下一个

MKUTANO MKUU WA KITAIFA : ASKOFU GAMANYWA AWATAKA WASHIRIKA KUIPOKEA KATIBA MPYA

4 意见· 06 八月 2023
proshabo
proshabo
5 订户
5

Askofu Sylvester Gamanywa azungumza na Wapo TV na Wapo Radio Fm mara baada ya Mkutano Mkuu wa kitaifa wa baraza la Uongozi wa kitaifa wa Taasisi ya Wapo Mission International, uliofanyika leo Tarehe 29-07-2022, makao makuu ya taasisi hiyo yaliyopo Mbezi beach, Jogoo, Jijini Dar es Salaam.

Askofu Gamanywa amewataka washirika wa makanisa ya BCIC kuipokea katiba mpya ya Taasisi ya Wapo Mission International inayosimamia makanisa hayo ya BCIC yaliyopo miji mbali mbali ya Tanzania ikiwemo, Dar es Salaam, Mbeya, Arusha, Mwanza, Dodoma nk.

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个