Latest videos
Misingi Mitatu ya IMANI KATIKA MAONO
Ukitaka maono yako yafanikiwe macho yako usipeleke kwa mtu
1. Mungu ndio Chanzo cha maono yako
2. Mwamini Mungu na Sio mtu ( Macho yako yaelekeze kwake)
SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA - Sehemu ya 2
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Counseling Psychologist & Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
NENO LA MWISHO ALILOFUNDISHA MCHUNGAJI DR PETER MITIMINGI KABLA YA MAUTI
Hakika Mungu haziakiwi, tazama ujionee
MSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO
Tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mchungaji Peter Mitimingi, Tunatoa Pole kwa Familia na kwa watanzania wote kwa ujumla.
#MITIMINGI
Vijana wengi leo wanasubiri kufanya kazi ambazo ni za vipato vya Juu tu. zhawana malengo kabisa ya kufanya kazi za hali ya chini wakati hawana kazi yoyote iwaingiziayo kipato.
SOMO: VIKWAZO ZA MAFANIKIO KWA VIJANA
By Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
Roho mtakatifu anapoachilia uponyaji amini unakuwa umepona. Usikose Jumapili ya Ujazo wa RoHO MTAKATIFU siku ya Jumapili 15 April, 2018. katika ukumbi wa Kebby's Hotel uliopo Bamaga, Mwenge.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Ili uweze kutimiza ndoto/maono katika maisha yako unahitaji aina 5 za watu sahihi watakaokufanya ufike kwenye destination.
SOMO: MAONO YANAYOTEMBEA
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
Somo:SIRI ILIYOMO NDANI YA FUNGU LA KUMI (ZAKA)
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC +255 713 18 39 39
#rip #petermitimingi
Peter Mitimingi from Tanzania shares his gratitude for the encouragement and support received from generous donors of the Willow Creek Association.
Uchumba wa Muda mrefu
https://youtu.be/jxebSV6ROOc
Video from Mc Teo Muhaya Mweupe
Mchungaji na mtaalamu wa Saikolojia Mitimingi amefunguka sababu mbalimbali zinazoweza kusababisha tatizo la nguvu za kiume,Msikilize Hapa.
Ayubu 1:21 akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.
More updates:
* Blog: https://www.gospomedia.com
* Gospo Media App - http://bit.ly/2p6Hjkm
* Facebook: http://bit.ly/2yUN1aL
* Instagram: http://bit.ly/33uYSdN
Mch na Mwl. Dr MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC $ Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
Ushawahi kujiuliza kwa nini Viongozi wengi hawafanikiwi? Makanisa Mengi hayakuwi? Biashara nyingi hazikuwi? Wanatimiza miaka 10 ya biashara, miaka 10 ya uongozi wao lkn ukiangalia maendeleo katika organization yapo pale pale.
KATIKA KITABU CHA "JINSI YA KUZIVUTA FURSA NA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKO" Nimechambua kwa undani sana kwa nini watu hawafanikiwi katika uongozi wao. Fursa zipo lkn haziwavuti.
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. +255 713 18 39 39
LKN NI VIGUMU KWA MWANAMKE KUISHI NA MWANAUME ASIYE NA PESA KWA SIKU 30
Kwa kuwa sangwini ni mtu wa watu, mshahara wake huishia kwa watu. Akipita sehemu akikuta watu wameboreka, aatawanunulia vitu, chakula NK.
Ukizijua haiba za watu utachukuliana nao, utawasaidia lkn cha muhimu zaidi utaishi na watu vizuri.
Mch na Mwl DR MITIMINGI p. Counseling Psychologist +255 713 18 39 39
#@diplomatic tv
Ni kama aliona hofu ya kufa ndani yake... sikiliza utaelewa... #daahinasikitisha
Haya ni miongoni kwa maneno ya Mchungaji Peter Mitimingi akiwa katika jukwaa la Kitchen Party Galla.
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.
#ESTATV #PETER #MITIMINGI
Mtu anaweza kupitia magumu leo! Lkn kesho yake haitakuwa vile alivyo sasa!
Mch na Mwl. Dr. MITIMINGI p. Senior Pastor #WCC & Counseling Psychologist #BLCCC +255 713 18 39 39
MCHUNGAJI PETER MITIMINGI AFARIKI DUNIA MANENO YA DAKIKA ZA MWISHO/TUMUOMBE MUNGU/CORONA
#LIVE : Kwa Mara ya kwanza Mke wa Mchungaji Peter Mitimingi aanika kila kitu
DADAZ (5:00 Asubuhi - 6:00 Mchana)
#DADAZ
https://bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : https://bit.ly/2XbYro5