Latest videos

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama katika Ibada ya SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA Season One, wakiimba wimbo wa MSALABA WA YESU.

Siku ya Mbingu kujaa sifa ni Ibada ya Kusifu ambayo inaandaliwa na Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama.

Wasiliana nasi kupitia namba +255 746 440000 ili uweze kujipatia nakala yako sasa kwa Sadaka ya Tsh.10,000 kwa upande wa DVD na Audio CDs ,

Na Tsh30,000 kwa upande wa Kijito Flash inayojumuisha Video pamoja na Audio

Sisi @kijitonyamauinjilistichoir tutahakikisha nakala yako inakufikia popote ulipo ndani ya Tanzania na popote Ulimwenguni ..

@kijitonyamauinjilistichoir
#SikuYaMbinguKujaaSifa
#SingLikeNeverB4
#HakunaMunguKamaWewe

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama ikiimbwa wimbo HAKUNA KAMA WEWE- MSALABA WA YESU katika Huduma Live iliyofanyika kwa hisani ya HOMA TVE EPISODE 9

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Hakuna Mwanaume Kama Yesu .-There is no one like Jesus.
A song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam .

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama ikiimbwa wimbo AMENITENDEA katika Huduma Live iliyofanyika kwa hisani ya HOMA TVE EPISODE 9

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

Msalaba wa Yesu ,a song by Kijitonyama Uinjilisti Choir of Dar es Salaam Tanzania.
Album:Hakuna Mungu Kama Wewe
List of other songs by this Choir Include Hakuna Mungu Kama Wewe ,Simba wa Yuda ,Hakuna Mwanaume kama Yesu and many others .Please visit our channel to watch more videos and Be blessed

proshabo
11 Views ยท 1 year ago

Hakuna Mungu Kama Wewe
Wimbo ambao umepewa kibali na Mungu, kuimbika na kusikilizwa na watu wa kila rika, kila dini, mahali pote duniani, kwa utukufu wa Mungu.

Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama, inawakaribisha wote kuimba kwa kumsifu Mungu kupitia wimbo huu. Iwe katika Furaha, Majonzi na hali yoyote ile, kumbuka HAKUNA MUNGU KAMA YEYE, ANAWEZA.

ANGALIZO:
Mtu yeyote anaruhusiwa kuuimba wimbo huu, bila kuvunja sheria za haki miliki. Lakini zaidi ala na maudhuri ya wimbo huu, yasitumike kwenye ujumbe tofauti na malengo yake. Imba, cheza, sifu lakini tunza maana na makusudi ya ujumbe wa wimbo huu.

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

ABOUT THE WORSHIP CHANNEL
https://goo.gl/A9DJsD
PAUL MWANGOSI // YESU OOH YESU - INSTRUMENTS COVER - SAXOPHONE
ALL KINDS OF INSTRUMENTS OF PAUL MWANGOSI SONGS
SAXOPHONE COVER
BASS COVER
SOLO COVER
SOUTH AFRICA STYLE COVER
PROGRAMMING
LIVE PERFORAMANCE PAUL MWANGOSI

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Bwana atafanya njia hakika. Haijalishi unayo yapitia, alilolisema YHWH atalitimiza maana yeye ni mwaminifu.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

Contact Israel Ezekia.
WhatsApp +254787282716
Facebook: Israel Ezekia
Instagram: @israelezekia
Twitter: @israelezekia
email: israelezekia@gmail.com

Youโ€™re a good king, faithful, father your able to do all things *2
You have power you cannot be defeated receive all the glory
CHORUS
We give you honor and all the praise oh God be magnified
Verse Two
Holy Holy is the Lord of hosts the whole earth is full of your glory *2
CHORUS
We give you honor and all the praise oh God be magnified *3
Be magnified Be magnified oh God be magnified

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

#worship #kenyaletsworship #Chazimamusic #trend #kingofkings #Adonai #kenyan #egemeo #mapenziyako #yourwill #paulmwangosi

proshabo
0 Views ยท 1 year ago

Next time ntaosha chord break down
@musician,@Minister

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

D'VINE WORSHIP MINISTRIES PRAISE & WORSHIP TEAM
Sunday 19th April 2020 live stream services

Cover by Israel Justin https://www.youtube.com/channe....l/UCNV5MYS9pJ2H_c4bf
+254 741 730 373

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Azory Gwandu aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha ameshinda tuzo ya Daudi Mwangosi inayotolewa kila mwaka na umoja wa Klabu za waandishi wa habari nchini (UTPC).

