Latest videos

proshabo
6 Views · 1 year ago

#kawe
#mwakawabarakazakuongezekanakuzidishwa
#utatembeanajeshilisiloonekana
#utatawalanakumiliki
#ariseandshinetanzania

proshabo
7 Views · 1 year ago

Inapotajwa orodha ya vijana wanasiasa ambao nyota zao zilianza kung’ara katika Serikali ya Awamu ya Tano, Jokate Mwegelo ni miongoni mwa watakaokuwepo kwenye orodha hiyo.

Ni kati ya wakuu wa wilaya vijana ambao wameonyesha uwezo mkubwa kiutendaji na kuzidi kujenga imani kwa vijana kwamba wanapopata nafasi wanaweza kufanya makubwa.

Machoni mwa wengi mwanadada huyu alianza kuonekana katika mashindano ya urembo akitwaa mataji ya Miss Kurasini, Miss Temeke na hatimaye akaibuka mshindi wa pili katika kinyang’anyiro cha Miss Tanzania mwaka 2006.

Sanaa haikuishia hapo kwa Jokate kwani alionekana pia kwenye filamu na muziki baadaye akajitosa kwenye siasa na mwaka 2017 kuteuliwa kuwa kaimu katibu wa idara ya uhamasishaji na chipukizi wa Umoja wa Vijana wa CCM.

Nafasi hiyo alidumu nayo kwa miezi na kuondolewa na kukaa benchi kwa miezi mitatu kisha jina lake likawa kwenye orodha mpya ya wakuu wa wilaya iliyotolewa na Rais John Magufuli Julai 2018 akiteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mwaka 2016.

Hatua zote alizopitia kwenye urembo, burudani na hata siasa alikuwa yeye kama yeye lakini mwishoni mwa mwaka 2022 akapata mtoto ambaye kwa kiasi fulani amebadili taswira na mwenendo wa maisha yake.

Mwananchi ilifunga safari hadi Korogwe ambako ndiko anakohudumu sasa kama mkuu wa wilaya na kufanya naye mahojiano maalum akieleza mambo kadha wa kadha kuhusu ujio wa mtoto wake, maisha yake kwa sasa na mtazamo wake kuhusu ndoa na familia.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Unataka kutuunga mkono? Tuchangie chochote kuanzia Tsh 500 nakuendelea. Kiwango chochote ni kikubwa sana kwetu na tunathamini sana. Unawezakutuchangia ukiwa popote pale duniani.

Bofya hapa chini kutuchangia;
https://flutterwave.com/donate/uznwvj3q1jox

proshabo
0 Views · 1 year ago

mfululizo wa mahubiri ya uhuru hatimaye

proshabo
2 Views · 1 year ago

Ufunuo 13:15

Mungu anatengeneza wokovu kwenye kila jambo , hata hili lina wokovu wake.

Ufunuo 16:2
Kinachong’ang’aniwa sasa hivi ni chapa ya mnyama.
Ikija wakati wa kupewa namba ya impinga Kristo itakuwa lazima na wote wakao ikataa wataonekana wajinga.

Kuuwawa kwa watu wakati wa Corona kutaendelea sababu watu hawataki kumjua Mungu wa kweli.

Kutubu na kumjua Mungu wa milele ndio uzima wetu -Yohana 17:3

Watu wengi wanasema wanamjua na kumtumikia Mungu , lakini Je ni Mungu gani? . Kwasababu dhambi kubwa nikutomjua Mungu wa kweli na pekee.

proshabo
1 Views · 1 year ago

#Shalomtvonline #bishopkakobe #vernonfernandes #moyowaibada #waabuduohalisi
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
1 Views · 1 year ago

Shalom TV Online (26-08-2018)
KARIBU IBADA
Live/Mubashara kutoka BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam

proshabo
3 Views · 1 year ago

BWANA Yesu anakuja kuchukua Kanisa tukufu, Takatifu, lisilo na ila wala makunyanzi, Kanisa bila lawama (Efe 5:25-27, 1Thes 5:23). Yatupasa kujitakasa kabisa, Roho, Nafsi na Mwili. Lakini mchakato huu wa Utakaso, hauwezi kuwa mkamilifu, bila mhusika kujijua namna alivyoumbwa, yaani kuzifahamu vizuri sehemu Kuu za Mwanadamu, zinazohitaji Utakaso Kamili, yaani Mwili, Nafsi na Roho. Katika SOmo hili, tulijifunza kwanza Kujitambua, ndipo tukajifunza Namna ya Kufanya Utakaso Kamili, ili ajapo Mwana wa Adam, Yesu Kristo, atukute tupo tayari na tupo safi. Unaweza kujipatia DVD na CD za somo hili, kwa Mawasiliano haya; +255753497655. Mungu akubariki. Tafadhali washirikishe na wenzako wengine wengi.

proshabo
4 Views · 1 year ago

Karibuni sana katika Channeli hii inayomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania {TEC}ikiwa ni moja ya chombo cha Uinjilishaji kwa njia ya Sauti na Video.Pia unaweza kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii kama ifuatavyo.

INSTAGRAM:https://www.instagram.com/kanisa_katolikitz/

FACEBOOK:https://www.facebook.com/BarazaMaaskofuKatolikitz

Whatsup: 0738 916 628...KANISA KATOLIKI TANZANIA

Usisahau Kusubscribe,like na kushare maudhui yetu...

proshabo
3 Views · 1 year ago

Naitwa Askofu Sylveter Gamanywa muangalizi mkuu wa kitaifa wa makanisa ya wapo mission international,furaha yangu ni kukutambulisha kwenywe tovuti yangu mpya ya SADAKA network na ukifungua katika Tovuti hii utakutana na zawadi yangu ambayo ni yam waka huu yenye cheti maalum cha salamu za mwaka mpya utapata cheti hicho bila malipo yoyote.

