Kakobe: Wameanza Kusema Eti Mimi Sio Mtanzania, Siwezi Kukimbia Nchi
Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Askofu wa Kanisa la Full Gospel Bible Felowship, Zachary Kakobe amesema kuna watu wameanza kumwambia kwamba yeye siyo Mtanzania na kwamba anatakiwa kuondoka nchini haraka.
Kakobe amesema kamwe hatishwi na maneno hayo, hawezi kuhama wala kuikimbia nchi kwa sababu yeye ni Mtanzania halisi, yupo na ataendelea kuwepo.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..