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Yesu Mwokozi Mfalme Mkuu Mtakatifu

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Praise the Living God brethren, I give glory and honor to God for this wonderful day He has blessed with us. Yes join us in this worship and I believe the is going to Remember you. Every tear the Lord is going to remember it in Jesus name.

proshabo
5 Views ยท 1 year ago

Jinsi sadaka inavyoleta majibu ya maisha yako

proshabo
5 Views ยท 1 year ago

Njiwa media imetembelea zilipo ofisi za Mchungaji wa Kanisa la Moravian ushirika wa Kiwira,na hiki ndicho alichozungumza kupitia Njiwa Media.Usiache ku Subscribe Channel hii ya Kanisa la Moravian Jimbo la kusini. Ahsante

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Praise God family, it's another wonderful time I invite you to join and worship our God together.
Remember to #subscribe , #like ,#share

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

#MarggieDawn #Hossana

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

NYIMBO ZA KUABUDU โœ… NEW SWAHILI GOSPEL MUSIC โœ… BEST SWAHILI WORSHIP โœ… GOSPEL WORSHIP SONGS โœ… CHRISTIAN WORSHIP SONGS
christian worship songs | best worship songs | swahili gospel songs | gospel music | gospel songs | praise and worship.
๐Ÿ”ด Please SUBSCRIBE to this channel - Thank you in advance ๐Ÿ’ž. May God bless you richly๐Ÿ™๐Ÿ™.
#gospelmusic #gospelsongs #worshipmusic #praiseandworshipsongs #kuabudu #gospelworshipsongs #bestworshipsongs #bestgospelsongs #nyimbozakuabudu #music #swahiligospel #mix #worship #praise #contemporaryworship #mixes #trending #kambasongs #tanzania #best #latest #tenzizarohoni #nyimbozawokovu #hymns #swahili #gospelmusic #kenya #salvation #music #musicvideo #tanzania

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Your name is powerful ooh
(lina nguvu jina lako ooh)

The name of Jesus is powerful
(lina nguvu jina la Yesu)

Verse;
In the name of Jesus, the crippled can walk
(kwa jina la Yesu vilema watembea)

In the name of Jesus, the deaf can hear
(kwa jina la Yesu viziwi wasikia)

In the name of Jesus, the crippled can walk
(kwa jina la Yesu vilema watembea)

In the name of Jesus, the dumb can talk
(kwa mina la Yesu mabubu wanasema)

In the name of Jesus, the crippled can walk again
(kwa jina la Yesu vilema watembea tena)

In the name of Jesus, the dumb can talk again
(kwa jina la Yesu mabubu wanasema tena)

CHORUS
Your name is powerful
(lina nguvu jina lake ooh)
The name of Jesus is powerful
(lina nguvu jina la Yesu)

Jesus, Jesus, Jesus
(Yesu, Yesu, Yesu)

YHWH YHWH YHWH

Make some noise for Jesus
(piga kelele kwa ajili ya Yesu)

Your name is powerful
The name of Jesus is powerful

Artist - Elisha Mbukwa
Song - Lina nguvu Jina la Yesu (Your name is Powerful)
Album - Yahweh be Glorified (Live DVD Recording) Recorded at Tanzania Dar Es Salaam
Music Director - Samuel Mboya
Audio - Frester`s Records
Subtitle - Doreen Lifard
Video - Amigo Johnson

For bookings - Contacts (whatsApp) +255 713 629 867
Email - elishambukwa@gmail.com
Instagram - elisha_mbukwa

proshabo
7 Views ยท 1 year ago

Sehemu 1: https://youtu.be/DGi04pAYxuM
Sehemu 2: https://youtu.be/l6bt57zmWb4

Hii safari ya kupitia kwa Maandiko ya manabii inakualika ukutane na Mfalme wa ulimwengu na uelewe mpango wake wa kuwaokoa wana wake walioasi, ili watoke kwenye ufalme wa giza na awawezeshe waishi naye milele katika ufalme wake wa mwanga. Ikiwa na masimulisi ya kiundani mchanganyiko mzuri wa vibonzo na picha za video, filamu hii imelenga watu wote wa Ulimwengu na wa umri wote.

