次に

DHAMBI YA UZINZI INA ANGAMIZA FAMILIA-MWL GOODLUCK MUSHI.

4 ビュー· 06 8月 2023
proshabo
proshabo
5 加入者
5

Mwalimu Goodluck Mushi anafundisha kupitia maandiko matakatifu juu ya dhambi ya uzinzi na uasherati inavyoadhiri familia, huduma na shughuli za kiuchumi.
anatolea mfano ROHO YA YEZEBELI (THE SPIRIT OF JEZEBEL) jinsi ilivyotingisha falme.
hadi sasa roho ya Yezebeli inaendelea kuwakumba wanadamu kwa namna mbalimbali.
endelea kufuatilia na hakika utapata kitu.
hii ni sehemu ya masomo yanayoendelea yenye kichwa
UMUHIMU WA KUOMBEA NJIA YAKO DUNIANI
KATIKA MAJIRA MAPYA
MWANZO 6:12;20:1-3,17-18
WARUMI 6:23
KUTOKA 20:14
RUMI 7:19-20
1KOR 6:18
1KOR 6:16
HESABU 25:1-3


Kwa mlio mbali karibu Subscribe ili tuungane pamoja kupitia Youtube Channel yetu (KKKT KARIAKOO) katika ibada zetu zote #LIVE. Pia waweza kufuatilia mafundisho mafupi mafupi kupitia Instagram (@lutheran_kariakoo)

-~-~~-~~~-~~-~-
Please watch: "Moto@KKKT KARIAKOO "
https://www.youtube.com/watch?v=Lmg5AroZNKQ
-~-~~-~~~-~~-~-

もっと見せる

 0 コメント sort   並び替え


次に