Latest videos

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mfululizo huu wa Mada ya Jinsi ya Kuishinda dhambi ya UZINZI inayofundishwa na Mwalimu Dickson C Kabigumira wa Kanisa la ABC, Utakuwa ukikujia kupitia chaneli hii, Tafadhali subscibe kwenye chaneli yetu uwe wa kwanza kupata mafundisho mapya kila yakiwekwa.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mfululizo huu wa Mada ya Jinsi ya Kuishinda dhambi ya UZINZI inayofundishwa na Mwalimu Dickson C Kabigumira wa Kanisa la ABC, Utakuwa ukikujia kupitia chaneli hii, Tafadhali subscibe kwenye chaneli yetu uwe wa kwanza kupata mafundisho mapya kila yakiwekwa.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Mfululizo huu wa Mada ya Jinsi ya Kuishinda dhambi ya UZINZI inayofundishwa na Mwalimu Dickson C Kabigumira wa Kanisa la ABC, Utakuwa ukikujia kupitia chaneli hii, Tafadhali subscibe kwenye chaneli yetu uwe wa kwanza kupata mafundisho mapya kila yakiwekwa.

proshabo
3 Views · 1 year ago

#HaleluyaTv #ProphetRolinga #OmegaMinistriesChurchofAllNations #OCOAN

Kuendelea kupata Shuhuda mbalimbali na Maneno zaidi, tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamii:-
Facebook : https://www.facebook.com/prophetrolinga
Instagram : https://www.instagram.com/prophetrolinga/
YouTube : https://www.youtube.com/c/HaleluyaTv
Audiomack : https://audiomack.com/prophetrolinga

proshabo
3 Views · 1 year ago

Juu ya yote unamhitaji YESU katika namna hii ili uishinde dhambi.

proshabo
2 Views · 1 year ago

MBINU 5 RAHISI ZA KUISHINDA DHAMBI NA KUWA MTAKATIFU KIRAHISI MNO - Apostle Johaness John

proshabo
1 Views · 1 year ago

Dhambi si kile tutendacho tu, bali ni vile hasa tulivyo. Nini nini kinapswa kuondolewa katika miili yetu ili asili ya kupenda dhambi iondolewe.

Wakati fulani tunapanga, tunanuia, tunashauku, na tunaamua kutotenda dhambi tena lakini katika utekelezaji miili yetu hufanya tofauti na tulivyopanga, kuna jambo zaidi la kujua katika asili ya mwanadamu ili tujijue ni kipi cha kushughulikia katika hatua za kuishinda dhambi.

Somo hili hutelezea shida iko wapi na nini kifanyike katika asili ya mwanadamu ili aweze kuishinda dhambi.

proshabo
5 Views · 1 year ago

Wengi wakiulizwa dhambi ni nini husema ni Uasi wa sheria 1 Yoh 3:4, warumi 7:7,8. Ni jibu sahihi lakini halina kina cha kushughulikia mzizi wa dhambi ili kumletea mtumwa wa dhambi ukombozi.

Kujua dhambi ni nini, kwa kina katika shina lake ni hatua muhimu kuelekea kuishinda dhambi, kuielewa juu juu hupelekea kuishughulikia juu juu...

KUJUA MZIZI WA MAANA YA DHAMBI, ILI KUISHUGHULIKIA ING'OLEWE MAISHANI MWAKO,FUATILIA VIDEO HII

proshabo
2 Views · 1 year ago

Hivi bas, tuazidi kutenda dhambi maanake hakuna kitendo tutendalo laweza kutuokoa kutoka dhambi? Paulo ajibu swali hili katika kitabu cha warumi ambalo ndilo mwongozo wa majadiliano wa kipindi cha leo. Jiunge nasi Tubarikiwe

proshabo
1 Views · 1 year ago

Subscribe katika channel yetu ya kanisa la AREMA - Hema la Uponyaji na Ukombozi ili uendelee kupata mafundisho ya Neno la MUNGU

proshabo
4 Views · 1 year ago

Unaweza kunifuatilia katika mitandao yangu ya kijamii

Like my Facebook: https://web.facebook.com/jnanauka/
Follow my Instagram: https://www.instagram.com/joelnanauka_/
Subscribe my YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCned...

#JoelNanauka#Maarifa#SeeYouAtTheTop

proshabo
2 Views · 1 year ago

Katika Kitabu cha WAEFESO 5:3 imeandikwa “Lakini uasherati usitajwe kwenu kamwe, wala uchafu wo wote wa kutamani, kama iwastahilivyo watakatifu;”. Mtume Paulo anatuasa kuwa kwa watakatifu neno la uasherati au uchafu lisitajwe kamwe. Neno uasherati au uzinzi kwa mara nyingi hutumika kumaanisha jambo moja. Uasherati ni pale tendo la ndoa likifanywa na mtu kabla hajaoa au kuolewa. Uzinzi kwa upande mwingine, ni tendo la ndoa likifanywa na mmojawapo wa wanandoa pamoja na mwanaume/au mwanamke asiyehusika katika hiyo ndoa. Hata hivyo Biblia inasema kila dhambi ina mshahara wake ambao ni mauti.

