Latest videos

proshabo
2 Views · 1 year ago

Hakunaga UJUMBE MAARUFU duniani ila tu KUNA CHANGAMOTO MAARUFU kwenye maisha zinazohitaji MAJIBU Kila Wakati, hivyo kila mwenye HEKIMA apatapo nafasi hutoa majibu yatokanayo na HEKIMA ya Mungu ndani yake.
#Ndoa
#PastorTonyKapola

proshabo
1 Views · 1 year ago

#mitimingi #petermitimingi #wcc #rip

proshabo
2 Views · 1 year ago

Moja ya changamoto kubwa inayozikabili ndoa za leo - VIJANA wanaingia kwenye ndoa kabla hawajakomaa. NDICHO CHANZO KIKUBWA CHA MIGOGORO KATIKA NDOA.

Mch na Mwl. DR. MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
5 Views · 1 year ago

TALENT V/S SPIRITUAL GIFTS - UNAWEZAJE KUGUNDUA KIPAJI CHAKO?

proshabo
3 Views · 1 year ago

SOMO: Siri iliyomo ndani ya fungu la Kumi

Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

proshabo
5 Views · 1 year ago

TANZIA. Mchungaji Peter Mitimingi Afariki Dunia. R.I.P Pastor Mitimingi

Jana alikua kwenye ibada akifundisha kuishinda roho ya hofu kuhusu covid19 alionekana mwenye afya imara #Kweli hakuna ajuae la mbele yake.
👇👇👇👇
https://youtu.be/B5ors8RoRxk

proshabo
2 Views · 1 year ago

Moja ya sifa kuu iliyotawala ndani ya Sangwini ni UCHESHI. Sangwini akiingia sehemu yeyote ile ni mcheshi, anaongea sana hata kwa watu ambao hawajui ndio mara ya kwanza wanakutana. COUNSELING CLASS - 2017 UJUZI WA KUISHI NA WATU WENYE HAIBA MBALIMBALI

proshabo
4 Views · 1 year ago

Ni maneno aliyoongea kuhusu matumizi ya sanitizer kwa waumini wake kabla ya kuingia kanisani kujikinga na #coronavirus

proshabo
3 Views · 1 year ago

TAZAMA BIKRA FEKI INAVYOTENGENEZWA NA WACHINA.. MCH PETER MITIMINGI AWAASA VIJANA WASI..........

proshabo
2 Views · 1 year ago

UMEMALIZA KAZI DUNIANI

proshabo
2 Views · 1 year ago

JIFUNZE KUWEKA HAKIBA HATA KAMA KIPATO CHAKO NI KIDOGO - MATUNDU MADOGO MADOGO HUZAMISHA MELI

proshabo
5 Views · 1 year ago

USISAHAU KUSUBSCRIBE KUPATA HABARI ZETU KILA MUDA/DO NOT FORGET TO SUBSCRIBE TO GET MORE VIDEOS
#Mitimingi
#JrawwTz
#chanzo

proshabo
3 Views · 1 year ago

Mwanaume Tamaa yake ipo kwenye macho, Aone ndio avutwe. WAMAMA wengi wakiwa nyumbani kwao hawapendezi, hawawavutii waume zao. Hii inapelekea wanaume wengi kuwakinai wake zao. WAKIENDA NJE, Wanavutiwa na wanawake wa nje. Ni vyema mwanamke ukawa msafi wakati wote USAFI WA NJE na USAFI WA NDANI.

Mch na Mwl Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist (Speaking at Kitchen Party of BETH) +255 713 18 39 39.

proshabo
5 Views · 1 year ago

Wanaume wengi wamekuwa wakiwadharau wake zao, kwa kutowaonesha upendo. Lkn Jukumu la Pili la mwaume ni kumpenda mke wake. WAKOLOSAI 3:19.

Mwanamke yeyote yule mbali na wale wanaotaka pesa wanatekwa na vitu vi3 (LCC)
Mch Na Mwl MITIMINGI p. VHM +255 713 18 39 39

proshabo
6 Views · 1 year ago

Misingi Mitatu ya IMANI KATIKA MAONO
Ukitaka maono yako yafanikiwe macho yako usipeleke kwa mtu
1. Mungu ndio Chanzo cha maono yako
2. Mwamini Mungu na Sio mtu ( Macho yako yaelekeze kwake)

SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA - Sehemu ya 2

By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist & Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39

proshabo
2 Views · 1 year ago

Vijana wengi wa leo - wanawapima wadada kwa kutaka kuonja Tendo la ndoa kwa kigezo cha kuolewa. Vijana wanaonja na kuwaacha wadada kwenye mataa wakiwa na majeraha.

Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39

proshabo
4 Views · 1 year ago

Hakika Mungu haziakiwi, tazama ujionee




Showing 65 out of 66