Latest videos
WE ARE LIVE
WE ARE LIVE!
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of one of Largest Church in East Africa. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God has been using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow him on Facebook www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
KEKIMA YA BISHOP GWAJIMA || RETREAT CAMP DAR ES SALAAM
● Testimonies: abcglobalchurch@gmail.com
● Giving: 0655 466 675 or 0753 466 675 (Dickson Cornel Kabigumila)
● To get Teachings and Books Join us on Telegram:
https://t.me/abcglobalaudio
https://t.me/abcgloballibrary
Website:
https://yesunibwana.co.tz
https://zeno.fm/radio/abc-global/
Spotify: https://anchor.fm/pastorkabigumila
● Follow Pastor Dickson on social media
Facebook: https://web.facebook.com/pastorkabigumila
Tiktok: https://www.tiktok.com/@kabigumila
https://linktr.ee/pastorkabigumila
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of one of Largest Church in East Africa. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God has been using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow him on Facebook www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima

#UhondoTV #Uhondo
Dr. Josephat Gwajima is the Senior Pastor of the Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in Jesus name.
WE ARE LIVE
Mchungaji Gwajima anaweka wazi kuwa hakuna wa kumzuia kufanya kazi ya kurudisha aliyoitiwa kuifanya. www.ufufuonauzimaministries.org ... www.gospelkitaa.blogspot.com ...
Hii ni sehemu ndogo ya somo la Madhabahu ya Land lililofundishwa na Askofu Gwajima kanisani Ufufuo na Uzima. Tembelea na Like page yake www.fb.com/jgwajima
Karibu katika saa ya Ufufuo na Uzima
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
BISHOP GWAJIMA IS LIVE
WE ARE LIVE
Facebook: www.facebook.com/jgwajima kumsikiliza muda wote bonyeza www.mixlr.com/rudisha-radio
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
LIVE
we are live
WE ARE LIVE
Mbunge wa Kawe (CCM) Josephat Gwajima akichangia maoni yake kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2023/2024 leo Jumanne, Mei 2, 2023.
KARIBU KATIKA SAA YA UFUFUO NA UZIMA
TAREHE: 16.08.2020
Bishop Dr Josephat Gwajima
Somo: Nilipata kutoka Ndoto
MWANADAMU ANA VIPANDE VITATU:
1/ Roho
2/ Mwili
3/ Nafsi
-Mwili wa Mtu unatokana na Mavumbi pumzi ilioingia ndani ya Mtu ndio Roho ya mtu ndio Uhai wa Mtu .Mungu alipo kupulizia Pumzi ndio alipotengeneza Nafsi yako
NAFSI NA VITU VITENDAVYO KAZI NDANI YAKE:
1/ Hisia za mtu
2/ Utashi
3/ Nia
4/ Moyo
-Mtu anapokufa Roho inatoka ndani ya Mwili na nafsi inapotea ndani ya mtu, Kitu chochote kikikuingia kinakaa ndani ya Nasfi na chochote unacho kisikia kinaingia ndani ya nafsi. Shetani akiamua kumfunga Mtu anachagua kwaku mfunga mtu .Mwili wako umetengenezwa na muunganiko wa Baba na Mama yako lakini Roho yako imetoka Mbinguni.
WAISLAMU WANA AINA YA ELIMU MBILI:
1/ ELIMU AHELA (Nyoman )ELIMU DUNIA
2/ ELIMU DUNIA (Faraki)
-Wewe umeshuka kutoka Mbinguni kama ulivyo na hakuna Mtu wa kukuzuia wewe kufanya kitu unachotaka kufanya . Mwili wa Mtu ni combination ya Baba na Mama
Mungu anajivunia Watu Majasiri. Mungu anatembea Duniani kwa kupitia Miguu yako na anapo sema anasema kwa kupitia Midomo yako lakini ukikaa kimya na Mungu ana kaa kimya.
ADUI WA MTU DUNIANI:
1/ Dunia
2/ Mwili
3/ Shetani
-Neno msamaha alipo kuzimu wewe ulivyo na ulivyo umbwa haufanani na Mtu mwingine
-Mfanano Kati ya Eliya na Yohana Mbatizaji, maana Eliya alipo kufa akaja Yohana Mbatizaji kwaumbo la Yohana Mbatizaji lakini ndani Yake alikua na Roho ya Eliya.
VITU WALIVYO FANANA ELIYA NA YOHANA MBATIZAJI:
1/ Wote walikuwa wana kaa Jangwani
2/ Wote walikua wana kula Nzige na Asali
3/ Wote walikua wana Mashuka ya Ngozi
4/ Wote walikua wana Kemea Makuhani na Wafalme
-Unapo zaliwa lazima uwe na kiu ya kufanya kitu fulani lakini kama umezaliwa lakini ukawa hauna kiu ya kufanya kitu chochote basi jua wewe umeibiwa nyota. Ulipo shuka kutoka Mbinguni ulitoka na kitu chakufanya Duniani Shetani apigani na wewe Shetani anapigana na kitu ulicho kibeba ndani yako. Umetoka mbinguni kwakusudi Mungu ana ruhusu upinzani ilikukuwekea ujasili ndani yako Mchawi anao uwezo wakuviona vitu ulivyo vibeba ndani yako. Makaburini kuna Utajili mwingi sana maana Watu Walio lala na vitu walivyo toka navyo Mbinguni ndio maana vita yako haipo Mbali na wewe ila vita yako ipo ndani yako.
-Hatima yako aifunguliwi na mitume pekeake ila Mungu anauwezo wa kuja kufungua hatima yako iliyo fungwa, usilipe ubaya kwa ubaya ila lipa wema kwa ubaya
-Mungu ana luhusu shida ikupate kwa muda Kwajali ya kukunoa kwa Maisha yako ya badae. Kuna mzigo ulio tokanao Mbinguni ili uachie Duniani.
-Maisha yako ayabadilishwi na muonekano ulionao , Kuna mtu anahatima kubwa lakini ameshikiliwa na Mashetani.
Mathayo 1:1-6
“Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Ibrahimu. Ibrahimu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake; Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese; Yese akamzaa mfalme Daudi. Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;”
-Kila Ukoo unakitabu chake Ulipo Fikia Leo sio kwa Mapenzi yako ila ni kwajili ya mapenzi Mungu ndio maana hadi Leo upo. Mtu aliye mwaminifu kwenye mambo Madogo anakuwa mwaminifu hata kwenye mambo makubwa.
WE ARE LIVE
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Mke wa Askofu Gwajima Amesema kuwa, Yeye Anaufahamu Ukweli, Anamuamini Mume wake na Anamfahamu Vizuri, Ukweli Utabaki Kuwa Ukweli.

Askofu Gwajima wa kanisa la Ufufuo na uzima ameongea na Waandishi wa habari baada ya jina lake kutajwa kwenye orodha ya sakata la dawa za kulevya na mkuu wa mkoa Paul Makonda.
Facebook: www.fb.com/jgwajima
Karibu katika Saa ya Ufufuo na Uzima
Mkutano wa Askofu Gwajima Bahi-Dodoma 14.03.2022
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Ungana nasi muda huu; Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima anafundisha. Mungu akubariki sana