Strax

Mgosa Myovela_Hekima.

8 Visningar· 19 Augusti 2023
proshabo
proshabo
5 Prenumeranter
5
I musik

Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu ambae umeitazama channel hii na kusubscribe.
wewe ni mtu wa thamani sana na Mungu anakufurahia sana kwasababu unakubali kupokea neno la kweli ambalo wengi wamelikimbia na kufuata Maslahi yakwao binafsi.
wimbo huu utakupa shauku ya kuiomba hekima kwa Mungu mpaji wa vyote.
ukiokoka na kumuomba Mungu Moyo wa hekima atakupa na utawashangaza watu kwasababu hekima ni kitu bora sana kupita mali, utajiri na vyote pia. wokovu ndio nguzo pekee ya kupata hekima.
Share, subscribe na kucomment. ili kuwafikia wengi zaidi.
ubarikiwe sana maana kaziyako ni njema sana. Mungu atakulipa zaidi mpaka utashangaa.
Amina.

Visa mer

 0 Kommentarer sort   Sortera efter


Strax