Latest videos

proshabo
1 Views · 1 year ago

Lead Singer: Edwin Mrope
Keyboard 1: Amos Julius
Keyboard 2: Oscar Justin
Lead Guitar: Silas Makashi
Bass Guitar: Hans Mduma
Drums: Albert Simenya

Soprano: Laura Ludovick
Alto: Ekilia Amos
Tenor: Evander Job

Production: TBC1

proshabo
1 Views · 1 year ago

#CosmasChidumule#YesuNiBwana#

proshabo
1 Views · 1 year ago

Yesu Ni Bwana by E R Mwansasu Chidumule

proshabo
3 Views · 1 year ago

Prayer Covenant
Tuesday, September 26, 2023
Speaker: Mrs. Marilou Rubio
Devotional Passage: Mateo 21:28-32

#stpaulumc #prayercovenant

Please LIKE, SHARE & SUBSCRIBE to our Youtube Channel
https://youtu.be/GjkDq3GItzc

Watch more videos at
https://www.facebook.com/spumcmla

Majesty, Worship His Majesty
The United Methodist Hymnal Number 176
Text: Jack Hayford, 1981
Music: Jack Hayford, 1981

Music Credits:
Majesty, Worship His Majesty
MOCARECI TV @mocareci
https://www.youtube.com/watch?v=BcbCAq_A7to

Majesty (Worship His Majesty) - piano instrumental hymn with lyrics
Kaleb Brasee @kbrasee
https://www.youtube.com/watch?v=1vHpRHNbNX8

In His Presence - DappyTKeys Piano -
3 Hour Instrumental Music for Meditation & Prayer
https://www.youtube.com/watch?v=Ak99STkJ7b4&t=367s

Hymns and songs do not belong to St. Paul UMC Manila
All credits belong to the right owners. No copyright intended.
For worship purposes only.

Use of videos follows the FAIR USE Guideline of Facebook and Youtube

proshabo
3 Views · 1 year ago

Copyright & Streaming license through CCLI #1573217; I JUST WANT TO THANK YOU, LORD, Majesty, Worship His Majesty, MOCARECI TV; Jesus Love Me This I Know; All That I Am, Revelation Song, IWorship; Here I Am To Worship, IWorship.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Prayer Covenant
Monday, September 25, 2023
Speaker: Dr. Cesar Paloma
Devotional Passage: Mateo 21:23-27

#stpaulumc #prayercovenant

Please LIKE, SHARE & SUBSCRIBE to our Youtube Channel
https://youtu.be/f0CRUjNZNfQ

Watch more videos at
https://www.facebook.com/spumcmla

Majesty, Worship His Majesty
The United Methodist Hymnal Number 176
Text: Jack Hayford, 1981
Music: Jack Hayford, 1981

Music Credits:
Majesty, Worship His Majesty
MOCARECI TV @mocareci
https://www.youtube.com/watch?v=BcbCAq_A7to

Majesty (Worship His Majesty) - piano instrumental hymn with lyrics
Kaleb Brasee @kbrasee
https://www.youtube.com/watch?v=1vHpRHNbNX8

In His Presence - DappyTKeys Piano -
3 Hour Instrumental Music for Meditation & Prayer
https://www.youtube.com/watch?v=Ak99STkJ7b4&t=367s

Hymns and songs do not belong to St. Paul UMC Manila
All credits belong to the right owners. No copyright intended.
For worship purposes only.

Use of videos follows the FAIR USE Guideline of Facebook and Youtube

proshabo
3 Views · 1 year ago

Courtesy of MOCARECI TV

proshabo
7 Views · 1 year ago

KAKOBE mbele ya GWAJIMA - "Mtanitengenezea na Mimi VIDEO, Looh Mtapoteza Muda Tu"

Ni ibada maalum inafanyika Jumapili ya leo ya Mei 12, katika kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima, lililopo Ubungo jijini Dar...

Katika ibada ya leo Askofu Gwajima amewaalika wachungaji na maaskofu wengine akiwemo Askofu Zakaria Kakobe, Komando Mashimo na wengine wengi...

#ASKOFUGWAJIMA #KAKOBE

https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: [a]www.globalpublishers.co.tz[/a] FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: [a]www.globalpublishers.co.tz[/a] FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ni katika ibada ya Christmas
Usisahau ku Subscribe.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Dr. Josephat Gwajima is the Senior Pastor of the Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in Jesus name.

proshabo
8 Views · 1 year ago

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anazungumza na waandishi wa habari ambapo mbali na mambo mengine amemuunga mkono Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kuhusu hatua aliyoichukua hivi karibuni ya kuikosoa serikali ya Rais John Pombe Magufuli.
Mbowe pia amezungumzia mambo mengi, ikiwemo suala la wapinzani kubanwa na serikali, kuhusu chaguzi ndogo zinazoendelea na kubwa zaidi kuhusu mustakabali wa siasa nchini.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

proshabo
2 Views · 1 year ago

"Nina hela kuliko serikali" ni kauli aliyoinukuu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere kutoka kwa Askofu Kakobe. Kauli hiyo imeifanya TRA kuanzisha uchunguzi dhidi yake.

proshabo
1 Views · 1 year ago

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

1.MATUKIO MWAKA 2017, POLISI DAR YAKAMATA BUNDUKI 27, RISASI 1,147 JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa tathmini ya matukio ya kihalifu na oparesheni mbalimbali zilizofanywa na jeshi hilo kwa mwaka 2017. Tupate taarifa kamili kutoka kwa mwandishi wetu….. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Kamanda wa kanda hiyo Lazaro Mambosasa amesema matukio ya uhalifu yamepungua kwa kipindi cha januari hadi Desemba 2017 ikilinganishwa na kipindi kama hichio kwa mwaka jana wa 2016.

