Latest videos
Notre Seigneur et Sauveur Jésus-Christ, est Alpha et Oméga, la mendicité et la fin. Il est digne d'être adoré, donc adorons-le en esprit et en vérité.
Truly our God Jehovah is worthy to be worshiped.
PLAYING SEBENE LIKE PRO
I deed you will be blessed a lot from this video.
Our God is the beginning and the end, He is almighty God and He is worthy to be praised.
Mwombe Mungu asikupe mke wa jinsi hii
Raha ya ndoa ni kushirikiana na kuwa kitu kimoja. Pale wanandoa wanaposhindwa kushirikiana Kitanda kimoja hubomoa ile Bond baina ya Mume na mke.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
SAUTI YA SADAKA
Kiini cha mafanikio ni kujitambua wewe ni nani? Mara nyingi sana nawaona vijana wanapoenda kwenye interview wanashindwa pale wanapoulizwa wao ni kina nani. Je ungependa ufanikiwe?..
SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Mwenge TAG-Mahubiri ya tarehe 20Jan2013
SAIKOLOJIA YA MWANAMKE WANAUME WENGI HAWAIJUI KATIKA MAPENZI
Wazazi wengi wamekuwa wakiwalea watoto wao katika malezi ya kudekeza/Kuruhusu bila kujua kuwa wanaaaribu maisha ya watoto. Asilimia kubwa ya wazazi wamekuwa wakiwapa watoto kila kitu watakacho.
Mch na Mwl MITIMINGI p. +255713 18 39 39
Maboresho ya mahusiano na ndoa na Familia.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/pastordaniel...
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo
EAGT CITY CENTER WAKIMTUKUZA MUNGU KATIKA IBADA MAALUMU YA SHUKURANI KWA MUNGU
TAFADHALI EPUKA MATAPELI.
Hii ndio channel Pekee ya PASTOR TONY KAPOLA. Pastor Tony Kapola yuko MOROGORO,TANZANIA na Hizi ndio number zake Pekee:
FOR INFORMATION: +255(0)659085731 or +255(0)713702187
FOR OFFERINGS: +255(0)762153539
KARIBU.
Maneno unayoongea yanaweza yakajenga au yakakubomoa. Linda kinywa chako.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. #WCC
#GodwillMedia #RevDanielMgogo #DanielMgogo
Rev. DANIEL MGOGO - WAKATI WA TENDO LA NDOA KILA MTU ANATAKA AHUDUMIWE YEYE.
@Godwill Media
Upendo kwa mwanaume ni Multipurpose, anaweza akawatamani wanawake watano kwa wakati mmoja. Je mwanaume afanye nini ili aweze kubaki na mmoja tu?
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor & Counseling Psychologist #WCC +255 713 18 39 39
HAIJALISHI MATATIZO UNAYOYAPITIA SASA BADO UNAO UWEZO WA KUKUFANYA UFANIKIWE NA KUWA KILE UNACHOKITAKA.
CV YA YUSUPH ILIKUWA NI MBOVU SANA LKN BADO ALIKUJA KUFANIKIWA KATIKA UONGOZ WAKE.
SUMU YA MARAFIKI WABAYA
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC $ Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
Mchungaji na Mwalimu Mitimingi akimfunda binti siku ya kitchen party ya Dr Ester. Vidonge vitatu vinavyommaliza mwanaume atulie kwenye ndoa. Vitu vinavyoweza kujenga au kubomoa ndoa yako.
Somo hili ni baadhi ya vipande vilivyokatwa kwa ajili ya mtandaoni. Kwa somo zima wasiliana nasi kwa 0713183939 VHM.
Moja ya sababu inayowafanya mabinti wasiolewe ni hii hapa.
MCHUNGAJI SUBIRA MITIMINGI WCC
MAFUNDISHO YA WANANDOA/TENDO LA NDOA
USIOGOPE MAWIMBI NA DHORUBA, MUNGU YUPO KUKUINUA UTAVUKA
Mchungaji Subira MITIMINGI
Upendo Usio na masharti, watu wengi hupenda wenzi wao kwa kuangalia baadhi ya vitu, kama makalio, Umbo nk. Je ni upendo upi haswa ambao tunapaswa kuufata?
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39
Wanaume wengi hawajali hisia za wake zao, kujua amekula nini, amevaa nini amelalaje? Hawawapigi wake zao kwa fimbo lkn wanaumiza hisia zao. Je ni kwa kiwango gani hisia za wake zao zinaumizwa kwa kutokujali? Msikilize mchungaji na mwalimu Mitimingi
Usisahau Kusubscribe kwa mfululizo wa masomo haya. JE SINDANO YA 3 NI IPI?
kwa Ushauri (Counseling Appointment wasiliana na COUNSELING PSYCHOLOGIST KWA +255 713 18 39 39)
Mch Na Mwal DR. MITIMINGI p. VHM
Mahusiano yana sehemu kubwa sana katika kujenga au kubomoa kipaji chaji.
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Wapo vijana waliochumbia mke kwa kuangalia sifa za ndani tu, wakashindwa kuangalia zile za nje. NB. Unapooa au kuolewa hauowi roho, bali unaoa mwili. Kwa hiyo ni vyema sana kwa vijana kuangalia sifa zote mbili za ndani na za nje.
Mchungaji na Mwalimu Mitimingi P. VHM 0713183939
WANAWAKE WENGI WAPO VIZURI KIUCHUMI LKN WANATESEKA SANA KWENYE NDOA ZAO
MCH. RICHARD HANANJA AVUNJA MBAVU WALIOSHIRIKI KONGAMANO LA WANANDOA YAANI MARRIAGE REVIVAL DINNER PARTY 2022 ILIYOFANYIKA KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" SIKU YA IJUMAA 11.03.2022