Avanti il prossimo

Sauti ya Askofu Kakobe na Kamishina kuhusu kuitwa UHAMIAJI

2 Visualizzazioni· 04 Agosto 2023
proshabo
proshabo
5 Iscritti
5

Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia Idara ya Uhamiaji, imemwandikia barua Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Zachary Kakobe kumtaka afike katika ofisi za Idara hiyo kwa ajili ya mahojiano

Mostra di più

 0 Commenti sort   Ordina per


Avanti il prossimo