Instagram Ya Bishop Gwajima Yaleta Maswali, Why Askofu Kakobe,Mwingira,Gamanywa na Maboya?
0
0
7 Visningar·
06 Augusti 2023
Watumishi Wa Mungu Askofu Gwajima,Mtume Mwingira,Askofu Kakobe,Askofu Gamanywa Na Askofu Maboya Wakutana Nyumbani Kwa Mtume Mwingira. Kukutana Kwao Kulikua Kufurahi Kula Chakula Cha Pamoja Nakutiana Moyo Kama Watumishi Wa Mungu.
#ChomozaTV #Hatunajambodogo #Askofu Gwajima
Visa mer
0 Kommentarer
sort Sortera efter