Latest videos
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#roho_yangu
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; Musanze - Rwanda
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 35
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa,
jua lake la neema linang’aa kila siku.
Chorus
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli.
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha.
2
Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu,
na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa.
3
Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu.
Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake.
4
«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika
kwamba ninakaa kwenu», hivyo Yesu alisema.
5
Kweli, amefika kwetu, sasa yumo ndani yetu.
Ujitoe kwake Mungu, aioshe roho yako!
6
Yesu atakapokuja katita utakatifu,
nitafananishwa naye, nitamshukuru sana.
Chorus 2
Zitakuwa nyimbo nyingi tuta’poingia mbingu,
na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu.
#kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
No not one swahili version with lyrics
Mbarikiwa
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE
PLEASE SUBSCRIBE
Karibu usikilize Beats instumental Za nyimbo za Tenzi za Rohoni Mpya 2021
1.Bwana Uliyewaita
2.Bwana Yesu Atakuja
3.Wamwendea Yesu
4.Yesu Kwetu Ni Rafiki
5.Tumesikia Mbiu
6.Naweka Dhambi
7.Twae Wangu
8.Mapenzi Ya Milele
9.Twamsifu Mungu
10.Yesu Zamani
11. Nionapo Amani
12.Yesu Kwa Imani
SAMMY MURIUKI.
What a friend we have in Jesus Swahili version with lyrics.
@goldenlyricalhymns7278
@kikuyuanimatedproverbs1825
@3dworldmedialinks577
@worldexplorers104
For support, +254721842272 - Samuel Muriuki Ndirangu
Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channe....l/UCgttHgMSJ4E8wX6a_
Tenzi namba 9. Barikiwa.
#dinuzeno
Tenzi Za Rohoni na Nyimbo Za Kristo zilizoimbwa kwa ustadi. Utaisikiza kwa muda wa saa moja mfululizo. Barikiwa.
Bwana Yesu asifiwe, tuabudu pamoja wimbo huu wa tenzi za rohoni nambari 117... SUBSCRIBE, LIKE,COMMENT AND SHARE..Baraka🙏🙏
JESUS IS LORD AND GOD PLEASE ENJOY OUR CHANEL
ILI KUPATA NYIMBO ZA TENZI ZOTE NILIZOZIIMBA NAOMBA BONYEZA LINKI HII HAPA CHINI.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor
ILI KUPATA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU NILIYOYAANDAA KWAAJILI YAKO UNAWEZA KUBONYEZA LINK HII HAPA CHINI.
https://youtu.be/bFoRH6TJWNQ
TENZI NAMBA 86 DAMU IMEBUBUJIKA
https://youtu.be/foEVgP_jWmU
TENZI NAMBA 25 NIMEKOMBOLEWA NA YESU
https://youtu.be/u_GrvFmlCsg
Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Audio Download:
https://hearthis.at/dj-c.l.b/d....j-clb-tenzi-praise-s
In this video, we're going to be taking a look at the new DJ C.L.B. compilation, Tenzi Za Rohoni Songs. This mix features some of the biggest names in Gospel music, including Guardian Angel, Dinu Zeno, MSANII MUSIC GROUP, and Florence Mureithi.
If you're a fan of Gospel music, then you definitely need to check out this album! It features some of the best tracks from the genre, and will definitely put a smile on your face. So join us as we take a look at Tenzi Za Rohoni Songs, and hear why it's one of the most popular albums of the year! Feel free to add your favorite Tenzi Za Rohoni songs in the comments!
HELLO THERE! LIKE, SHARE & SUBSCRIBE FOR MORE!
Hallelujah!
.BWANA MUNGU NASHANGAA KABISA wimbo Kutoka kwenye kitabu cha Tenzi namba 114
.Umeimbwa na Mtumishi wa MUNGU Mwl.Gordian Newton! Endelea kubarikiwa unapoendelea kusikiliza wimbo huu!
Endelea kusubscribe kulike na kushare, #Total#Gospel#Media uwe wa kwanza kupata video na nyimbo mpya za injili.
ENDELEA KUBARIKIWA!!
Hallelujah
Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo.
.#JinaLakeYesuTamu~Tenzi za Rohoni 2021
. New Bits 2021.