“Kuanzia Januari hadi Desemba 2017, matukio yaliyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ni 126,200, wakati mwaka 2016, matukio 129,602 yaliripotiwa. Kati ya hayo, kulikuwa na matukio makubwa ya uhalifu 9,739 wakati mwaka 2016, matukio makubwa 12,550 yaliripotiwa. Kamanda Mambosasa pia amezungumzia matukio ya usalama barabarani kwa mwaka 2017 katika kanda maalumu ya Dar es salaam.

“Oparesheni maalum mwaka 2017; silaha 27 zimekamatwa, risasi 1,147, SMG 2 na risasi 824, bastola 15 na risasi 127, shotgun 6 na risasi 394, rifle 4 na risasi 263 na watuhumiwa 25 wa silaha hizo. Majambazi sugu 36 walikamatwa, magari ya wizi 213, yaliyopatikana ni 32, pikipiki zilizoibiwa ni 1,778, zilizopatikana ni 127. “Matukio barabarani mwaka 2017; ajali zilizosababisha vifo 182, waliofariki ni 194, waliojeruhiwa ni 1,917, ajali za pikipiki ni 514, vifo vya pikipiki ni 63, waliojeruhiwa ni 369,”

FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..

proshabo
2 Views · 1 year ago

MTOTO WA BISHOP ZAKARY KAKOBE..EZEKIEL AFUNGA NDOA NA GRACE MATHIAS #FREEGOSPEL #GOSPELVALID #MERCYCHINWO

proshabo
3 Views · 1 year ago

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itamchunguza kiongozi wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakari Kakobe baada ya kutangaza kuwa ana fedha nyingi kuzidi serikali.
Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, Kamishna Mkuu wa TRA, Charles Kichere amesema Tanzania kuna matajiri wengi ambao wanalipa kodi lakini hawana fedha za kuizidi serikali hivyo wameshtushwa na kauli ya Askofu Kakombe ambaye hawana taarifa za ulipaji kodi wake.
Bwana Kichere amesema TRA inafahamu taasisi za dini huwa zina shughuli nyingine za kiuchumi, na hivyo huwenda Askofu Kakobe na yeye kuna shughuli nyingine za kichumi huwa zinampatia hela kiasi kwamba akawa na pesa nyingi kuliko serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kamishna Kichere amemaliza kwa kumtaka Askofu Kakobe kutoa ushirikiano kwa vijana wa mamlaka hiyo pindi watakapomtembelea ili kuweza kujiridhisha kuhusu suala hilo.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli.

proshabo
4 Views · 1 year ago

ASKOFU KAKOBE AIBUA MAPYA ISHU ya CORONA- "CHANDARUA, VIATU VYOTE ni BARAKOA"

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

proshabo
12 Views · 1 year ago

“Mheshimiwa mimi huwa ni mbishi kidogo…na ukiona nimekuja mahali kama hapa…ujue umenikosha,” – kauli ya Askofu Zakaria Kakobe akikiri kukoshwa na Rais Magufuli.

proshabo
2 Views · 1 year ago

HOTUBA NA MAOMBI YA ASKOFU KAKOBE WAKATI WA HAFLA YA KUPOKEA NDEGE YA AIRBUS A220-300 (NGORONGORO) KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Askofu wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship Zakary Kakobe amesema mbwembwe zake za kusema yeye ni tajiri zilimponza hadi kufikia kuhojiwa .

proshabo
3 Views · 1 year ago

Karibu kanisani.
Jisikie huru kushiriki maoni yako nasi.
Unaweza pia kualika rafiki mmoja au wawili kushiriki pamoja nasi katika ibada zetu za leo na kila jumapili.
Ubarikiwe.

proshabo
5 Views · 1 year ago

#KwayaKuuAicMakongeni #SwahiliMusic #NgommaGospel

©2019 Administered by Ngomma VAS Limited.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Filamu za Kikristo | Bila Utakatifu Hakuna Mwanadamu Atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni (Dondoo Teule)

Wakati dhambi zetu sisi wanaomwamini Bwana zinasamehewa, je, tunapokea utakaso? Ikiwa hatutajitahidi kupata utakaso, na kujali tu kutumika kwa ajili ya Bwana na kufanya kazi ya Bwana kwa uaminifu, je, tutanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!

Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma.

Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/
Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/
Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw
App Store: https://itunes.apple.com/ke/ap....p/the-church-of-almi
CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App
Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1
App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528
Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

proshabo
0 Views · 1 year ago

Radio Maria Tanzania
S.L.P 34573,
Mikocheni Industrial Area plot no. 125,
Barua pepe: info.tan@radiomaria.org
Wavuti: www.radiomaria.co.tz

Mitandao Mingine ya Kijamii:
Facebook: Radio Maria Tanzania
Facebook Link: https://www.facebook.com/radiomaria.tanzania

Instagram: Radio Maria Tanzania
Instagram Link: https://www.instagram.com/radiomariatanzania/

Radio Maria Tanzania, Sauti ya Kikristu Nyumbani Mwako.

proshabo
1 Views · 1 year ago

Yatupasa kutembea katika Utakatifu. Rev. Dr. Eliona Kimaro

Kwa maombi na ushauri:
Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
Simu :+255655516053, +255754516053
YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV
Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com




Showing 5 out of 6