Kakobe: Ukimgusa Gwajima umetugusa wote
0
0
4 Bekeken·
04 Augustus 2023
Askofu Mkuu wa kanisa la Full Gospel Bibble Fellowship, Zachary Kakobe amesema kua video ya ngono inayodaiwa kumuonesha Askofu Mkuu wa makanisa ya fufuo na uzima Josephat Gwajima video hiyo ni feki na imetengenezwa na wanaofanya biashara ya kufarakanisha watu.
Laat meer zien
0 Comments
sort Sorteer op