•Cover Designed _Total Gospel Media
Instruments/Music_Uwata (UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA)
•Kwa Huduma wasiliana nasi!
Tupigie +255 653 515 5553
TOTAL GOSPEL MEDIA
We Believe in Jesus Christ
SAMMY MURIUKI.
Kuoshwa kwa damu itutakasayo ya kondoo
@goldenlyricalhymns7278
@kikuyuanimatedproverbs1825
@3dworldmedialinks577
@worldexplorers104
For support, +254721842272 - Samuel Muriuki Ndirangu
Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channe....l/UCgttHgMSJ4E8wX6a_
Stand up for Jesus in Kiswahili with lyrics.
@worldexplorers104
@3dworldmedialinks577
@kikuyuanimatedproverbs1825
#NYIMBOZAWOKOVU #NYIMBOZAINJILI #NYIMBOZATENZIZAROHONI
Una muda mwingi hujamtafakari Mungu
au haujaomba vya kutosha?
Tumia wimbo huu kukuweka karibu na Mungu.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor
Subscribe to this channel for more videos.
#dinuzeno
🔴 NYIMBO ZA MAOMBI VOL 1. TENZI ZA ROHONI. NYIMBO ZA KUABUDU . LATEST WORSHIP MIX 2023 By Dj Paulnix
#letsworship #latestworshipmix2023
𝐓𝐚𝐳𝐚𝐦𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐢𝐤𝐢𝐥𝐢𝐳𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐦𝐛𝐨 𝐳𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐚 𝐓𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐙𝐀 𝐑𝐎𝐇𝐎𝐍𝐈 Bonyeza 𝐇𝐚𝐩𝐚👇🏾👇🏾👇🏾
https://youtu.be/dia8guvg_vo
PLEASE SUBSCRIBE
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#roho_yangu
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; Musanze - Rwanda
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 35
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Nimefika kwake Yesu, Na rohoni mwangu sasa,
jua lake la neema linang’aa kila siku.
Chorus
Roho yangu inaimba, nimefunguliwa kweli.
Nimekaribia Yesu, ninaimba kwa furaha.
2
Pepo za neema yake zinavuma ndani yangu,
na mawimbi ya wokovu yananijaliza sasa.
3
Sasa Bwana Yesu Kristo amefanya kao kwangu.
Nimepewa mfariji, Roho ya ahadi yake.
4
«Siku roho afikapo mtajua kwa hakika
kwamba ninakaa kwenu», hivyo Yesu alisema.
5
Kweli, amefika kwetu, sasa yumo ndani yetu.
Ujitoe kwake Mungu, aioshe roho yako!
6
Yesu atakapokuja katita utakatifu,
nitafananishwa naye, nitamshukuru sana.
Chorus 2
Zitakuwa nyimbo nyingi tuta’poingia mbingu,
na milele tutaimba na kusifu Mungu wetu.
#kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA
Subscribe to this channel for more videos.
#dinuzeno
Mbarikiwa
Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.
Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,
Na yanikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Heri nikute mashaka,
Sawasawa na wewe.
Niongoze safarini,
Mbele unichukue,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Mlangoni mwa mbinguni,
Niingie na wewe.
Tenzi namba 9. Barikiwa.
#dinuzeno
Nimekombolewa na damu ya Yesu.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor
#dinuzeno
KARIBU TUMTUKUZE MUNGU KWA NJIA YA NYIMBO.
ILI KUPATA NYIMBO ZA TENZI ZOTE NILIZOZIIMBA NAOMBA BONYEZA LINKI HII HAPA CHINI.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor
ILI KUPATA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU NILIYOYAANDAA KWAAJILI YAKO UNAWEZA KUBONYEZA LINK HII HAPA CHINI.
https://youtu.be/bFoRH6TJWNQ
TENZI NAMBA 86 DAMU IMEBUBUJIKA
https://youtu.be/foEVgP_jWmU
TENZI NAMBA 25 NIMEKOMBOLEWA NA YESU
https://youtu.be/u_GrvFmlCsg
JESUS IS LORD AND GOD PLEASE ENJOY OUR CHANEL
SAMMY MURIUKI OFFICIAL.
Pass me not in swahili.
Usinipite Mwokozi,
Unisikie;
Unapozuru wengine,
Usinipite.
Yesu, Yesu, unisikie,
Unapozuru wengine,
Usinipite.
