Latest videos

proshabo
4 Views · 1 year ago

Nilibaki Na Wewe by #Neema Cizungu Ft #Martha Mwaipaja
Welcome to Neema Cizungu Youtube Channel.
shalom watu wa Mungu
na imani mmebarikiwa na wimbo huu ,ni maombi yangu kwako baada ya kusikilize wimbo huu Mungu akupigishe hatua juu zaidi katika kumngoja BWANA lakini pia nakuombea ufanikiwe katika maisha ya kawaida
mungu akubariki
unaweza wasiliana nami #255672555095#
www.ezrafoundation.co.tz

ninaomba usisahau ku subscribe ,
like,
share kwa wengine.

mbarikiwe sana

proshabo
4 Views · 1 year ago

Martha Mwaipaja ni muimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Tanzania, alifunguka kuhusu kukosana kwake na mumewe. #Eddymacks TV

proshabo
15 Views · 1 year ago

Wimbo huu ni wimbo wa kumsihi MUNGU asimame atende sawa sawa na Yer 33:3. Tumemuita MUNGU akutane na kila hitaji gumu na hakika sikio lake si zito atatenda.
#VailethMwaisumo#MarthaMwaipaja#Usinyamaze.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

proshabo
2 Views · 1 year ago

Goodluck Gozbert presents the music video for "Wacha Waone" feat. Martha Mwaipaja

Watch Goodluck Gozbert New EP "Ushindi": https://www.youtube.com/watch?v=rag27LQpBkY&list=PLMsJvhadvBjoasbYufbh2Borjbs03kBkK&index=2

Follow Goodluck Gozbert

Instagram: https://www.instagram.com/goodluckgozbert/?hl=en
Subscribe to YouTube Channel: https://www.youtube.com/channe....l/UC06LJwFOreisG0hf-


#GoodluckGozbert #featMarthaMwaipaja #WachaWaone

proshabo
1 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#Mamboyamebadilika

proshabo
0 Views · 1 year ago

Deborah Kihanga.
- WhatsApp & Voice call: +255 715 967 297

proshabo
2 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#nibaba

proshabo
1 Views · 1 year ago

Mngoje Mungu Yupo Kwa Ajili Yako Mungu Akuhudumie kupitia Wimbo Huu Barikiwa

proshabo
2 Views · 1 year ago

Martha Mwaipaja agusa mioyo ya watu kwa wimbo wake wa Amenitengeneza Huyu Baba siku ya Jumapili 22.08.2020 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

proshabo
92 Views · 1 year ago

Muhukumu wa haki ni wimbo wangu unaelezea siku ile ya mwisho itakvyokuwa pale ambapo watakatifu watasimama mbele ya Muhukumu wa haki ambaye ni Mungu Baba ,swali la kujiuliza,Je wewe umejiandaje siku ikifika ya unyakuo wako? kuendelea kupata mfululizo wa video zangu usishau kusubscribe channel yangu hii.
#MarthaMwaipaja#MuhukumuWaHaki#OfficialMusicAudio

proshabo
3 Views · 1 year ago

Ni tabibu ni wimbo wa tenzi unao elezea mwema wa Mungu kwenye maisha yetu ni kweli tunaweza kuwa tunapitia mambo magumu kwenye maisha yetu lakini bado yeye ndio Tabibu wa karibu kuliko hata watu ambao kwa akili zetu tunadhani kuwa ni msaada kwetu.#MarthaMwaipaja​#Tabibu​#MusicVideo

proshabo
1 Views · 1 year ago

Barikiwa na Wimbo huu kila siku Ufurahi Ukiwa kwa Bwana Nalifurahia #marthamwaipaja #Nalifurahia#officalvideo

proshabo
0 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja #niweewe

proshabo
1 Views · 1 year ago

Martha Mwaipaja tells us "Ombi Langu kwa Mungu"....My prayer (my request to God) is that you too may be "remembered" ...Like herself and others who have received His amazing grace and mercies

proshabo
3 Views · 1 year ago

#MarthaMwaipaja#bonymwaitege#napendwa_na_Mungu

proshabo
1 Views · 1 year ago

Wangejua ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna ambavyo Mungua anavyotuwazia mema kwenye maisha yetu tofauti na vile jamii au watu wanvyotuzunguka wanavyoweza kutuchukulia.Kumbuka kuweka maoni yako,kulike pamoja kusubscribe youtube account yanguu hii.

#MarthaMWaipaja#Wangejua#MusicVideo

proshabo
1 Views · 1 year ago

Milele na milele Mungu Anabaki Kuwa kila kitu kwenye maisha yetu #sisterjoan#marthamwaipaja#mileleyote#officialvideo

proshabo
3 Views · 1 year ago

Maumivu ya jaribu ni wimbo ambao unaelezea kuwa majaribu yanaumiza moyo lakini Mungu yupo kutuokoa katika hali zote na shida tunazopitia.Haijalishi unapitia wapi lakini uweza wa Mungu upo kukusaidia na kukuvusha katika yote unayoyapitia.Songambele Mungu anajua unayoyapitia kila jambo lina mwisho wake.

