Latest videos
Song:" NIMEMUONA BWANA"
Wimbo ni wimbo wa kukiri uweza wa Mungu na kuutukuza pamoja kuuelezea ukuu wa Mungu kwenye maisha yetu.
Unapoenda kuusikiliza wimbo Huu baraka Za Mungu na uweza wake vikakuguse ukamuone Bwana na nguvu zake katika Maisha
yako katika jina la Yesu. Amen.
ARTIST :GOODLUCK MSUYA
Video directed by syberpic (DIRECTOR SYLVESTER
Audio Captured by Choosen records international (SAM MBOYA)
Lights by NYAKALO (DAVID SENGATI)
.
Music Director Mitchell Mike Jr
Song Written: Goodluck Msuya
Song Arrangements: Jonathan Shemsanga
Vocal Arrangements : Christian Mgana
Main Keys : Victor Danielz
Organ / Leads: Jonathan Paul
Aux /Synths : Kephar Mndeme
Pads /Strings: Elisha Mubila
Lead Guitarist: Hagai Makuzo
Drummer :Mitchell Mike Jr
Bassist: Samuel Modest
1.RONNY SWAI -TENOR
2.JONAS MOSHI - TENOR
3.JENNIFER MBASA - ALTO
4.FRANCIS RICHARD-TENOR
5.SCHOLA MUSHI-SOPRANO
6.JULIETH KIMEI- ALTO
7.MAGDALENE RICHARD- ALTO
8.FRIDA DENIS - Alto
9.DIANA KISOMA - SOPRANO
10. IRENE SAMWEL -SOPRANO
11.TINA MTEI- Soprano
12. AnnaMary Steven -Soprano (Overdubs)
Subscribe, Share and Like
The holy spirit power (jina la Yesu cover by paul mwangosi) karibu kusikiliza mazoezi hya utabarikiwa sana na kikundi hiki ni kikundi kinamtumikia Mungu kwa 'njia ya sifa na kuabudu usisahu ku subscribe ku sher kwa wengine ili nao pia wabarikiwe
#pianomusicforlife
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Yupo Mungu ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Yupo Mungu
โ Paul Mwangosi
Released on: 2020-12-06
Auto-generated by YouTube.
Eli the sernt @ Christian Family Church NRB
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Yesu Unipendaye ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Yesu Unipendaye
โ Paul Mwangosi
Released on: 2020-11-04
Auto-generated by YouTube.
Sehemu 1: https://youtu.be/DGi04pAYxuM
Sehemu 2: https://youtu.be/l6bt57zmWb4
Hii safari ya kupitia kwa Maandiko ya manabii inakualika ukutane na Mfalme wa ulimwengu na uelewe mpango wake wa kuwaokoa wana wake walioasi, ili watoke kwenye ufalme wa giza na awawezeshe waishi naye milele katika ufalme wake wa mwanga. Ikiwa na masimulisi ya kiundani mchanganyiko mzuri wa vibonzo na picha za video, filamu hii imelenga watu wote wa Ulimwengu.
Urefu wa filamu hii ni dakika 222 na imeainishwa katika milango 70 na kupangiwa katika mfululizo wa matukio 15 katika sehemu mbili kuu:
Mgawo wa 1 Agano la Kale: Mfalme anaeleza mipango yake (Vipengee 1-8)
Mgawo wa 2. Agano Jipya: Mfalme anatimiza mpango wake (vipengee 9:15)
Mfalme wa Utukufu 1: Hadith katika vipengee 15.
Mgawo wa 1. Agano la Kale: Mfalme anatabiri mipango yake (Saa moja na dakika 47)
1. Utangulizi, (sehemu ya 1-3)
2. Mwumba na Uumbaji wake (sehemu ya 4-9)
3. Kuingia kwa uovu (sehemu ya 10-15)
4. Laana ya dhambi na Ahadi ya Mungu (sehemu 16-19)
5. Njia ya Kafara (sehemu ya 20-24)
6. Uasi wa Mwanadamu na Uaminifu wa Mungu (sehemu ya 25-27)
7. Mpango wa Mungu wasonga mbele (sehemu ya 28-32)
8. Sheria na Manabii (sehemu ya 33-36)
Mgawo wa 2. Agano Jipya: Mfalme Atimiza mpango wake (saa 1 dakika 55)
9. Kuingia kwa Mfalme (sehemu ya 37-42)
10. Asili ya Mfalme (sehemu ya 43-47)
11. Himaya ya Mfalme (sehemu ya 48-51)
12. Misheni ya Mfalme (sehemu 52-56)
13. Maneno ya mwisho ya Mfalme (sehemu 57-61)
14. Kafara ya Mfalme na Ushindi (sehemu 62-65)
15. Injili ya Mfalme na Utukufu (sehemu 66-70)
Jinsi Mungu wetu alivyo Mkuu (Ikiimbwa kwa Kiarabu)
ยฉ 2021 ROCK International http://www.king-of-glory.com
This journey into the Scriptures of the prophets invites you to meet the one true God and understand His plan to rescue His rebellious subjects from the kingdom of darkness and qualify them to live with Him forever in His kingdom of light. With its thought-provoking narrative and inspired mix of animation and live video, this film is for a worldwide audience.
