Mgosa Myovela_
0
0
6 Visninger·
19 August 2023
I
musik
Mungu akubariki wewe unaefuatilia channel hii.
2 Wakorintho 13
8 "Maana hatuwezi kutenda neno lo lote kinyume cha kweli, bali kwa ajili ya kweli"
usichoke katika kuipeleka hakika ya Kristo Yesu kwa watu wengine. Mungu anajivunia wewe.
Mungu azidi kukuinua kila iitwapo leo.
Amina.
Vis mere
0 Kommentarer
sort Sorter efter