Urefu wa filamu hii ni dakika 222 na imeainishwa katika milango 70 na kupangiwa katika mfululizo wa matukio 15 katika sehemu mbili kuu:
Mgawo wa 1 Agano la Kale: Mfalme anaeleza mipango yake (Vipengee 1-8)
Mgawo wa 2. Agano Jipya: Mfalme anatimiza mpango wake (vipengee 9:15)

Mfalme wa Utukufu 1: Hadith katika vipengee 15.
Mgawo wa 1. Agano la Kale: Mfalme anatabiri mipango yake (Saa moja na dakika 47)
1. Utangulizi, (sehemu ya 1-3)
2. Mwumba na Uumbaji wake (sehemu ya 4-9)
3. Kuingia kwa uovu (sehemu ya 10-15)
4. Laana ya dhambi na Ahadi ya Mungu (sehemu 16-19)
5. Njia ya Kafara (sehemu ya 20-24)
6. Uasi wa Mwanadamu na Uaminifu wa Mungu (sehemu ya 25-27)
7. Mpango wa Mungu wasonga mbele (sehemu ya 28-32)
8. Sheria na Manabii (sehemu ya 33-36)

Mgawo wa 2. Agano Jipya: Mfalme Atimiza mpango wake (saa 1 dakika 55)
9. Kuingia kwa Mfalme (sehemu ya 37-42)
10. Asili ya Mfalme (sehemu ya 43-47)
11. Himaya ya Mfalme (sehemu ya 48-51)
12. Misheni ya Mfalme (sehemu 52-56)
13. Maneno ya mwisho ya Mfalme (sehemu 57-61)
14. Kafara ya Mfalme na Ushindi (sehemu 62-65)
15. Injili ya Mfalme na Utukufu (sehemu 66-70)
Jinsi Mungu wetu alivyo Mkuu (Ikiimbwa kwa Kiarabu)

ยฉ 2019 ROCK International http://www.king-of-glory.com

This journey into the Scriptures of the prophets invites you to meet the one true God and understand His plan to rescue His rebellious subjects from the kingdom of darkness and qualify them to live with Him forever in His kingdom of light. With its thought-provoking narrative and inspired mix of animation and live video, this film is for a worldwide audience of all ages.

The full film is 222 minutes, composed of 70 Scenes grouped in 15 episodes, and divided into two main parts:
Part 1. Old Testament: The King Foretells His Plan {Episodes 1-8}
Part 2. New Testament: The King Fulfills His Plan {Episodes 9-15}

KING of GLORY: 1 STORY in 15 EPISODES
Part 1: Old Testament: The King Foretells His Plan [1 hour 47 minutes]
1. Prologue (Scenes 1-3)
2. The Creator & His Creation (Scenes 4-9)
3. Evilโ€™s Entrance (Scenes 10-15)
4. Sinโ€™s Curse & Godโ€™s Promise (Scenes 16-19)
5. The Way of the Sacrifice (Scenes 20-24)
6. Manโ€™s Rebellion & Godโ€™s Faithfulness (Scenes 25-27)
7. Godโ€™s Plan Advances (Scenes 28-32)
8. The Law & the Prophets (Scenes 33-36)

Part 2: New Testament: The King Fulfills His Plan [1 hour 55 minutes]
9. The Kingโ€™s Entrance (Scenes 37-42)
10. The Kingโ€™s Character (Scenes 43-47)
11. The Kingโ€™s Dominion (Scenes 48-51)
12. The Kingโ€™s Mission (Scenes 52-56)
13. The Kingโ€™s Submission (Scenes 57-61)
14. The Kingโ€™s Sacrifice & Triumph (Scenes 62-65)
15. The Kingโ€™s Gospel & Glory (Scenes 66-70)
How Great is Our God (Sung in Arabic)
Credits

ยฉ 2019 ROCK International http://www.king-of-glory.com

proshabo
6 Views ยท 1 year ago

Worship minister on a mission to bring souls to Jesus Christ through music. For bookings contact me through this email alimukhwana@gmail.com or call +254101024624

Watch new song - Maombi Yangu https://youtu.be/s1xXNLaiDMA

Download "Mwenye Enzi" audio here: https://mdundo.com/song/1624759

#AliMukhwana #MwenyeEnzi

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

#burialceremony#livestreaming

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Ukuu wa Mungu hauelezeki, na hasa katika kutawala kwake... Yeye hutawala kote Duniani na Mbinguni. Utawala wake hauna mipaka wala ukomo na yeye hutawala milele yote. Napenda kuutukuza ukuu wake na matendo yake makuu.

So Mungu akubariki kwa kipande hiki kifupi cha wimbo unatawala by Paul Mwangosi.

Cover:

MICC praise team song led by Juma Luchele and Joel Kaema.

proshabo
7 Views ยท 1 year ago

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

#Mtakatifu#HolyHoly#IwontBowTogods#KenyanWorship.

Frank perfoming Mtakatifu(Holy Holy)
Lyrics in swahili
I will worship no other gods of any kind or forms,

i will not bow not bow my knees to worship them,

i will gather all my praises that are a sweet smelling
perfume,

to Jesus worthy of my praise,




chorus


I bring the sacrifices of praise unto you Jesus,

honor and authority i give to you,

Holy Holy i can you Holy oh Jesus you are holy,


receive praise, glory and honor Lord,


uuuuuuu Jesus you are Holy.