The full film is 222 minutes, composed of 70 Scenes grouped in 15 episodes, and divided into two main parts:
Part 1. Old Testament: The King Foretells His Plan {Episodes 1-8}
Part 2. New Testament: The King Fulfills His Plan {Episodes 9-15}
KING of GLORY: 1 STORY in 15 EPISODES
Part 1: Old Testament: The King Foretells His Plan [1 hour 47 minutes]
1. Prologue (Scenes 1-3)
2. The Creator & His Creation (Scenes 4-9)
3. Evilโs Entrance (Scenes 10-15)
4. Sinโs Curse & Godโs Promise (Scenes 16-19)
5. The Way of the Sacrifice (Scenes 20-24)
6. Manโs Rebellion & Godโs Faithfulness (Scenes 25-27)
7. Godโs Plan Advances (Scenes 28-32)
8. The Law & the Prophets (Scenes 33-36)
Part 2: New Testament: The King Fulfills His Plan [1 hour 55 minutes]
9. The Kingโs Entrance (Scenes 37-42)
10. The Kingโs Character (Scenes 43-47)
11. The Kingโs Dominion (Scenes 48-51)
12. The Kingโs Mission (Scenes 52-56)
13. The Kingโs Submission (Scenes 57-61)
14. The Kingโs Sacrifice & Triumph (Scenes 62-65)
15. The Kingโs Gospel & Glory (Scenes 66-70)
How Great is Our God (Sung in Arabic)
Credits
ยฉ 2021 ROCK International http://www.king-of-glory.com
Lyrucs
kila siku kila saa umwaminifu bwana
kila siku kila saa uu mwaminifu Bwana
wewe simutu; useme uongo;
ukihaidi watimizauna wezawa yesu ;
umwaminifu yesu unatimizaa kwa wakati wako alleluia;
alleluia; alleluia; alleluia una wezawa yesu ;
umwaminifu yesu unatimizaa kwa wakati
wakounaweza YESU uMwaminifu Yesu
contact +243 990 863 415
link of the cherubins groups : https://www.youtube.com/watch?v=w5aArmCHxP8
SUBSCRIBE FOR MORE AMAZING TUTORIALS
Karibu tazama ujumbe huu ninaamini utakubariki sana
Asante kwa kutazama, tafadhali subscribe kwenye YouTube channel yangu, waweza kuacha comment, like na kushare na wengine. Mungu akubariki sana
#KelvinMichaelMfoi
ยฉ2023 Administered by Ngomma VAS Limited.
Kila Siku Kila Saa Sang By Eliya Mwantondo and the Team in One Hour In Worship Sessions
#KilasikuKilasaa
#EliyaMwantondo
#OneHourInWorship
Short clip of worship done at Kebirigo PAG
Like, Share and
Don't Forget to Subscribe!
Tunamshukuru Mungu kwa Neema yake, tunakukaribisha kuungana nasi kumwabudu Mungu kupitia wimbo huu.
Ni wimbo wa kumwabudu Mungu ulioimbwa na Mtumishi wa Mungu Paul Mwangosi.
Music Director : John Kuyokwa
Auxiliary Keyboard: Kefa Mndeme
Layering key :Elisha Mubila
Bass Guiter: Pastor John Honore
Leading Guiter: Pastor Steve
Saxphone:Mosse Zamangwa,Donick Mwakatobela
Trombone 1 Patrick Gayo
Trombone 2:Jonas Moshi
Drums:Ernest Majesh
In everything, we keep our trust in christ, Despite of all the hardship and friction we face, God is always there to hold our hand through them, and we believe through him, we shall emerge successfull testifying his work to the world..
