Latest videos

proshabo
1 Views · 1 year ago

Wimbo wa hakuna mungu kama wewe bwana ambao umerudiwa na ukapigwa kisasa zaidi.

proshabo
4 Views · 1 year ago

ANGALIA KWAYA YA KIJITONYAMA WAKIIMBA HAKUNA MUNGU KAMA WEWE LEO MLIMANI CITY KTK CHRISTMAS CAROLS LIVE

proshabo
5 Views · 1 year ago

Kwaya ya kkkt kijitonyama hawa wakongwe walifanya performance Nzuri kabisa siku ya tar 19/12/2016 mlimani city Sam.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs

The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

proshabo
1 Views · 1 year ago

#Eliwinjuka #BamBam #SlideDigital

Eliwinjuka Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:

Follow Eliwinjuka on:
https://www.instagram.com/eliwinjuka_mafwenga/
https://www.facebook.com/eliwinjuka.mafwenga.9

Channel Administered by Slide Digital
Instagram: https://www.instagram.com/slidedigitaltz

proshabo
4 Views · 1 year ago

Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs

The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

proshabo
6 Views · 1 year ago

Live Performance Kwaya ya K.K.K.T Usharika Wa Kijitonyama Uinjilisti

Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs

The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kitabu cha Mithali 19:14.

"Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali MKE MWENYE BUSARA, MTU HUPEWA NA BWANA".

Ujumbe wa wimbo huu wa injili kutoka Mkemwema Choi Umezaliwa katika mstari huo wa Biblia, tunaamini ukiusikiliza kwa makini wimbo huu, Utabarikiwa zaidi. Asante na MUNGU wa mbinguni akubariki. Amen!

_________
Song: Mke mwema
Artists: Mkemwema Choir
Video Album: MKE MWEMA

_________
►Tazama nyimbo nyingine kutoka katika Album ya Video ya MKE MWEMA👇🏽👇🏽
🔘Dunia isikuhadae ~ https://youtu.be/aUYefGWg8Go
🔘Kwa Maana ~ https://youtu.be/g2cLB0Df4NE
🔘Yeriko ~ https://youtu.be/sBQzuFLbD3A
🔘Njoo Kwangu ~ https://youtu.be/21YK6uGBYnU
🔘Upewe Sifa ~ https://youtu.be/HARNhkCD2DE
🔘Wema ~ https://youtu.be/urtMBfP6zEU
🔘Mbiu ~ https://youtu.be/xVQBJeoHob0
🔘Heri Sifa Njema ~ https://youtu.be/L_akYgVXctw

_________
►Tufikie kupitia Kurasa zetu za Kijamii
🔘Instagram ~ https://www.instagram.com/mkemwemachoir/
🔘Facebook ~ https://www.facebook.com/mkemwemachoirtz/
🔘Twitter ~ https://www.twitter.com/mkemwemac/

_________
►Mawasiliano Zaidi
📞 Simu: +255 755717519
📩 Barua Pepe: mkemwemachoir@gmail.com

_________
Haki zote zimehifadhiwa©2018.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Live @Metropole Cinema Hall in Arusha

proshabo
0 Views · 1 year ago

Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs

The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

proshabo
1 Views · 1 year ago

Christmas Carols ni event ya Gospel iliyo chini ya Clouds Media Group chini ya Kipindi cha Gospel CHOMOZA & GT. Live from Mlimani City Tanzania

proshabo
1 Views · 1 year ago

LIVE kwenye Ibada tarehe 10 Septemba 2017

proshabo
6 Views · 1 year ago

Live kwenye Ibada ya tarehe 30 Julai 2017

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama ilivyobariki makumi elfu ya watu waliojitokeza kumsifu Mungu kupitia tamasha la pasaka lililofanyika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, kama lilivyoandaliwa na kampuni ya Msama Promotions

proshabo
1 Views · 1 year ago

Tabata Mennonite Choir - Getsemane (Official Video)

#TabataMennoniteChoir #TabataChoir
Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs

