Latest videos
Askofu Sylvester Gamanywa amtoa Binti yake She'mael Gamanywa kuolewa na Meshack Otoore.
#LIVE #ndoa #familia #upendo #bcic #binti
Ndoa ni heshima kubwa, anaeozesha ni Mungu, Askofu Sylvester Gamanywa aliyasema hayo mara baada ya kufungwa ndoa kwa kati ya Meshack Otoore na Sha'mael Gamanywa, BCIC Mbeazi Beach, Dar es Salaam.
#ndoa, #familia, #BCIC, #meshack #sha'mael #gamanywa
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#2023
#wapotvonline #nuruyajamii
#wapotv #amani #upendo
#nuruyajamii
#Imani
#BCIC
#WapoRadio
CEO wa WMI Company Ltd, Sha'mael Gamanywa,ambae ni mtoto wa Askofu Sylvester Gamanywa afunga ndoa takatifu na Meshack Otoore kutoka DPC
#ndoa, #takatifu #baraka #live #bcic #familia #dpc
OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Nakukaribisha wewe unayetamani sana Mungu ajidhihirishe kwako leo bila kujali dini wala dhehebu ulilonalo wiki hii katika ibaada ya Jumapili wiki hii BCIC Mbezi beach kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/BishopSylve...
Subscribe Wapo TV
https://www.youtube.com/channel/UC1nD...
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa
UKIFUNDISHWA IMANI SAHIHI ITAKULINDA
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
Kuhusu Mwandishi
Askofu Sylvester Gamanywa (MA - Uongozi na Utawala) ni Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa wa mtandao wa makanisa na mashirika ya kitaifa na kimataifa ya WAPO MISSION INTERNATIONAL na ambaye pia ni mwasisi wa vyombo vya habari vya Kikristo vikiwemo Gazeti Msemakweli, WAPO Radio FM na Shalom TV.
Aidha, Askofu Gamanywa kupitia vituo vya Maombezi na Ushauri wa Kibiblia (BCIC) vya jijini Dar Es Salaam na mikoani, amekuwa akiendesha ibada za maombezi kwa maefu ya watu wenye mahitaji binafsi ya kiroho, kiafya na kifamilia ikiwa ni pamoja na kuelimisha jamii katika mambo ya amani na maadili kwa kizazi kipya nchini.
Kuanzia mwaka 2008, amekuwa mwanaharakati wa maadili akiongoza Mpango Mkakati wa miaka 20 (2008-2028) unaolenga kuhamasisha, kuelimisha na kurejesha maadili kwa watu binafsi katika jamii.
Ili kufanikisha maono haya, Askofu anatoa kipaumbele kwa vijana wa kizazi kipya ili kukinusuru na mkengeuko wa maadili. Mojawapo ya mikakati yake ni kuhamasisha vijana kutambua na kuchochea vipaji vyao na kujijenga kwenye maadili ya kiimani kwa Injili ya Kristo.
Kitabu hiki ni sehemu ya mikakati hiyo ambapo ujumbe wake mkuu ni kuwafanya wasomaji wake kuwa tayari kwa ajili ya unyakuo wa kanisa kama maandiko matakatifu yasemavyo
Askofu Gamanywa ameoa mke mmoja anaitwa Happiness na wana watoto wanne ambao ni David, Samael, Excellent na Excel
Mwangalizi mkuu wa Wapo Mission International Bishop Sylvester Gamanywa Alihudhuria katika Ibada ya Mazishi ya kumuaga Aliyekua mshirika wake pamoja na kuhudumu katika Media mbalimbali nchini Steven Mode maarufu kama DJ Steve B iliyofanyeka kaika viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam.
