokovu

Mpe Bwana nafasi kaa mbali na uovu, yeye ni Wokovu wetu

Usitoke ndani , usimwache Mungu, sikia sauti, acha yako maovu x 2

Sema Bwana nasi, twahitaji yako nguvu
Ulitufia msalabani, tumepata wokovu x 2

Wapendwa, tupo safarini tukairithi Mbingu pamoja na baba yetu
Wapendwa tupo safarini, tuyaache maovu tusije kukosa mbingu

Uchafu kaa mbali nao, utakuponza ukose mbingu
Maovu kaa mbali nayo, yatakutupa kwenye moto
(Tubu sasa, tubu sasa x2)

Usiku, mchana na jioni nalimwita Bwana
Kwani alisema nikimwita anapatikana
Nimechoka, kuteswa nakunyanyasika
Ibilisi kanijaza moyoni mashaka
sina mwingine, zaidi yako baba Muumba
Kwenye Mwamba imara, najenga yangu nyumba
Siteketei, siangamii sitetereki, naamini baraka zitajaa rukuki


Uchafu kaa mbali nao, utakuponza ukose mbingu
Maovu kaa mbali nayo, yatakutupa kwenye moto
(Tubu sasa, tubu sasa x2) x 2

proshabo
5 Views · 1 year ago

Karibu kwenye Channel Mwana Kwetu!
Subscribe! https://www.youtube.com/result....s?search_query=Mwana
Karibu kwenye Channel ya kiwango! Karibu uburudike na video za nyimbo za zamani, zilizojaa mafunzo. Kupata uhondo Zaidi, tutembelee Mwana Kwetu: https://www.youtube.com/result....s?search_query=Mwana

Welcome to the Official Mwana Kwetu channel!
Subscribe! https://www.youtube.com/result....s?search_query=Mwana
Welcome to the Classic Mwana Kwetu channel! Home of favourite Video clips, full old songs story scenes. To find out more about Mwana Kwetu visit: https://www.youtube.com/result....s?search_query=Mwana

proshabo
10 Views · 1 year ago

#kuomba#kusali#kufunga#fasting
Maombi ya kufunga yanaweza kukufanya uongezeke kiimani.
Mathayo 17:21 ‘’ [Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga.] ‘’
-Kwa sababu kuna mambo ambayo yatawezekana tu baada ya kufunga, naamini imani yako itaongezeka kupitia matokeo ya kufunga kwako.
Mfano. Ulikuwa ukihitaji kupata kazi kwa muda mrefu sana. Uliomba maombi ya kawaida na bado hukufanikiwa kupata kazi, baada ya kuamua kufunga siku 5 ukajikuta unapata kazi na pia ukawa unapigiwa simu kwamba unahitajika katika kazi 3 tofauti. MUNGU amekujibu ombi lako la kupata kazi na nahakika imani yako itaongezeka sana. Ndio maana nasema hivi maombi ya kufunga yanaweza kusababisha imani yako ikue, hiyo ndio sifa ya kufunga na kuomba kisha kupokee kutoka kwa BWANA.


Naam, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia; kwa maana sasa wokovu wetu uko karibu nasi kuliko tulipoanza kuamini
"Warumi 13:11"

Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
https://linktr.ee/sirizabiblia

Instagram Account
https://www.instagram.com/siri_za_biblia/

SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

proshabo
3 Views · 1 year ago

Mithali 13:11 "Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa".

Kumbukumbu 18:10 "Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri"

proshabo
1 Views · 1 year ago

#SYLASS TV ONLINE WASILIANA NASI KWA +255742692079

proshabo
2 Views · 1 year ago

Yakobo 1:26 "Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai.
27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawa"

proshabo
2 Views · 1 year ago

MTAWALA SEHEMU 1
mkojani
MAMBWENDE BENDERA
FAGIO SERIES TINWHITE
RINGO

proshabo
2 Views · 1 year ago

Buy it from iTunes: https://geo.itunes.apple.com/i....n/album/woga-wako/id
Listen and share Woga Wako by Rose Muhando. Rose Muhando is a Gospel artist from Tanzania. Loved this song?
Subscribe to Rose Muhando's official YouTube channel: http://ow.ly/AtkDz.

Subscribe to Injili for Gospel music from Africa. Click here:

http://ow.ly/yvLg6
Find Injili on Facebook
https://www.facebook.com/InjiliAfrica
Find Injili on Twitter:

http://twitter.com/InjiliAfrica

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/revdanielmgogo/
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

proshabo
5 Views · 1 year ago

Romans 8 says “in all things we are more than conquerors through Him that loved us”

𝗟𝘆𝗿𝗶𝗰𝘀:
Tokea mwanzo
From the beginning
Tumekusudiwa
We are destined
Tumeahidiwa
We are promised
Baraka za Bwana
The blessings of the Lord

Twajua thamani
We know the value
(Yetu kwa Bwana)
(Ours to the Lord)
Sisi ni warithi wa
We are the heirs
(Zake baraka)
(Of his blessing)

Mateso unayopitia ni temporary
Your sufferings are temporary
(Temporary)
Shida unazopitia ni temporary
The struggles you are going through are temporary
(Temporary)
Magumu unayopitia ni temporary
The difficulties you are going through are temporary

(Temporary)
Say temporary
(Temporary)

Inuka simama
Stand up
Wewe umebarikiwa
You are blessed
Inuka simama
Stand up
Kwake Bwana
For the Lord

Tokea mwanzo
From the beginning
Tumekusudiwa
We are destined
Tumeahidiwa
We are promised
Baraka za Bwana
The blessings of the Lord

Twajua thamani
We know the value
(Yetu kwa Bwana)
(Ours to the Lord)
Sisi ni warithi wa
We are the heirs
(Zake baraka)
(Of his blessing)

We are more than conquerors
(Conquerors)
Tunashinda zaidi ya kushinda
We are conquerors more than conquerors
Through Christ
__
On this 5th drop "Temporary" from 𝗦𝗜𝗡𝗚 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞𝗦𝗚𝗜𝗩𝗜𝗡𝗚 (Worship in Spirit) Project held on 03 December 2021 at CCC Upanga Auditorium, We would like to thank God for the whole team, The Song Leader Minister - David Kusekwa & Charles Kondoro, Our Church - AICT Chang’ombe, The Committee, Our Sponsors & All contributions and support from everyone.

Song Written by: Samwel Limbu

Credits:
Video Captured & Directed by: Johnson Amigo
Video Edited by: Titus Alfred
Color Graded by: Emack Studios
Audio - Captured, Mixed & Mastered by: Frester’s Record (Fredrick Masanja)

FOH and Backline Provided by;: ABE Professional Sound
Sound Engineer; Jeddy DC
Ass. Sound Engineers; Greyson Bruno & George Shoo
Lights: Allan Lights
Stage: Hugo Domingo
#neemagospelchoir #gospelmusic #gospeltanzania #Temporary

𝐂𝐨𝐧𝐧𝐞𝐜𝐭 𝐰𝐢𝐭𝐡 𝐮𝐬 𝐕𝐢𝐚:
Instagram : Neema Gospel Choir
Fecebook : Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir
Whatsapp: https://wa.me/message/3UP76KFADMY4D1
www.neemagospelchoir.org
©️2022

proshabo
6 Views · 1 year ago

Yakobo 1:26 "Mtu akidhani ya kuwa anayo dini, wala hauzuii ulimi wake kwa hatamu, hali akijidanganya moyo wake, dini yake mtu huyo haifai"




Showing 6 out of 7