Mgosa Myovela_Dawa ya Dhambi.
0
0
3 Ansichten·
19 August 2023
Im
Musik
Bwana Yesu asifiwe.
Mungu akubariki kila mmoja ambae umekuwa ukifuatilia Habari njema za ufalme wa Mungu kupitia channel hii ya Myovela TV.
Leo tumekuletea Wimbo mpya unaoitwa Dawa Ya Dhambi.
Zidi kubarikiwa sana, sambaza hata link kwa wale uwapendao ili kwamba tuone wengi zaidi wanafikiwa na habari njema na kusubscribe.
ubarikiwe sana.
Amina.🌷
Zeig mehr
0 Bemerkungen
sort Sortiere nach