Facebook :https://www.facebook.com/frankmtatifu
Twitter :https://twitter.com/frankmtakatifu
Instagram :https://Instagram.com/frank_mtakatifu
#Frank#Mtakatifu#Swahili#KenyanWorship.

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

MCH. MWANGOSI ALIA NA MWAMAKULA/ AELEZA MENGI MAZURI ALIYOYAFANYA ENZI ZA UHAI WAKE.


@JFIVETVONLINE

proshabo
6 Views ยท 1 year ago

I'm just supporting 'coz we doing same platform

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

Artist:Tumaini
Song: Umenibeba
Audio: Tumaini Studios(TS)
Video By Solomon K Image Pro
Watergate Pro
Producer: charles Akwanga
Lead guitar: Benjamin Kabaseke
Bass Guitar:Moise Basinza
Back up: Dorcas Kaponda

To contact Pastor Tumaini
calls,WhatsApp,invitation,studio booking,ministry supporting....
+254725753422
Email:tumainijustine2016@gmail.com

Pastor Tumaini has sung other songs like
Nisizame
Ni wewe
Calvary
Mbengu ya Mungu
Amefanya njia
Makuu and many more

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

SONG OF WORSHIP TODAY๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ผ

CREDIT :
Lyric translation by our own Min Joel Ogweno( worship team coordinator,-Kenya)

INSTRUCTIONS :
if you sing along to this audio till the end your will have worshiped for one hour.engage your heart )

*LYRICS IN SWAHILI LANGUAGE
*

Chorus
Kila siku, kila saa (Everyday, every hour)
U mwaminifu Bwana (You are Faithful Lord) (Repeat)

Asubuhi, mchana na jioni (Morning, Afternoon and evening)
Kila majira na kila wakati, Bwana (In every Season, and every time, Lord)
U mwanifu Bwana (You are Faithful Lord)

Unanilinda kila leo Bwana (You protect me everyday, Lord)
Uanitunza kila wakati Bwana (You preserve me all the time, Lord)
U mwaminifu Bwana (You are Faithful, Lord)

(Refrain)

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

#JohnLisu #Nijaze #NgommaTz

ยฉ2018 Administered by Ngomma VAS Limited.
Connect with John Lisu's Ministry +255713240397 TIGOPESA/Remit/Wave +255768154948 MPESA /Remit/NALA/Wave, Be blessed ๐Ÿ™Œ

proshabo
0 Views ยท 1 year ago

Nani Kama Wewe Live Performance by Eunice Njeri
Secret Place Worship Album
Studio version: Isaac Mongeri | Kijani inc
Sound Engineer: Victor Mbogo
Music Producer: Gideon Kimanzi
Mix & Master Mark Montgomery
Vocalists:
Soprano: Ann Mueni
Stacy Gitau
Bass: Abel Amunga
Tenors : Bethuel Lasoi
Joel Maluki
Altos: Diana Rose Nyawira
Eve Nyasha
Band:
Drums: Tmoh karisa
Keys 1: Steve Mwanzia
Keys 2: Evans Wonderkeys
Guitar: Joe Collins
Bass: Moise Basinza
Stage and Lighting: Topnotch Media & Crosslife Movement Limited
Video: Directed By Bakari Ousman For Crosslife Movement Production
#EuniceNjeri #ZaidiNaZaidi #NgommaGospel #CrosslifeMovement

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Disclaimer: No copyright infringement is intended, and I do not own nor claim to own any of the original audio recordings used in this video.

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

Wimbo katika key F,simple chord naamini utajifunza kitu

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

Praise and worshiping

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

MANY AND MANY MANY AMAZING PRAISE AND WORSHIP TUTORIALS COOKING....STAY TUNED BY SUBSCRIBING TO THIS CHANNEL....TO GET ALL NOTIFICATIONS, HIT THE BELL NOTIFICATION ICON SO YOU CAN RECIEVE UPDATES FOR OUR NEW TUTORIALS.....IN SEVERAL INSTRUMENTS
To Support This Channel



https://www.paypal.com/donate?....hosted_button_id=27P


https://www.patreon.com/dansawamusicworld

proshabo
4 Views ยท 1 year ago

Hakuna kama yesu,Hakuna kama wewe uliyejuu mbinguni
hakuna,hakuna hakuna..............



