Latest videos

proshabo
4 Views · 1 year ago

Fungu 1:
Twamsifu Mungu, Mwana wa Upendo,
Aliye tufia na kupaa juu.

Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.

Fungu 2:
Twamsifu Mungu, Roho Mtukufu,
Akatufunulia Mwokozi wetu.

Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.


Fungu 3:
Twamsifu Mwana, aliye tufia,
Ametukomboa na kutuongoza.

Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.


Fungu 4:
Twamsifu Mungu wa neema yote ,
Aliyetwaa dhambi, akazifuta.

Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.


Fungu 5:
Tuamshe tena, tujaze na pendo.
Moyoni uwashe moto wa Roho.

Aleuluya! Usifiwe, Aleluya Amin;
Aleuluya! Usifiwe, utubariki.

proshabo
3 Views · 1 year ago

Kwa neema ya Mungu napenda kukualika kuangalia nakuabudu pamoja nami wimbo huu wa mbele ninaendelea, nikutie moyo kuwa Bwana Yesu Anakwenda kukuinua kutoka apo ulipo Naomba Share,Subscribe channel hii ili uwe wakwanza kupata Video nyingine nyingi zaidi Amen

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mpendwa barikiwa sana usisahau kusubscribe

proshabo
4 Views · 1 year ago

Yesu unipendaye ni wimbo wa tenzi namba 26,ambao umegusa watu wengi,ni matumaini yangu wimbo huu utaendelea kugusa watu wengi na kuwafungua katika jina la Yesu Kristo.

Music Director; Iman Shoo
seond ;Msuya
Third keys; Joel
Bass guitar; Evans
Solo guitar; Joseph kumenya
Drums; Zablon

video production; @directordixon8147
Audio capture; Baraka Ngowi
Audio Mixing; Festo
Venue; Haddy Pro

Back vocal
Hellen Mafie
Amina
Charis Bupe
Hope Reo
Prisca
Msama Kosan

proshabo
7 Views · 1 year ago

Nyimbo namba 325.
"Mahali ni Pazuri"

1. Mahali ni pazuri
Ndugu wanapokaa,
/: wakipatana vema
Na wakipendana.:/


2. Kama umande mzuri
Unyweshavyo shamba,
/:hivyo na Mungu
Wetu
Abariki ndugu.:/


3. Upendano hujenga
Boma zuri kwao,
/: wakae na amani
Waliookoka.:/


4. Na ulimwengu wote
Wavutwa nuruni,
/: halafu kundi moja
Na mchunga mmoja
Tu.:/

proshabo
0 Views · 1 year ago

KUMTEGEMEA MWOKOZI Tenzi za Rohoni (Official Lyrical Video) sms Skiza 5961278 to 811 By Pastor Ken Kisilu

Check out other music videos on my channel and God bless you

proshabo
1 Views · 1 year ago

Provided to YouTube by Mbarikiwa Mwakipesile

Kazi Yangu Ikiisha · Ambwene Mwakipesile · Ambwene Mwakipesile · Ambwene Mwakipesile

Kazi Yangu Ikiisha

℗ Mbarikiwa Mwakipesile

Released on: 2021-02-01

Auto-generated by YouTube.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mpendwa barikiwa sana usisahau kusubscribe ili usipitwe na nyimbo yoyote #Nyimbozakristo #sda #HopeChannelTanzania #RJHOPETV

proshabo
4 Views · 1 year ago

SAMMY MURIUKI OFFICIAL.
Nearer my God to Thee.
Karibu na wewe, Mungu wangu;
Karibu zaidi, Bwana wangu.
Siku zote niwe, karibu na wewe,
Karibu zaidi Mungu wangu.

@worldexplorers104
@3dworldmedialinks577
@kikuyuanimatedproverbs1825

proshabo
2 Views · 1 year ago

SAMMY MURIUKI
More About Jesus
Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu,
Nijue pendo lake, na
wokovu wake kamili.

@worldexplorers104
@3dworldmedialinks577
@kikuyuanimatedproverbs1825

proshabo
2 Views · 1 year ago

Choral Hymns of all time. All Rights Reserved

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mtafakari bwana usiku na mchana, asubuhi na jioni kupitia nyimbo hizi za mtenzi za rohoni ili upate neema yake katika siku zote za maisha yako.

