Latest videos
Hakuna Mungu Kama Wewe - KKKT Kijitonyama Choir
Subscribe to Africha Entertainment: http://bit.ly/AfichaSubs
The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music
humble ourselves before GOD
Huu ni Wimbo wa majira yote kwa Mkristo kwa sababu katika maisha yetu, kila inapoitwa leo Yesu kristo anatupigania shukrani pekee ni kukiri kumpenda Yesu, kumrudishia sifa utukufu, Matendo mema, na kuliishi neno la Mungu.
Tunakukaribisha wewe mdau na mshirika wetu ambae umekuwa ukibarikiwa na huduma yetu kwa miaka mingi. Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama tunazidi kukusihi endelea kushiriki baraka hizi pamoja nasi kwa kumtolea Mungu dhabihu na sadaka itakayofanikisha huduma yake kuwa karibu pamoja na udiakonia
Tuma sadaka yako kupitia namba hizi:
CRDB BANK ACC/No: 0111013720000
TIGO: 0677071001
VODA: 0746440000
Jina: Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama
MUNGU WA SIFA ZAKO ASINYAMAZE
#safariyakaragwe #hudumayakaribu #udiakonia #karagwe #kwayayauinjilistikijitonyama #kijitonyamalutheranchurch⛪
Song: Ee Bwana Nimekuita
Album: Namtangaza Kristo
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama inakuletea wimbo unakwenda kwa jina la Ebeneza. Wimbo huu ni mmoja kati ya nyimbo zilizo kwenye Albam ya HACHELEWI.
Karibu usikilize ujumbe wa neno la Mungu pamoja nasi.
Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti yetu kijitochoir.com
Kurasa zetu za mitandao ya kijamii pia.
Kama Mungu Aishivyo ,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Album:Namtangaza Kristo
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed
(Official Video)
Wimbo: Tangu nimjue Yesu
Album: Kijito Collection One
Nimrudishie nini Bwana,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania. It is all about giving thanks to God for what He has in our lives .That is the theme of the song.
Album:Hakuna Mwanaume Kama Yesu
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed
Kwa Neema Twaokolewa,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Album:Namtangaza Kristo
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed
Ee Baba Kama sio Wewe Ningekuwa wapi .Ni mistari ya wimbo kuonyesha shukrani kwa Mungu hakika kama si Mungu ungekuwa wapi leo.
If not for the Lord ,where would you be? A song is about appreciating the work of Lord God on what He has done in your Life.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimba wimbo wa Tumaini Shangilieni Kwaya kutoka album ya Nisamehe, kwenye tamasha la 'Kwaya Festival 2017' ambalo limefanyika Arusha, Hoteli ya Mount Meru.tarehe 30 Aprili.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa HAKUNA MUNGU KAMA YESU.
Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,
Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio
Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..
@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa HAKUNA MWANAUME KAMA YESU.
Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,
Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio
Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..
@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe
One of the songs available in the new album known as NDANI YA SAFINA
A song Masiah Wanyi from Album HAKUNA MUNGU KAMA WEWE.
Provided to YouTube by Modest Morgan
Lwayeei (feat. Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church) · Modest Morgan · Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church · Modest Morgan · Modest Morgan
Hakuna Mungu Kama Wewe (feat. Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church)
℗ Modest Morgan
Released on: 2005-01-21
Auto-generated by YouTube.
Karibu ushiriki nasi baraka za Mungu katika wimbo huu kutoka Kwaya Ya Uinjilisti Kijito.
JINA: TOYELELO
Video ya wimbo huu, ilirekodiwa katika ibada maarufu ya sifa (MSIMU WA PILI) ijulikanayo kama:
SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA.
Ni matumaini yetu kuwa utakwenda kubarikiwa na kumsifu Mungu kupitia wimbo huu.
Tunakusihi upatapo baraka za wimbo huu, basi shirikisha na wengine pia.
Namtangaza Kristo ,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Album:Namtangaza Kristo
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed
Ndani ya Safina ,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Album:Ndani ya Safina
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed
Karibu ushiriki nasi baraka za Mungu katika wimbo huu mpya kutoka Kwaya Ya Uinjilisti Kijito.
JINA: EE YAHWEH
Video ya wimbo huu, ilirekodiwa katika ibada maarufu ya sifa (MSIMU WA PILI) ijulikanayo kama:
SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA.
Ni matumaini yetu kuwa utakwenda kubarikiwa na kumsifu Mungu kupitia wimbo huu.
Tunakusihi upatapo baraka za wimbo huu, basi shirikisha na wengine pia.
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa NDANI YA SAFINA.
Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,
Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio
Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..
@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe
Hakuna Mungu Kama Wewe ,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Wimbo: Dhambi ni dhambi
Album: Kijito Collection One
Dhambi ni Dhambi ni wimbo ulioimbwa na kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama na kubariki sana watu kuanzia miaka ya 2000, na sasa umerudiwa tena kwa ustadi mwaka 2019, katika studio za kisasa za Kijito Studio.
Uzinduzi wa album yenye wimbo huu, unafanyika tarehe 17 Februari 2019 Usharika wa Kijitonyama.
Karibu.
