ASKOFU GAMANYWA AKIELEZA JINSI ALIVOMFAMU DJ STEVE B
0
0
5 ビュー·
06 8月 2023
Mwangalizi mkuu wa Wapo Mission International Bishop Sylvester Gamanywa Alihudhuria katika Ibada ya Mazishi ya kumuaga Aliyekua mshirika wake pamoja na kuhudumu katika Media mbalimbali nchini Steven Mode maarufu kama DJ Steve B iliyofanyeka kaika viwanja vya Leaders Kinondoni Dar es salaam.
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え