Thanks for watching this video, please SUBSCRIBE, LIKE and SHARE the video and the message, and dont forget to LEAVE A COMMENT to encourage other sauls in jesus name ๐
DOWNLOAD BEAT HILI KWA KUBONYEZA HAPA https://www.mediafire.com/file..../9xs362b24jxxfhv/NAN
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Haleluya (feat. Minza) ยท Paul Mwangosi ยท Minza ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Haleluya (feat. Minza)
โ Paul Mwangosi
Released on: 2021-02-08
Auto-generated by YouTube.
Wimbo niliimba Mwaka 2005
Siku moja nilikuwa kanisani
Ninaomba nikasikia wimbo unaimba
Ndani yangu Yo ozal Nzambe mara nyingi
Wimbo nili urekodi mimi mwenyewe
kwenye Studio ya nyumbani kwangu
Akaja rafiki yangu Sanga akapiga
Solo Guiter.
Nani Kama Wewe
Nani kama kama wewe ni wimbo wa kumuabudu Mungu umeimbwa na Paul Mwangosi akishirikiana na Roc Worshipers, kwa pamoja walishirikiana kwenye ibada ya Thunder iliyofanyika jumapilia ya tarehe 30/08/2020 kwenye kanisa la Reality Of Christ lililopo Sinza mori Dar es salaam.
Written By: Paul Mwangosi
THUNDER NI IBADA ZINAZOFANYIKA KILA JUMAPILI YA MWISHO KATIKA HUDUMA YA REALITY OF CHRIST MINISTRY (ROC), SINZA MORI DAR ES SALAAM, KUANZIA SAA 9 ALASIRI.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof...
Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch...
Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...
#ROCWORSHIPER #PAULMWANGOSI
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Unatawala Milele ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Unatawala Milele
โ Paul Mwangosi
Released on: 2021-02-08
Auto-generated by YouTube.
Pata nafasi ya kusikiliza zaidi na zaidi
na tenga muda wa kutafakari ujumbe huu,
omba kwa kwa ajili yako si kwa ajili ya mtu mwingine
, hizi nisiku za mwisho, waambie na wengiine
kujifunza jambp hili, waambie watoto wako ili wasije waka sema hawaku ambiwa na wazazi,
Mara nyingi sana wingu la upako na uwepo wa Mungu huwa hushuka na kufurika wakati wa kusifu na kuabudu lakini kila kimoja na mapokeo yake.
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Mwamba Wangu ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Mwamba Wangu
โ Paul Mwangosi
Released on: 2020-11-04
Auto-generated by YouTube.
#RebecaKenan#EaglesRecord#
ROHO MTAKATIFU BADO ANA KAZI NA MIMI.
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Ee Yesu Yesu ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Ee Yesu Yesu
โ Paul Mwangosi
Released on: 2021-02-08
Auto-generated by YouTube.
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Unaweza Yesu (feat. Goodluck Msuya, Deborah Kuyokwa) ยท Paul Mwangosi ยท Goodluck Msuya ยท Deborah Kuyokwa ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Unaweza Yesu (feat. Goodluck Msuya, Deborah Kuyokwa)
โ Paul Mwangosi
Released on: 2021-10-17
Auto-generated by YouTube.
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Nasikia Kuitwa ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Nasikia Kuitwa
โ Paul Mwangosi
Released on: 2017-11-20
Auto-generated by YouTube.
MOYO WA IBADA VOL 1
ALBUM NIMESOGEA BY PAUL MWANGOSI
Ni Wewe Yesu Lyrics
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Utukufu na heshima
Vina wewe Yesu
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Utukufu na heshima
Vina wewe Yesu
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
"Ufalme wako ni ufalme usiotikisika
Hauna mwisho Bwana wala hauna mwanzo
Utukufu na nguvu na enzi ni vyako Yesu"
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Utukufu na heshima
Vina wewe Yesu
Ni wewe Yesu wa kuabudiwa
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Utukufu na heshima
Vina wewe Yesu
Ni wewe Yesu wa kuinuliwa
Provided to YouTube by Paul Mwangosi
Heri Heshima (feat. Stella Munisi) ยท Paul Mwangosi ยท Stella Munisi ยท Paul Mwangosi ยท Paul Mwangosi
Heri Heshima (feat. Stella Munisi)
โ Paul Mwangosi
Released on: 2021-02-08
Auto-generated by YouTube.