The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music, kikuyu gospel music, taarab music, bongo movie, bongo movies, tanzania movies, kanumba movie, steven kanumba, swahili gospel music, kikuyu, mugithi, mugithi mix

proshabo
5 Views · 1 year ago

Song: Bam Bam | Artist: Kijitonyama Upendo Group
SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs | http://bit.ly/InjiliAfrica
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Enjoy & stay connected with us!!
Visit InjiliAfrica channel for more Gospel Songs: http://www.youtube.com/InjiliAfrica
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/InjiliAfrica
Follow us on Twitter: https://twitter.com/InjiliAfrica
Stream music free at our official Website: http://www.mziiki.com

proshabo
3 Views · 1 year ago

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING - 28 JULY 2023

SOMO: KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI

Waamuzi 6 : 12 - 14
Waamuzi 6 : 17 - 23
Ezekiel 17 : 22 - 24


Waamuzi 6 : 12 - 14

12 Malaika wa Bwana akamtokea, akamwambia, Bwana yu pamoja nawe, Ee shujaa.

13 Gideoni akamwambia, Ee Bwana wangu, ikiwa Bwana yu pamoja nasi, mbona mambo haya yote yametupata? Yako wapi matendo yake ya ajabu, waliyotuhadithia baba zetu, wakisema, Je! Siye Bwana, aliyetuleta huku kutoka Misri? Ila sasa ametutupa, naye ametutia katika mikono ya Midiani.

14 Bwana akamtazama, akasema, Enenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma?

Waamuzi 6 : 17 - 23

17 Naye akamwambia, Kama nimepata kibali mbele za macho yako, basi unionyeshe ishara, ya kuwa ndiwe wewe unayesema nami.

18 Tafadhali, usiondoke hapa hata nikujie, nikatoe zawadi yangu, na kuiweka mbele zako. Akasema, Nitangoja hata utakaporudi.

19 Basi Gideoni akaingia ndani, akaandaa mwana-mbuzi, na mikate isiyotiwa chachu, ya efa ya unga; akaitia ile nyama katika kikapu, akautia mchuzi katika nyungu, akamletea hapo nje chini ya mwaloni, akampa.

20 Naye malaika wa Mungu akamwambia, Itwae nyama na mikate isiyotiwa chachu, uiweke juu ya mwamba huu, ukaumwage huu mchuzi. Akafanya hivyo.

21 Ndipo malaika wa Bwana akanyosha ncha ya fimbo ile iliyokuwa mkononi mwake, akaigusa ile nyama na ile mikate; moto ukatoka mwambani, ukaiteketeza ile nyama na mikate; malaika wa Bwana akaondoka mbele ya macho yake.

22 Gideoni akaona ya kuwa ni malaika wa Bwana; Gideoni akasema, Ole wangu, Ee Bwana MUNGU! Kwa kuwa nimemwona Bwana uso kwa uso.

23 Bwana akamwambia Amani iwe pamoja nawe; usiogope; hutakufa.

Ezekiel 17 : 22 - 24

22 Bwana MUNGU asema hivi; Mimi nami nitakitwaa kilele kirefu cha mwerezi, na kukipandikiza mahali; na katika vitawi vyake vilivyo juu nitatwaa kitawi kimoja kilicho chororo, nami nitakipanda juu ya mlima mrefu ulioinuka sana;

23 juu ya mlima wa mahali palipoinuka pa Israeli nitakipanda; nacho kitatoa matawi, na kuzaa matunda, nao utakuwa mwerezi mzuri; na chini yake watakaa ndege wa kila namna ya mbawa; katika uvuli wa matawi yake watakaa.

24 Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, Bwana, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, Bwana, nimenena, nami nimelitenda jambo hili.


Mhubiri : Mwl. Emilian Katubayemo

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

proshabo
2 Views · 1 year ago

Jicho la Tatu kutoka Kwaya ya Msasani KKKT iliwekwa wakfu na kuzinduliwa tarehe 8 Desemba, 2019

proshabo
1 Views · 1 year ago

Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama - Nakimbilia Msalabani (Official Music Audio)

proshabo
3 Views · 1 year ago

These are beautiful songs in Swahili and they are vintage but the message and sweetness never fades away
NB: We apologize for the quality of some songs featured . But the good thing is that the deep message of the gospel of Christ can be heard.

Thank you Habil for requesting these songs. 🙏

Subscribe like share comment and request Christian song you would like featured in our playlists. Thank you.

The rights of the songs in this video belongs to their rightful owner and we don't any rights we've used for evangelism and entertainment purpose only.

