MCHUNGAJI AMVAA ASKOFU KAKOBE JUMLA JUMLA BILA UOGA, KISA ...
0
0
2 Vues·
04 Août 2023
Dans
Bible Teachings
Mchungaji Pastori Rwakasoto amemjia juu Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu mafuta na maji yaliyoombewa na kutumiwa na waumini.
Montre plus
0 commentaires
sort Trier par