Kiti chako cha rehema,
Nakitazama;
Magoti napiga pale,
Nisamehewe.
Sina ya kutegemea,
Ila wewe tu;
Uso wako uwe kwangu,
Nakuabudu.
U Mfariji peke yako,
Sina mbinguni;
Wala duniani pote,
Bwana mwingine.
@goldenlyricalhymns7278
@worldexplorers104
@3dworldmedialinks577
@kikuyuanimatedproverbs1825
For support, +254721842272 - Samuel Muriuki Ndirangu
Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channe....l/UCgttHgMSJ4E8wX6a_
MTETEENI YESU KRISTO ENYI WANA WA MUNGU, VITA NI VIKALI MNO, ILA TUKIWA NA BWANA TUNASHINDA.
NI WIMBO WENYE NGUVU MNOOO. KILA NIKIUIMBA NINAJISIKIA NGUVU MPYA NDANI YANGU.
MTETEENI YESU WANA WA MUNGU.
HUSIACHE KUSAMBAZA KWA WENGINE ILI TUPATE JESHI KUBWA LA KUMSHINDA ADUI.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.dinuzenogospelday.com/
#dinuzeno
Bonyeza link hii kupata zingine zaidi.
https://www.youtube.com/watch?v=2Gww5Gq8A1s&list=PLBq6eI_4vglJf4qbNcm5NSS5tJuMptai6
TANGU KIPINDI CHA YOHANA MBATIZAJI HATA SASA, UFALME WA MUNGU HUPATIKANA KWA NGUVU, NAO WENYE NGUVU NDIO WANAOUTEKA.
CHANNEL HII ITAKUSAIDIA KUKUPA MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU AMBAYO YATAKUTIA NGUVU ITAKAYO KUFANYA UWEZE KUUTEKA UFALME ULE BWANA ALIOTUAHIDIA.
TUNATUMIA DAKIKA CHACHE SANA KATIKA KUKUFUNDISHA MANENO YA MUNGU NA HUTALIPIA GHARAMA YOYOTE KUYAPATA MAFUNDISHO HAYA ISIPOKUWA NI Mb ZAKO TU KATIKA SIMU YAKO.
Subscribe to this channel for more videos.
#dinuzeno #mafundishoyanenolaMungu
Hallelujah
Endelea kusubsribe Like na share Kwa wengine ili Iwafikie Habari njema kila Leo.
.#JinaLakeYesuTamu~Tenzi za Rohoni 2021
. New Bits 2021.
•Cover Designed _Total Gospel Media
Instruments/Music_Uwata (UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA)
•Kwa Huduma wasiliana nasi!
Tupigie +255 653 515 5553
TOTAL GOSPEL MEDIA
We Believe in Jesus Christ
Gospel songs Videos
JE! UNAUONAJE MFUMO HUU WA KUWEKA WIMBO NA MANENO YAKE? TUJULISHE TAFADHALI. ASANTE SANA.
Subscribe to this channel for more videos.
https://www.youtube.com/playli....st?list=PLyNCaos0Hor
#dinuzeno
usinipite mwokozi
Ni salama rohoni mwangu
Kupata Nyimbo zote za Tenzi Bonyeza link hii; Asante sana.
https://www.youtube.com/watch?v=p7OGdIrxKEE&list=PLyNCaos0HorXVM4IUNrjqbhMu641lPd95
#dinuzeno
89. Kwa Kalvari
1. Muda mwingi nilipotea,
Sikufahamu msalaba,
Wala aliyenifilia,
Kwa Kalvari.
Rehema bure na neema,
Samaha nalo nilipewa,
Ndipo aliponifungua
Kwa Kalvari.
2. Kwa neno lake Bwana Mungu,
Nilijiona mimi mwovu,
Nikageuka na kutubu,
Kwa Kalvari.
3. Yote kwa Yesu namtolea,
Ndiye mfalme wa pekee sasa,
Kwa furaha nitamwimbia,
Wa Kalvari.
4. Jinsi pendo lilivyo kuu,
Neema ilishuswa toka juu,
Alitufanyia wokovu
Kwa Kalvari.
Shared From Tenzi za Rohoni Toleo Jipya. Click this link to download https://play.google.com/store/....apps/details?id=com.