YATUPASAYO KUJUA KUHUSU MAMBO YASIYOWEKANA
Kwa mafundisho Zaidi karibu BCIC MBEZI BEACH iliyopo kituo kiitwacho Jogoo Kila jumapili saa 5 asubuh mpaka saa 8 mchana
Live;Kipindi cha pili Ijue CPCT-Askofu Sylvester Gamanywa
KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
Tukio La 8 Kati Ya Matukio 12 Ya Kinabii Yatakayoitikisa Dunia Ya Leo Ni Kuhusu; " Maandalizi Ya Ujenzi Wa Hekalu La Tatu Jijini Jerusalemu." Askofu Sylvester Gamanywa atafundisha ujumbe huu, ikiwa ni tarehe 18-06-2017. Karibu BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam
Ibada ya #krismas,
“Tazama, utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake
utamwita Yesu. Huyo atakuwa mkuu, ataitwa Mwana wa Aliye juu, na Bwana
Mungu atampa kiti cha enzi cha Daudi, baba yake. Ataimiliki nyumba ya
Yakobo hata milele, na ufalme wake utakuwa hauna mwisho.” (LUK.1:31-33)
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
Je! Kuna Ukweli wowote kuhusiana na hali hiyo inayotokana na Mikutano mbalimbali ya Viongozi wa Dini Tanzania ambayo Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa amekuwa akishiriki,Anafafanua Askofu Gamanywa
OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Nakukaribisha wewe unayetamani sana Mungu ajidhihirishe kwako leo bila kujali dini wala dhehebu ulilonalo kila wiki katika ibaada BCIC Mbezi beach kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/Bish....opSylvesterGamanywaB
Subscribe Wapo TV
https://www.youtube.com/channe....l/UC1nD4IBFbRob4LvxS
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa
Karibu BCIC Mbezi Beach Jogoo jumapili hii kwa ajili ya
*Fundisho Sahihi la Kristo
*Uponyaji wa Yesu Kristo
*Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe to Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/Bish....opSylvesterGamanywaB
.
Follow Facebook page: https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
.
Subscribe to Wapo TV ONLINE
https://www.youtube.com/c/WAPOTVONLINE
.
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa
ASKOFU MICHAEL PETER IMANI ASIMIKWA KUWA MSAIDIZI WA ASKOFU GAMANYWA
Mwangalizi wa makanisa ya BCIC kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Askofu Michael Peter Imani (BCIC Maji Meupe, Mbagala), Sasa ni Mwangalizi Msaidizi wa Kitaifa Wapo Mission International, akisimikwa hiyo jana na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa makao makuu BCIC Mbezi beach, Jogoo, Dar es Salaam.
#magufuli #makonda #hapakazituu
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline
UJUMBE MAALUM WA KINABII UMAPILI HII ~ 30/04/2017 ~
“Matukio 12 ya kinabii yanayotarajiwa kuitikisa dunia ya leo”
~ Askofu Sylvester Gamanywa ~
BCIC Jogoo, Mbezi Beach, Dar es Salaam.
Karibuni watu wote.
KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline
VITA YA UKRAINE NA URUSI NI GOGU WA MAGOGU? UNABII WAFAFANUA.
Kuna uhusiano gani wa vita hii na vita ya tatu ya dunia?
Je hii ndiyo vita ya Gogu wa Magogu aliyetajwa kwenye biblia?
Vipi kuhusu athari za kiuchumu kwa ulimwengu?
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#2023
#Shalomtvonline #bishopkakobe #vernonfernandes #moyowaibada #waabuduohalisi
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline
Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : https://web.facebook.com/gospeltvshow/
Instagram : https://www.instagram.com/chomozanews/
YouTube : http://www.youtube.com/c/Chomo....zaTV?sub_confirmatio
#ChomozaTv#2023
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
TEMBELEA Website yetu http://www.wapomission.co.tz
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
SUBSCRIBE channel ya Gospo Media ili uwe wa kwanza kupokea Updates na habari njema za Ki-Injili, Exclusive Interview, Ibada Live, mikutano na makongamano ya ki-injili, matamasha ya muziki, maarifa, mahubiri na mafundisho ya kiroho.
Pia unaweza kupata updates kupitia:
* Blog: https://www.gospomedia.com
* Gospo App - http://bit.ly/2GaLfb2
* Facebook: https://www.facebook.com/gospomedia/
* Instagram: https://www.instagram.com/gospomedia/
#Uzalendonafalsafayamamlaka
#elimuyauraia
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves...
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania
1 PETRO 4:2-5
2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani. 3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuishi katika uzinzi, tamaa, ulevi, na karamu za kula na kunywa vileo kupindukia, na ibada haramu ya sanamu; 4 mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana. 5 Nao watatoa hesabu kwake yeye aliye tayari kuwahukumu walio hai na waliokufa.
#hakunalisilowezekana
WE ARE LIVE!
Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page www.facebook.com/jgwajima Instagram www.instagram.com/bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time

#mchungaji
#gwajima
#habarizetudigital
WE ARE LIVE