DOWNLOAD MP3 LINK:

https://hearthis.at/ark-generation/
old-is-gold-kwaya-ya-uinjilisti-ya-vijana-arusha-128k
Privacy

proshabo
3 Views · 1 year ago

Swahili Worship

proshabo
2 Views · 1 year ago

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH :IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS - 28 JULY 2023

SOMO: KUFUNGULIWA KUTOKA KATIKA CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI

Mithali 16 : 1
Isaya 43 : 16, 18 - 19
Isaya 51 : 1 - 3
Yohana 1 : 46


Mithali 16 : 1

1 Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana.

Isaya 43 : 16, 18 - 19

16 Bwana asema hivi, yeye afanyaye njia katika bahari; na mahali pa kupita katika maji yenye nguvu;

18 Msiyakumbuke mambo ya kwanza, wala msiyatafakari mambo ya zamani.

19 Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani.

Isaya 51 : 1 - 3

1 Nisikilizeni, ninyi mnaoifuatia haki; ninyi mnaomtafuta Bwana; uangalieni mwamba ule ambao mlitolewa kwa kuchongwa, na tundu la shimo ambalo mlitolewa kwa kuchimbuliwa.

2 Mwangalieni Ibrahimu, baba yenu, na Sara, aliyewazaa; kwa maana alipokuwa mmoja tu nalimwita, nikambariki, nikamfanya kuwa wengi.

3 Maana Bwana ameufariji Sayuni; amepafariji mahali pake palipokuwa ukiwa; amefanya jangwa lake kuwa kama bustani ya Edeni, na nyika yake kama bustani ya Bwana; furaha na kicheko zitaonekana ndani yake, kushukuru, na sauti ya kuimba.

Yohana 1 : 46

1 Maneno hayo nimewaambia, msije mkachukizwa.



Mhubiri : Mwl. Emilian Katubayemo

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com

proshabo
1 Views · 1 year ago

Wimbo : NIMEFUFUKA
Mtunzi : MWITA ISACK
Waimbaji : KWAYA YA MT. YOHANE MBATIZAJI, PAROKIA YA MT. YAKOBO
MKUU - KIJITONYAMA (DSM)
Organist : BARAKA T. MASHIBE
Audio : HOLY TRINITY STUDIO
Video : THE GALAXY PRO

proshabo
7 Views · 1 year ago

KWAYA YA MT. YOHANE MBATIZAJI PAROKIA YA MT. YAKOBO MKUU MTUME KIJITONYAMA DSM.
WIMBO: SHINA LA HEKIMA

MTUNZI: DIONIZ KIPANYA

HARMONY: MWITA ISACK

VIDEO: HOLY TRINITY

AUDIO: RAJO PRODUCTION.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

proshabo
2 Views · 1 year ago

Wapendwa wetu, tunayo heshima kubwa kuwaletea muhtasari wa ziara ya Kwaya iliyofanyika Karagwe.

Tumemuona Mungu sana kupitia sadaka zenu, upendo wenu, na kujitoa kwenu kufanikisha Huduma hii.

Mungu wa mbinguni, aendelee kuwajaalia na kuwabariki kila mmoja kwa kadiri ya hitaji lake sawa sawa na mapenzi ya Mungu.

Na hii ikawe mbegu njema, tukakue katika kuendelea kuifanya kazi hii, kila mara na mahali popote tutakapo tumwa.

MUNGU WA SIFA ZAKO ASINYAMAZE
#safariyakaragwe #hudumayakaribu #udiakonia #karagwe #kwayayauinjilistikijitonyama #kijitonyamalutheranchurch

proshabo
1 Views · 1 year ago

~ Tanzanian gospel song.

proshabo
9 Views · 1 year ago

Live @Metropole Cinema Hall in Arusha

proshabo
1 Views · 1 year ago

NAMTAFUTA BWANA - KKKT Kijitonyama kwaya
toka kwenye album ya Namtafuta Bwana

proshabo
5 Views · 1 year ago

One of the songs available in the new album known as NDANI YA SAFINA

proshabo
2 Views · 1 year ago

Sitaki kujua ilikuwaje, Sitaki kujua ilikuw vipi..! ninachojua nilikuwa kipofu sasa naona, nilikuwa kiwete sasa ninatembea......AMEFANYAJE..?
Karibu kubarikiwa na ujumbe huu na Mungu akubariki.

proshabo
2 Views · 1 year ago




Showing 124 out of 125