JIHADHARI NA DHAMBI YA KUBETI.
0
0
3 Visningar·
01 September 2023
Mithali 13:11 "Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa".
Kumbukumbu 18:10 "Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri"
Visa mer
0 Kommentarer
sort Sortera efter