Zaburi 91:1-2 Anayekaa chini ya ulinzi wa Mungu Mkuu, anayeishi chini ya kivuli cha Mungu Mwenye Nguvu, ataweza kumwambia Mwenyezi-Mungu: “Wewe ni kimbilio langu na ngome yangu; Mungu wangu, ninayekutumainia!”

proshabo
1 Views · 1 year ago

Amka na BWANA kwa kusikiliza nyimbo za Tenzi za Rohoni za kumshukuru MUNGU kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni.

proshabo
8 Views · 1 year ago

Sikiliza nyimbo nzuri za Tenzi za Rohoni - kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya Zaidi ya +25

Nyimbo za tenzi za rohoni


01 :Mwamba wenye imara
02: Lango Li Wazi
03: Tuonane Milele
04: Usinipite Mwokozi
05: Yesu Mwamba Imara
06: Mteteeni Yesu
07: Usinipite Mwokozi
08: Salama Rohoni
09: Kijito Cha Utakaso
10: Yesu Unipendaye
11: Kombolewa
12: Cha Kutumaini Sina

13: Tuonane Milele na nyingine nyingi Zaidi......

proshabo
2 Views · 1 year ago

BEST SWAHILI HYMNS ✅ NYIMBO ZA KUABUDU ✅ WORSHIP GOSPEL MUSIC ✅ TENZI ZA ROHONI✅
christian worship songs | best worship songs | swahili gospel songs | gospel music | gospel songs | praise and worship.
🔴 Please SUBSCRIBE to this channel - Thank you in advance 💞. May God bless you richly🙏🙏.
#gospelmusic #gospelsongs #worshipmusic #praiseandworshipsongs #kuabudu #gospelworshipsongs #bestworshipsongs #bestgospelsongs #nyimbozakuabudu #music #swahiligospel #mix #worship #praise #contemporaryworship #mixes #trending #kambasongs #tanzania #best #latest #tenzizarohoni #nyimbozawokovu #hymns #swahili #gospelmusic #kenya #salvation #music #musicvideo #tanzania

proshabo
2 Views · 1 year ago

SAMMY MURIUKI OFFICIAL
Lango ndiye Yesu Bwana
Wote waingie kwake,
Lango! Lango
La Mbinguni ni wazi.

@goldenlyricalhymns7278
@worldexplorers104
@3dworldmedialinks577
@kikuyuanimatedproverbs1825

For support, +254721842272 - Samuel Muriuki Ndirangu
Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channe....l/UCgttHgMSJ4E8wX6a_

proshabo
2 Views · 1 year ago

𝐓𝐚𝐳𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐦𝐛𝐨 𝐳𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐓𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐙𝐀 𝐑𝐎𝐇𝐎𝐍𝐈 Bonyeza 𝐇𝐚𝐩𝐚👇🏾👇🏾👇🏾
https://youtu.be/8hL2FvLXz-4

Subscribe channel yetu kupata video zaidi.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Nyimbo za tenzi za rohoni
01: Kijito Cha Utakaso
02: Lango Li Wazi
03: Tuonane Milele
04: Usinipite Mwokozi
05: Yesu Mwamba Imara
06: Mteteeni Yesu
07: Usinipite Mwokozi
08: Salama Rohoni
09: Mwamba wenye imara
10: Yesu Unipendaye
11: Kombolewa
12: Chakutumaini sina, na nyingine nyingi Zaidi......

proshabo
2 Views · 1 year ago

SWAHILI COMMON HYMNS....BLESSING AND UPLIFTING SONGS

proshabo
1 Views · 1 year ago

TUMEWEKA VIDEO HII ILI KUWAKUMBUSHA KUWA BADO TUKO PAMOJA KATIKA UTUMISHI NA TUNAENDELEA KUMTUMIKIA MUNGU.
OFFICIAL VIDEO INAANDALIWA.
ASANTENI SANA NA MUNGU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kama unahitaji nyimbo hizi tafadhali niandikie kwenye coment hapo chini kuwa unahitaji nyimbo ngapi na namba yako ya simu ya whatsapp.Nitakutumia bure kabisaa.
Liko lango moja wazi ni wimbo kutoka katika kitabu cha tenzi za Rohoni. Hakuna lango lingine limwezeshalo mtu kupita kufika mbinguni ila ni Yesu tu ndiyo lango hilo.
#dinuzeno

proshabo
2 Views · 1 year ago

Naaam kwasasa mbarikiwa PIA anapatika ktk channel mpya inayoitwa KIKOS KAZI CHA INJILI.

