DHAMBI YA MAUTI
0
0
2 ビュー·
01 9月 2023
Kanisa lipo Tabata segerea, Ratiba za Ibada ni kama zifuatavyo
Jumapili saa 03:00 asubuhi
Alhamis saa 10:00 jioni.
Maombi na maombezi yatafanyika njoo tujifunze neno la Mungu maana ndio msingi wa mafanikio yako.
Kwa mawasiliano zaidi 0764 266 255
もっと見せる
0 コメント
sort 並び替え