Kwa mawasiliano na taarifa zaidi, tafadhali tembelea tovuti ya kwaya
https://www.kijitochoir.com
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti
https://www.instagram.com/kiji....tonyamauinjilisticho
Follows Us at https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti/
Tafakari Upendo wa Mungu ,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Album:Namtangaza Kristo
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed
Unapoukaribisha mwaka mpya, tambua kwamba ni kwa sababu MUNGU ANAKUPENDA, sio kwamba wewe ni mwema ama unafaa sana, ni mapenzi yake Mungu Baba yetu.
Joshua Mlelwa Na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama wakiimba wimbo wa MUNGU ANAKUPENDA. Katika ibada maarufu Siku Ya Mbingu Kujaa Sifa Season 2.
Karibu usikilize Ujumbe wa Neno la Mungu.
KKKT KIJITONYAMA: KWAYA YA UINJILISTI
Kuelekea safari ya Karagwe tumepokea baraka tele na maombezi kwa kila mmoja wetu kutoka kwa Baba yetu @rev.dr.elionakimaro tayari kwenda kulitangaza neno la MUNGU na kufanya #udiakonia. Wanakaragwe mkae tayari kupokea baraka. Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tunakuahidi @rev.dr.elionakimaro na wapendwa wote ya kuwa Tupo tayari kumtumikia Bwana🙏 #hatutowaangusha
Tunakusihi endelea kumtolea Mungu dhabihu na sadaka kupitia namba hizi:
CRDB BANK ACC/No: 0111013720000
TIGO: 0677071001
VODA: 0746440000
Jina: Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama
MUNGU WA SIFA ZAKO ASINYAMAZE
#safariyakaragwe #hudumayakaribu #udiakonia #karagwe #kwayayauinjilistikijitonyama #kijitonyamalutheranchurch⛪
Song: Ee Yahwe Simbanga | Artist: Kijitonyama Choir
SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs | http://bit.ly/InjiliAfrica
#LISTEN | #LOVE | #SHARE
Enjoy & stay connected with us!!
Visit InjiliAfrica channel for more Gospel Songs: http://www.youtube.com/InjiliAfrica
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/InjiliAfrica
Follow us on Twitter: https://twitter.com/InjiliAfrica
Stream music free at our official Website: http://www.mziiki.com
Wimbo: Bado Lipo Tumaini
Artist: Kijitonyama Uinjilisti Choir
Katika wakati huu na nyakati zingine zenye changamoto za maisha kwa wanaadamu kiasi cha kupoteza matumaini. Pale ambapo Akili zetu, Sayansi, Utaalam, Elimu na Mamlaka zinapoteza matumaini.
Neno la Mungu linasema BADO LIPO TUMAINI kwa kila aaminiye. Kwake Yesu Kuna Tumaini.
https://www.instagram.com/kiji....tonyamauinjilisticho
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti
Provided to YouTube by Modest Morgan
Msalaba Wa Yesu (feat. Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church) · Modest Morgan · Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church · Modest Morgan · Modest Morgan
Hakuna Mungu Kama Wewe (feat. Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama Lutheran Church)
℗ Modest Morgan
Released on: 2005-01-21
Auto-generated by YouTube.
Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: http://bit.ly/WyldSubs
Wyld Pytch / 51 Lex Records
Web - http://wyldpytch.com/
Instagram- www.instagram.com/wyldpytch51lex/
Facebook - https://www.facebook.com/51LexRecords...
Tiktok: https://www.tiktok.com/@wyldpytch51lexrecords?
Twitter - https://twitter.com/WyldPytch
UZITO WA MSALABA
1. Hukujua uzito wa msalaba,
Hukujua gharama ya msalaba,
Hukujua fedheha ya msalaba,
Aliyoibeba mwokozi wetu (Bwana wetu)×2
:/: Akaachwa uchi msalabani,
Akalia kwa sauti kuu,
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba x2
2. Kwamba ni tani ngapi hukujua,
Kwamba ni kilo ngapi hukujua,
Jambo moja hakika ninajua,
Msalaba ulimwangusha chini (Bwana wetu) ×2
:/: Akaachwa uchi msalabani,
Akalia kwa sauti kuu,
Baba yangu mbona waniacha
Huo ndio uzito wa msalaba x2
Instagram : https://instagram.com/kijitonyamauinjilistichoir
Facebook :
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti
Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa ASIFIWE aka ASALI.
Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.
Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,
Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio
Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..
@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe
Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama - Nakimbilia Msalabani (Official Music Video)
Lyrics
MSALABANI
Msalabani Yesu ilishinda kifo
Ulipowambwa kwa ajili yetu
Pale ndipo uliposema imekwisha
Tumeoshwa dhambi zetu
:/:Nakimbilia msalabani
Ndipo mwanzo wa yote mema
Mizigo yangu naitua pale
Pumziko uzima daima x2
Damu ilomwagika msalabani pale
Damu ya mwanakondoo wa Mungu
Nioshwe mwenye taka nitakaswe
Niimbe sifa zako za milele
Wajue pendo lako Mataifa
Zivume sifa zako Bwana Yesu
Umenikrimia damu yako Bwana Yesu
Nakusifu daima
*********
Instagram : https://instagram.com/kijitonyamauinjilistichoir
Facebook :
https://www.facebook.com/KijitonyamaUinjilisti