Naombeni msubscribe ,like na comments zenu ni muhimu kwa sapoti ya mziki wa injili uendelee kusonga mbele .Ahsanteni na Mungu awabariki.

song produced in Pangwaz records
book:+255688953491

proshabo
1 Views ยท 1 year ago

Please like and don't forget to subscribe to this Youtube channel.
To set Patakatifu Pako as your Skiza Tune, SMS "Skiza 7246970" to 811.
BUY DIRECTLY ON ITUNES
https://itunes.apple.com/ke/ar....tist/erick-smith/id1
written by Erick Smith
Video By Marto Kijana Msafi: 0700058983
Audio by Sam Lokua/ Fusion Media

Follow Us On:
Twitter: https://twitter.com/ericksmithmusic
Instagram: https://www.instagram.com/ericksmithmusic/
Facebook: https://www.facebook.com/ericksmithmusic/


Lyrics:

Ooh bwana yesu nakuhitaji,
(Oooh Lord,I need you)

Yesu usipo nisaidia nani mwingine?, hallelujah
(Lord if you donโ€™t help me who else will?, hallelujah)

Patakatifu pako ,hapo ndipo nahitaji
(In your holy place is where I wonna be)

Mahali pa maana , juu ya yote
(The greatest place above all)

Katika mikono yako mimi najiwekaa.
(In your hands ,I place myself)

Nizungukukwe mimi na uwepo wako
(So that I can be surrounded by your presence)

Chorus

Niaambie utakalo bwana
(Tell me what you need Lord)

Nipee nguvu yakushinda majaribu yesu
(Give me strength to overcome temptations)

Nakuhitaji bwana maishani mwangu.
(I need you Lord in my life) *2

Ninacho hitaji Yesu nikufurahisha roho yako
(All I need Jesus is to please your heart)

Wewe rafiki mwema ulie nipendaa
( You are a good friend who loves us)

Kwa ajili yako yesu sisi tumekombolewa
(because of you Jesus we are saved)

Kuwa na wewe yesu yashinda yote
(To have you Jesus exceed it all)

Oooh yesu ,neno lako lasema
(Oh Jesus,your word says)

Siku moja katika utukufu wako
(one day in your presence)

Yazidi miaka elfu duniani
(is worth a thousand days else where)

Yesu nisaidie kua katika utukufu wako siku zote maisha yangu.
(Jesus ,help me to seek your presence for rest of my life)

Bridge
Nahitaji mkono wako. (I need your hand)
Niongozwe nawewe bwana. (to be led by you Lord)
Kimbilio msaada wakaribu. (my refuge and helper)

ni weee ni weee ni wee... (is you, is you, is you)

proshabo
7 Views ยท 1 year ago

Kuabudu-Yesu Tawala
Subscribe Channel Yetu Kwa Habari Zote Zinazojiri
Youtube=https://www.youtube.com/channe....l/UCFSG3w2hx6Hbu6B4H
Facebook=https://web.facebook.com/JbMediatz
Instagram=https://www.instagram.com/jbmediatz_official/

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

#JohnLisu #HakunaGumuKwako #NgommaTz

This song speaks about God's ability in our lives. Reminds us to put our Trust in HIM
Proverbs 3:5-6
"Trust in the Lord with all your heart and lean not on your own understanding; in all your ways submit to him, and he will make your paths straight.
May God intervene in your situation as you watch this Video

Video Directed by Haak Neel
Edited by Zakayo Magulu
Audio Recorded Live by Real Production
Mixed and Mastered by Freddie Masanja (Frester's Records)

ยฉ2018 Administered by Ngomma VAS Limited.
Connect with John Lisu's Ministry +255713240397 TIGOPESA/Remit/Wave +255768154948 MPESA /Remit/NALA/Wave, Be blessed ๐Ÿ™Œ

proshabo
3 Views ยท 1 year ago

ABOUT THE WORSHIP CHANNEL
https://goo.gl/A9DJsD
PAUL MWANGOSI ///YESU OOH YESU
worship songs
bass guitar cover
live music performance
gospel songs , how to play bass guitar
how to play instruments
the best worship 2021
guitare bsse
musique band
jouer aux instruments musicaux
etudier en francais,seben music ,rhumba ,musique congolais
comment jouer
juoer aux instruments

proshabo
2 Views ยท 1 year ago

A SONG OF THANKSGIVING BY SOLOMON LANGE. VIDEO WAS SHOT AT THE KINDOM SEEKERS AUDITORIUM IN NAKURU KENYA BY PAPAH YODEL. WE ADDED A SWAHILI PART TO THE SONG TO REACH OUT TO EAST AFRICA AND SWAHILI SPEAKING COUNTRIES.




Showing 126 out of 127