ENDELEA KUBARIKIWA NA KUFUNGULIWA KWA MANENO HAYA KWANI HAYATAKUWA YABURE

proshabo
4 Views · 1 year ago

Fungu 1:
Jina la Yesu, salamu! lisujudieni,
Ninyi mbinguni, hukumu, Na enzi mpeni.
Ninyi mbinguni, hukumu, Na enzi mpeni.
Fungu 2:
Enzi na apewe kwenu, watetea dini;
Mtukuzeni Bwana wenu, Na enzi mpeni.
Mtukuzeni Bwana wenu, Na enzi mpeni.
Fungu 3:
Enyi mbegu za rehema nanyi msifuni;
Mmeponywa kwa neema, Na enzi mpeni.
Mmeponywa kwa neema, Na enzi mpeni.
Fungu 4:
Wenye dhambi kumbukeni ya msalabani.
Kwa furaha msifuni, Na enzi mpeni.
Kwa furaha msifuni, Na enzi mpeni.
Fungu 5:
Kila mtu Duniani msujudieni,
Kote-kote msifuni, Na enzi mpeni.
Kote-kote msifuni, Na enzi mpeni.
Fungu 6:
Sisi na wao pamoja tu mumo sifani.
Milele sifa ni moja, ni “enzi mpeni”.
Milele sifa ni moja, ni “enzi mpeni”.

proshabo
2 Views · 1 year ago

#sdasongs #kenya #tanzania #uganda #Rwanda #music #subscribe

cc. copyright belongs to the singers of this song

proshabo
2 Views · 1 year ago

Nataka nimjue Yesu, ni tenzi 92 inayokupa nafasi ya kuona sababu ya kutaka kumjua Yesu.
Unaweza kuwa unatamani kuishi kwa neema tu lakini wimbo huu utakufundisha wewe kuishi kwa bidii pia ya kumjua Yesu.
Subscribe to this channel kwa video zaidi.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor

proshabo
4 Views · 1 year ago

Tenzi za Rohoni

Bwana Mungu, nashangaa kabisa, nikifikiri jinsi ulivyo
Nyota ngurumo, vitu vyote pia, viumbwavyo kwa uwezo wako

Roho yangu na ikuimbie, jinsi wewe, ulivyo mkuu


O Lord my God, When I in awesome wonder,
Consider all the worlds Thy Hands have made;
I see the stars, I hear the rolling thunder,
Thy power throughout the universe displayed.

Then sings my soul, My Saviour God, to Thee,
How great Thou art, How great Thou art.

#SautiTamu #Zilipendwa

Attribute: Stuart K. Hine, Carl Goberg

Waimbaji : Sauti Tamu Melodies



Producer/ Director : Martin Mutua Munywoki

Instruments: Vincent Makori & Martin Munywoki


Tazama nyimbo nyingine za sifa na kuabudu kwa channel hii kama vile huniongoza Mwokozi, chakutumaini sina, atukuzwe aleluya, roho yangu na ikuimbie, na Lo Ajabu kupata uzima.


Tazama nyimbo zaidi kutoka channel hii kama vile Wanameremeta (Bernard Mukasa) Nikupe Nini Mungu Wangu, Nitakwenda Mimi Mwenyewe, Roho Yangu na ikuimbie, Nimeahidi Yesu, Msisimko wa Sifa, Wanameremeta, na nyingine nyingi za kwaya katoliki zilizopendwa.

kwa nyimbo zaidi fuatilia channel ya Rajo Productions au Holy Trinity Studios au Tanganyika production na nyinginezo upate nyimbo za kwaya mbalimali, kenya na Tanzania

#SautiTamu #Zilipendwa

unaweza tumika kipindi cha Kwaresma, lent

proshabo
5 Views · 1 year ago

WIMBO | ANIPENDA MWOKOZI YESU
WAIMBAJI | SHILOH PRAISE TEAM
MAHALI: KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B"
FEB. 12.2023

proshabo
4 Views · 1 year ago

#02 ON TRENDING #SUBSCRIBE #LIKE

Kindly Follow my Facebook page and like
👇👇
https://www.facebook.com/VdjBillatoMrBillBill



Download Mp3 Audio mix via that link👇👇

https://hearthis.at/dj-billato....-254/tenzizarohonisw

N/B If you don't want your video being on this mixtape kindly Email me for immediate delete,,,, Thank You

billyronok@gmail.com

# FOLLOW ME ON FACEBOOK @

https://www.facebook.com/vdj.billato

#FOLLOW ME ON TIKTOK @

https://vm.tiktok.com/ZML7RSYtb/

#FOLLOW ME ON TWITTER @

https://twitter.com/VBillato?t=rgsBt18BMsqqb5H0aRiV-w&s=09

#FOLLOW ME ON INSTAGRAM @

https://www.instagram.com/invi....tes/contact/?i=1du79 myaq8&utm_content=2l0q919

#Like my facebook page😍👇

https://www.facebook.com/profi....le.php?id=1000867299


Support my work M'pesa TIP (0712041587)
Thank you💪

proshabo
1 Views · 1 year ago

JIPATIE NYIMBO ZA TENZI UZITAKAZO KUTOKA KATIKA CHANNEL HII.
Subscribe to this channel for more videos.
#chombochenyeheshima

proshabo
0 Views · 1 year ago

SWAHILI WORSHIP SONG


Listen:
Swahili heaven Worship on Spotify: https://open.spotify.com/artis....t/7CKHJr2FF9vn69VYcM

Swahili heaven Worship;
.."Bwana ndiye Mchungaji wangu sito pungukiwa na Kitu"..

