Latest videos
#SWEETSYMPHONY #SDAMUSIC #SDA #ACAPELLA #ASANTEACAPELLA #Tanzania #GAITHERVOCALBAND #Japhetnicolao #TheFamilyMusictz
SONG: OH! HALLELUJAH
COMPOSER: JAPHET LAWI NICOLAO
PRODUCER: BJ Bwanga
The song expresses no matter what we face in life....how hard and complicated it may be, our Almighty God is always there
Nothing can stop Thee from reaching Thy people and this gives us no good reason not to thank Thee for the role He plays in our life.
Song - Upendo
Composer - Japhet Nicolao
Producer - BJ Brand
Director - Vanpro Studios
Directed by - Vankuva
This is an African SDA acapella song made in an African context/style that explains about the love of God to man kind by sending his own begotten son Jesus christ to die for us to be saved from eternal death
Wimbo huu ni moja kati ya nyimbo tamu za kiadventista iliyotengenezwa kwa asili ya kiAfrika unaoeleza kuhusu upendo wa mungu kwa mwanadamu kwa kumtoa mwana wake wa pekee kuja duniani kufa kwaajili ya dhambi zetu ili sisi tupone
#Sweet symphony#sdamusic #SDA #acapella #ASANTEACAPELLA #tanzania #Gaithervocalband #Japhetnicolao #TheFamilyMusic tz #The Voice #millardayo #wasafitv
halleluyah
be blessed
GLORIOUS VOCAL SYMPHONY || GVS || Come with a song don't loose courage
G.V.S. Chorus 2010
Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu ,msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso ZAB.46:1
Akamwambia, enendeni ulimwenguni mwote,mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe marko 16:15
Mwanadamu usijisifu ni wimbo namba tatu katika album ya Maombi ya Toba
Tukifundisha kutokujiinua na kuwadharau wengine ila tu kumtegemea mungu
GVS CHOIR - Ezekia official Audio (Maombi ya toba )
begi moyo wako fanya ukaguzi nini ulichokibeba katika safari ya kwenda mbinguni ,moyo wako ni vizuri ukajazwa utakatifu.
GVS (gospel vission singers ) kaa mkao wa kula kwa album mpya kabisa ya
MAOMBI YA TOBA
Ee mungu ni wimbo namba Tano katika album ya Maombi ya Toba ya kumuomba mungu na kumsihi asikie maomba tuyaombayo
#Eemungu
#MaombiyaToba
wimbo kutoka kitabu cha mhubiri
n
song : Ezekia(kumi na mitano)
Artists: Gvs choir
Song Writter : Zakaria Octavian
Video : Dir Papaa Octavian
Choir contacts
Mobile: +255 759 226 497/+255 783 989 168
E-mail:gvschoir@gmail.com
insta:gvs_choir
Artist - Gvs Choir
Song - Mwanadamu Usijisifu
Writter - Zakaria Octavian
Dir - Papaa Octavian
Album - Maombi ya Toba
#Gvschoir #Mwanadamuusijisifu
YESU NDIYE NJIA ,NJIA YA KWELI TENA NA UZIMA AJAE KWAKE HATATUPWA KAMWE.
Wimbo maombi ya toba ni wimbo uliobeba album ya maombi ya toba
Artist : gvs choir
Song :Maombi ya toba
writter : zakaria otavian
director :papaa octavian
#gvschoir #maombiyatoba #mmptbuza
Zaburi 51
1 Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu.
Zaburi 51:1
2 Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu.
Zaburi 51:2
3 Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
Zaburi 51:3
4 Nimekutenda dhambi Wewe peke yako, Na kufanya maovu mbele za macho yako. Wewe ujulikane kuwa una haki unenapo, Na kuwa safi utoapo hukumu.
Zaburi 51:4
Dhahabu njema choir ni kwaya kutoka katika idara ya watoto kutoka katika kanisa la MMPT BUZA
Gospel vision singer (GVS) ni kwaya ya kanisa la PENTECOSTE KLPT BUZA
ni kwaya ya GVS katika moja ya ibada za jumapili
KANISA LA PENTECOSTE BUZA
GVS CHOIR (Gospel vission singers ni kwaya kutoka kanisa la Pentecost BUZA wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam
Tunahitaji support yako ili kufikisha injili kwa mataifa yote ili watu walijue neno LA mungu ili wapone
mungu akubariki ,AMEN.
#neemagospelchoir #CVS
Provided to YouTube by Barabara 13 Ulyankulu
Sikiliza Habari Maalum · Barabara 13 Ulyankulu · Barabara 13 Ulyankulu · Barabara 13 Ulyankulu
Tufanyeje Ili Yupone?
℗ Zeze Africa
Released on: 2017-05-05
Auto-generated by YouTube.
