KAKOBE: MIMI NI RAIA WA TANZANIA, ANAYEKATAA ANIAMBIE MIMI NI RAIA WA NCHI GANI
0
0
2 Views·
04 August 2023
Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe amewasili idara ya uhamiaji Mkoa wa Dar es Salaam.
Askofu Kakobe amewasili Aprili 9, 2018 saa 4:53 asubuhi katika idara hiyo kwa mahojiano akiwa ameambatana na watu wanne. Wawili wanawake na wawili wanaume
Show more
0 Comments
sort Sort By