Download and listen on all digital platforms;

Spotify: https://open.spotify.com/artis....t/7CKHJr2FF9vn69VYcM

Itune: https://music.apple.com/tz/art....ist/swahili-heaven-w

Boomplay: https://www.boomplay.com/share/artist/70917624?srModel=byWH&srList=ANDROID

Facebook: https://www.facebook.com/profile.php?id=100070083833790&mibextid=ZbWKwL

Instagram: https://instagram.com/swahiliw....orship?igshid=ZGUzMz


Contact us through;
Phone number, +255759496895
Email; andreanico211@gmail.com




#nyimbozakuabudu #nyimbo #kuabudu #swahiliworship #swahiliworshipsong #lyrics #nonstop #nyimbozamaombi #maombiyausiku #maombi #swahiliheavenworship

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mtunga Maneno: Isack Watts (1674-1748)
Mtunga Sauti: R. E. Hudson
Kiingereza: At the Cross

proshabo
2 Views · 1 year ago

Baada ya channel ya Mbarikiwa mwakipesile ya youtube kufungwa, sasa unaweza kuzipata video zake za zamani kwa kupitia channel zifuatazo.
1. Alex Tewele ... https://www.youtube.com/channe....l/UCgGHvEYyIIcGYzLOI
2. Zawadi blandine ... https://www.youtube.com/channe....l/UCNDpab1B_9Z732qk5
3. Helbeth Mlelwa ... https://www.youtube.com/channe....l/UCz72LWtsVGeSOBWLS

Mahubiri ya sasa ya Mbarikiwa Mwakipesile yanarushwa kupitia channel ya Kikosi kazi cha injili ... https://www.youtube.com/channe....l/UC_8kqo8QcC2Y1F07Z
Pia ibada zinarushwa live (mubashara) katika mtandao wa facebook. Ingia facebook na tafuta mbarikiwa mwakipesile au bonyeza maandishi haya https://www.facebook.com/salome.mwampeta.5

KWA KILA CHANNEL ILIYOANDIKWA HAPO JUU. NI VYEMA KAMA UTASUBSCRIBE ILI UWEZE KUPATA TAARIFA ZAIDI.
NEEMA YA KRISTO YESU, IWE PAMOJA NAWE. AMEN

proshabo
6 Views · 1 year ago

THE GREAT PHYSICIAN in swahili by Sammy Muriuki. Video with lyrics and chords.

@goldenlyricalhymns7278
@kikuyuanimatedproverbs1825
@3dworldmedialinks577
@worldexplorers104

For support, +254721842272 - Samuel Muriuki Ndirangu
Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channe....l/UCgttHgMSJ4E8wX6a_

proshabo
5 Views · 1 year ago

NASIKIA KUITWA NA SAUTI YAKO,
NIKASAFIWE KWA DAMU,
YA KUANGIKWA KWAKO.

OOOH! HAKIKA BWANA NI MWEMA.
KARIBU SANA TUMWITE MUNGU WETU PAMOJA.

Subscribe to this channel for more videos.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor

proshabo
1 Views · 1 year ago

WIMBO HUU UMEINUA MAISHA YA WENGI. MTETEENI YESU.
KAMA ASKARI WA MUNGU TUNAHITAJI KUMTETEA YESU KWA NAMNA YOYOTE ILE.
KWA USEMI WETU, KWA MAVAZI, KWA MWENENDO n.k.
MTETEENI YESU ENYI WENYE USHUJAA.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor

proshabo
2 Views · 1 year ago

Hallelujah

Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo.

.#NITABIBU WAKARIBU 07
. New Bits 2020.

•Cover Designed _Total Gospel Media
Instruments/Music_Uwata (UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA)

•Kwa Huduma wasiliana nasi!
Tupigie +255 653 515 5553

TOTAL GOSPEL MEDIA
We Believe in Jesus Christ


ENDELEA KUBARIKIWA.




Showing 61 out of 62