Kisha nikaona kiti cha enzi
Kikubwa, cheupe
Na yeye aketiye juu yake
Nikawaona wafu,
Wakubwa kwa wadogo
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Na vitabu vikafunguliwa
Na kitabu cha uzima
Na hao wafu wakahukumiwa
Sawasawa na matendo yao
Bahari nayo ikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Mauti na kuzimu zikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Mauti na kuzimu
zikatupwa katika lile ziwa la moto
Hii ndio mauti ya pili
Yaani hilo ziwa la moto
Na iwapo mtu (yeyote) hakuonekana
Ameandikwa (katika) kitabu cha uzima
Alitupiwa katika lile ziwa la moto
Kisha nikaona kiti cha enzi
Kikubwa, cheupe
Na yeye aketiye juu yake
Nikawaona wafu,
Wakubwa kwa wadogo
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Wamesimama mbele ya kiti hicho
Na vitabu vikafunguliwa
Na kitabu cha uzima
Na hao wafu wakahukumiwa
Sawasawa na matendo yao
Bahari nayo ikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Mauti na kuzimu zikawatoa
Wafu waliokuwa wamo ndani yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Wakahukumiwa kila mtu
Kwa kadiri ya matendo yake
Mauti na kuzimu
zikatupwa katika lile ziwa la moto
Hii ndio mauti ya pili
Yaani hilo ziwa la moto
Na iwapo mtu (yeyote) hakuonekana
Ameandikwa (katika) kitabu cha uzima
Alitupiwa katika lile ziwa la moto
Provided to YouTube by Barabara 13 Ulyankulu
Alizaliwa Mwokozi, Pt. 5 · Barabara 13 Ulyankulu · Barabara 13 Ulyankulu · Barabara 13 Ulyankulu
Alizaliwa Mwokozi
℗ Zeze Africa
Released on: 2017-05-02
Auto-generated by YouTube.
Wokovu Ni Lazima By Mapigano Ulyankulu Kwaya
Neno alikuwa kwa Mungu vyote viliumbwa kwa Neno
Mbingu na nchi vilivyomo vyote ni matendo ya Neno
Kaona watu wamepotea hawamjui muumba wao
Kakubali kuja duniani kutupatanisha na Mungu
Kauvua utukufu wake
Akavaaa mwili wa uchovu
Alipofika dunuani watu hawakumtambua
Kuwa ni Mwokozi wa ulimwengu ametoka kwa Mungu
Hata leo anawasihi nao wengi hawamsikii
Wanatangatanga na ulimwengu, ulimwengu waisha.
Provided to YouTube by Barabara 13 Choir Ulyankulu
Tunaisubiri Kwa Shauku · Barabara 13 Choir Ulyankulu · Barabara 13 Choir Ulyankulu · Barabara 13 Choir Ulyankulu
Yusuphu Yusuphu
℗ Zeze Africa
Released on: 2017-05-06
Auto-generated by YouTube.
#MapiganoUlyankuluChoir#YesuKataza#
Subscribe to Wyld Pytch / 51 Lex: http://bit.ly/WyldSubs
Wyld Pytch / 51 Lex Records
Web - http://wyldpytch.com/
Instagram- www.instagram.com/wyldpytch51lex/
Facebook - https://www.facebook.com/51LexRecords...
Tiktok: https://www.tiktok.com/@wyldpytch51lexrecords?
Twitter - https://twitter.com/WyldPytch
@kmkmakuburi @HOLYTRINITYSTUDIOS @tanganyikaproductions @BernardMukasa @anastaciamuema @SautiTamu
Provided to YouTube by Barabara 13 Ulyankulu
Je, Unaponda Mahindi · Barabara 13 Ulyankulu · Barabara 13 Ulyankulu · Barabara 13 Ulyankulu
Tufanyeje Ili Yupone?
℗ Zeze Africa
Released on: 2017-05-05
Auto-generated by YouTube.
Kwa Viumbe Vyote Barabara 13 Ulyankulu Alipofika karibu aliuona Mjii
Video from FLP 4:13
#MapiganoUlyankulu #Oldswahiligospelsongs
Copyright for this song remains under the reservation of Ulyankulu Choir in Tanzania; I have posted here for viewing purposes only.
Kipindi hiki kipya kabisa kitakua na mfululizo wa vipindi kama hivi kutoka kwenye kwenye hii channel yetu, ni vipindi vyenye maudhui mbali mbali ya injilli kama hiki. kwa leo Tumewaletea wimbo wa siku ya kutaabika pamoja na mahojiona ya moja kwa moja na mwalimu na mtunzi wa wimbo huu Mr Eliphaz Habona kutoka Tabora kupitia njia ya simu karibu uendelee kufuatilia. ili ukutane na vitu Vinne vya msingi alivyovisema Eliphaz
1.HITAJI
2.KANUNI
.3.MASLAHI
4.UTUNZI
GOSPEL MUSIC TANZANIA.
COMMENT NYIMBO YA DINI UNAYOITAFUTA SANA BILA MAFANIKIO
NASI TUTAKUWEKEA HAPA HARAKA SANA.
CHAKUFANYA NI KU SUBSCRIBE NA KUGUSA KENGELE ILI UWEZE KUPEWA TAARIFA PINDI NYIMBO MPYA ITAVYOWEKWA HAPA.
MUNGU AKUBARIKI NA TUZIDI KUITANGAZA INJILI DAIMA.
#GOSPEL #GOSPELMUSICTANZANIA #NYIMBOZAINJILI
#MapiganoUlyankuluChoir#FahariYaVijana#
#MapiganoUlyankuluChoir#OmbeniNanyiMtapewa#
#MapiganoUlyankuluChoir#TuyasomeMaandiko#