More updates:
* Blog: https://www.gospomedia.com
* Gospo Media App - http://bit.ly/2p6Hjkm
* Facebook: http://bit.ly/2yUN1aL
* Instagram: http://bit.ly/33uYSdN

proshabo
3 Views · 1 year ago

Jinsi ya kuishinda roho ya Uzinzi na Uasherati - (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)




#mahubiri #fredricksimon #pcct #uzinzi #uasherati

proshabo
2 Views · 1 year ago

TOLPM 0754855268

proshabo
10 Views · 1 year ago

Mfululizo huu wa Mada ya Jinsi ya Kuishinda dhambi ya UZINZI inayofundishwa na Mwalimu Dickson C Kabigumira wa Kanisa la ABC, Utakuwa ukikujia kupitia chaneli hii, Tafadhali subscibe kwenye chaneli yetu uwe wa kwanza kupata mafundisho mapya kila yakiwekwa

proshabo
3 Views · 1 year ago

Kwa Maombi, Maombezi, Ushauri wasiliana nasi kwa
Mobile: +255 764 711 544
E-mail: rgcm0717@gmail.com

Karibu usikilize Neno la Mungu kupitia:

Youtube: http://www.youtube.com/c/RGCMTV​
Facebook: https://www.facebook.com/rgcministry
Instagram: https://www.instagram.com/rgcministry
Twitter:https://twitter.com/rgcm_ministry
TikTok:https://www.tiktok.com/@rgcministry
Online Radio:http://rgcministry.ezyro.com/?i=1

SADAKA
M-PESA +255 (0) 764 711 544

CRDB BANK ACC.NO: 0152236827400 (JINA:DANIELY JACKSON MREMA. MUNGU AKUBARIKI

proshabo
2 Views · 1 year ago

Thisdaso muccobs choir TMC from Moshi

proshabo
2 Views · 1 year ago

Matusi ni dhambi kama dhambi nyingine. Watu wengi wataenda motoni kwa sababu ya dhambi ya matusi. Mungu hataki tutukane!!

proshabo
39 Views · 1 year ago

Song: Pendo Kuu
Artist: Mamajusi Choir


Song Lyrics:

Verse 1
Pendo kuu la Yesu
lilitosha Kalvari
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alinipenda Yesu
Akaingia gharama
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari

Verse 2
Yesu Atuchunga,
Mchunga Wetu
Naye Atufuta
machozi yetu
Mkononi Mwake
hatuna hofu
Daima twapata
kwake wokovu


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

Verse 3
Namtolea Yesu
Nampa moyo wote
Ntampenda Yesu namwandama kila saa
Chini ya msalaba
nataka simama
Ndiye mwamba safarini
Kwa kivuli chema


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

Verse 4
Nataka nifahamu
nizidi kupambanua
Mapenzi Yake nifanye
yanayompendeza
Nataka nikae naye
kwa mazungumzo
Nizidi kuwaonyesha
wengine wokovu Wake


Chorus:
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi
niliupata Kalvari
Alilipa deni zangu,
kwa gharama ya mauti
Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari Msamaha wa dhambi niliupata Kalvari

proshabo
2 Views · 1 year ago

Acha kutenda dhambi

proshabo
2 Views · 1 year ago

Kuendelea kupata mafundisho yangu mazuri yanayohusu mahusiano yako na Mungu,Utakatifu,Uchumi na Biashara kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: Daniel Mgogo https://web.facebook.com/revdanielmgogo/
Instagram: Pastor Daniel Mgogo https://www.instagram.com/pastordanie...
YouTube : Pastor Daniel Mgogo https://www.youtube.com/channel/UCeNr...
#PastorDanielMgogo#ImaniYaKweli#InjiliYaKristo

proshabo
2 Views · 1 year ago

Corona isituogopeshe Mungu yupo -Nabii Edward

proshabo
9 Views · 1 year ago

proshabo
2 Views · 1 year ago

Gurah Studios +254722493134

#gctvmedialtd #sdashorts #sdasongs

proshabo
6 Views · 1 year ago

ACHA DHAMBI,ni nyimbo inayo timiza agizo la Yesu kutoka katika kitabu cha MATHAYO 28:18-20.


Have a nice day!
My wish is that the most recent day, the whole world will sing prayer songs about Jesus for a world of peace, happiness and development.
And I want to give a small part of my strength to support those less fortunate so I build this prayer channel.
Please support, help me register for 100,000 Suscribe
https://youtu.be/Z0R96WeRzvY
https://audiomack.com/grant-mw....aisanila/song/acha-d
https://www.instagram.com/grant_charles_tz/
Contacts: +255 (0) 756012723.

proshabo
3 Views · 1 year ago

proshabo
2 Views · 1 year ago

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI WAKO ALIKUJA DUNIANI KWA AJILI YA KUMKOMBOA MWANADAM ATOKE KWENYE UTUMWA WA DHAMBI ILI AKUWEKE HURU NAWE UTAKUA HURU KWELIKWELI.. MUAMINI YESU MFANYE AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO ILI UWE SALAMA NAYE ATAKUWEKA HURU NAWE UTAKUA HURU KWELIKWELI

proshabo
80 Views · 1 year ago

Ili uweze kuisapoti channel hii na vipindi vyetu vyote tafadhali wasiliana nasi kupitia
Namba- 0674484657

Kwa video zetu zote za mafundisho ya neno la MUNGU tufuatilie kupitia-:

Facebook-kindii media

Instagram- kindii_media

WhatsApp-0674484657

wasiliana nasi kupitia
namba-0674584657
Email-emma.kindii@gmail.com
#acha dhambi
#Daniel
#Achilembwe

proshabo
0 Views · 1 year ago

Pastor Frank Evarist Mpwapwa




Showing 83 out of 84