#MarthaMwaipaja#MaumivuYaJaribu#MusicVideo

proshabo
1 Views · 1 year ago

Usitumainie Kitu chochote hapa Duniani, Mtumaini MUNGU pekeake ili uwe salama MUNGU AKUHUDUMIE KUPITIA WIMBO HUU

cont:
+255 719 470 375

proshabo
3 Views · 1 year ago

ni maombi yangu wimbo huu ukuhudumie Sauti ya Mungu iponye maisha yako #marthamwaipaja#NimesikiaSauti#OfficalVideo

proshabo
2 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#sitakikujibu#OfficialVideo

proshabo
1 Views · 1 year ago

kuna kesho Imepangwa.na Mungu kwa Ajili yako Usikate Tamaa na Mazingira ya Sasa Kesho yako inakuja Barikiwa na Wimbo huu #marthamwaipaja#Naionakesho#OfficalVideo

proshabo
0 Views · 1 year ago

Wakati wengine wanafurahia kujulikana duniani na kuwa maarufu sisi tuliokoka tunajivunia kujulikana mbinguni kwa Baba yetu.Usiangaike kutafuta umaarufu kwa watu fanya bidii sana katika kumjua Mungu aliyekuumba na hakikisha jina lako limeandikwa mbinguni.#Najulikana#MarthaMwaipaja#MusicVideo

proshabo
2 Views · 1 year ago

A Brand New Music Video From BEATRICE MWAIPAJA - NDOTO YANGU [Official Music Video]

For Bookings:
Email: beatricemwaipajatz@gmail.com
Mob: +255654345737

Video Director : Director Nicco
Mob: +255 767 146 715
Catch Up With Beatrice Mwaipaja On:-
Instagram: https://instagram.com/beatrice_mwaipaja
Facebook: https://web.facebook.com/beatrice_mwa...
Twitter: https://twitter.com/beatrice_mwaipaja

Copyright ©2023 All Right Reserved

proshabo
13 Views · 1 year ago

Ukiwa kama ndugu wa karibu kutizama wimbo wangu unaokwenda kwa jina la sipiganagi mwenyewe Mungu akubariki.#MarthaMwaipaja#SipiganagiMwenyewe#MusicVideo.

proshabo
3 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#natazamambali

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ni wakati wa kumwambia Mungu asante kwa wema na fadhili zake kwenye maisha yetu kwa sababu ni yeye alibadilisha majira ya kilio kuwa kicheko pamoja na ugumu tuliopitia bado yeye amekuwa mwaminifu sana.Hata kama wewe unapitia magumu inuka na endelea kumsifu Bwana maana makusudi yake kwetu ni makubwa sana.
#MarthaMwaipaja#MamboYaMebadilika#YouTube

proshabo
1 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#unasemanini

proshabo
3 Views · 1 year ago

Amenitengeneza ni wimbo nilioimba ukiwa na maudhui ya kuzungumzia namna Mungu alivyo waajabu kwenye maisha yetu kila inappitwa leo.Chukua muda huu kumwambia Mungu asante kwa kukutengeneza vile ulivyo.

#MarthaMwaipaja#Amenitengeneza#OfficialVideo

proshabo
3 Views · 1 year ago

Haunafanani na Mtu mwingine
#marthamwaipaja#Hatufanani#OfficialVideo

proshabo
3 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#Adui

proshabo
3 Views · 1 year ago

#marthamwaipaja#umeniitika

proshabo
10 Views · 1 year ago

Basi, kwa njia ya Yesu, tumtolee Mungu tambiko ya sifa daima, yaani sifa zinazotolewa kwa midomo inayoliungama jina lake.Waebrania 13:15

Audio Production Frester’s Records
Video capturing :SyberFilms
Video Editor :Fredrick Stephano

Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

#Essenceofworship#TunaletaSifa#MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

proshabo
0 Views · 1 year ago

Background of the song Mimi siwezi

It's A song Of Surrendering to God.The song came during the preparations of The Live Recording that was done on 12th of May,2019 at Makumbusho ya Taifa posta.

John 1:3 Is the Verse that carries the Song "Mimi Siwezi"

We Bless God For trusting us to reach the world through the Ministry of praise and worship.

May the Holy Spirit minister to you as you Watch the Video.
God Bless you as You share the news to everyone



Lyrics in English
I Can do Nothing without You(Jesus)
(Mimi Siwezi Neno Lolote Bila Wewe (Yesu)

Ooh ooh ooh Jesus
(Ooh ooh ooh Yesu)


Acknowledgement
Video Directing -Magulu studio
Video Editing- Sylvester Daniel
Audio Capturing and Mixing -Frester's Records.

proshabo
0 Views · 1 year ago

John 3:30 “He must become greater; I must become less.”
Psalms 20:7
Some trust in chariots and some in horses, but we trust in the name of the Lord our God.
#EssenceofworshipMinistries #NinashukaChini #officialVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: https://www.instagram.com/hurudigital/

proshabo
2 Views · 1 year ago

#EssenceOfWorship #BwanaUnatawala #LiveRecording

It's an African praise song speaks about God's greatness in our lives.
In any situation or any circumstance you have,Just put your trust in Him believing there is nothing impossible through JESUS.




Showing 181 out of 182