Karibu kutembelea katika tovuti yangu ya SADAKA network.

proshabo
2 Views · 1 year ago

KARIBU BCIC MBEZI BEACH KWA AJILI YA;
#Fundisho Sahihi la Kristo
#Uponyaji wa Yesu Kristo
#Nguvu za Roho Mtakatifu
KWA USHAURI WA KIBIBLIA NA MAOMBEZI WASILIANA NASI KUPITIA NAMBA HIZI: 0710 126 688 | 0758 751 111
#amani
#upendo
#furaha
#wapotvonline

proshabo
3 Views · 1 year ago

ONA KILICHOTOKEA KWA MTOTO WA KOLENDA- KIGAMBONI SIKU YA 4 TAR.09/10/2021. HII NDIYO HALI HALISI.
FUATILIA--https://youtu.be/v8kvfk4hbkc
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
3 Views · 1 year ago

KAWE YATIKISWA NA KISHINDO CHA MKUTANO WA CFaN SIKU YA KWANZA-TAR.06/10/2021
BONYEZA LINK---https://youtu.be/jGJ5s2zX7jM
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
2 Views · 1 year ago

Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.
2Nyakati 7:15
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
https://linktr.ee/sirizabiblia

Instagram Account
https://www.instagram.com/siri_za_biblia/

SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

proshabo
4 Views · 1 year ago

#Mezayabusara #Shalomtvonline
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
1 Views · 1 year ago

KIPINDI; UJASIRIAMALI, UIMBAJI NA NENO
MNENAJI; MCH; JOSHUA NJUGUNA
NENO KUU: SHINDA VIKWAZO
WAHUSIKA; ATAPE - TANZANIA
KAULI MBIU; AKILI KICHWANI, YESU MOYONI NA PESA MFUKONI
HOST; GOODLUCK NYAMHANDI
COPYLIGHT; SIFA INTER MEDIA

proshabo
2 Views · 1 year ago

BARAZA LA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE TANZANIA.

KONGAMANO LA WACHUNGAJI/MAASKOFU CPCT NA USIMIKAJI NA UZINDUZI WA UONGOZI AWAMU YA NNE.

"PALIPO NA UMOJA BWANA HUAMURU BARAKA ZAB 133:1-3"
CCC - UPANGA - DAR ES SALAAM, TANZANIA

proshabo
2 Views · 1 year ago

#wapotvonline #nuruyajamii
#wapotv #amani #upendo
#nuruyajamii
#Imani
#BCIC
#WapoRadio

proshabo
6 Views · 1 year ago

ZABURI HII INASAIDIA KUFUKUZA HOFU YA AINA YOYOTE

proshabo
2 Views · 1 year ago

#Ibadayashukurani #Shalomtvonline #bishopkakobe #vernonfernandes #moyowaibada #waabuduohalisi
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
2 Views · 1 year ago

#Mubasharajumapilibcic
Kila siku ya Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa saba mchana ndani ya ukumbi wa BCIC Mbezi Beach Bishop Sylvester Gamanywa atakufundisha Neno la Mungu Linaloleta MABADILIKO YA MAISHA! USIPANGE KUKOSA! JUMAPILI IJAYO NI ZAMU YAKO!

proshabo
2 Views · 1 year ago

Falsafa ya Ukombozi-YALIYOJIRI KUZIMU HADI PEPONI--Ufu.1:18b

proshabo
1 Views · 1 year ago

Katika kizazi hiki cha Tekinilojia na Habari tusaidiane kwa pamoja kutumia Mitandao ya kijamii vizuri ili kuinusuru Jamii dhidi ya Changamoto za UTANDAWAZI.

proshabo
2 Views · 1 year ago

ATAKUSHANGAZA- Mzungu aeleza kilichomfanya atoke Ulaya kuja Tanzania.
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
4 Views · 1 year ago

#Mezayabusara #Shalomtvonline
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylves... Yesu ni zaidi ya maji,mafuta,vitambaa na vitu vyote! ndio maana tunatangaza bali sisi tunamhubiri KRISTO. JUKWAA LA KUMHUBIRI KRISTO HILI HAPA...https://www.youtube.com/watch?v=b01YK...
KUUNGANA NA JUKWAA HILI TEMBELEA SHALOM TV ONLINE KISHA Subscribe.. http://www.youtube.com/c/ShalomTvOnline

proshabo
2 Views · 1 year ago

#wapotvonline #nuruyajamii
#wapotv #amani #upendo
#nuruyajamii
#Imani
#BCIC
#WapoRadio

proshabo
3 Views · 1 year ago

Roho Mtakatifu ni zaidi ya Wachawi na Waganga wa Tunguli.

proshabo
2 Views · 1 year ago

Zakaria 4:6 "Kisha akaniambia, “Hili ni neno la BWANA kwa Zerubabeli: ‘Si kwa nguvu, wala si kwa uwezo, bali ni kwa Roho yangu,’ asema BWANA Mwenye Nguvu."

proshabo
2 Views · 1 year ago

#wapotvonline #nuruyajamii
#wapotv #amani #upendo
#nuruyajamii
#Imani
#BCIC
#WapoRadio

proshabo
1 Views · 1 year ago

UJUMBE WA UNABII KATIKA MAJIRA YETU-7
Tafsiri ya Utatu Mchafu na Vitasa Saba na Hukumu zake.
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
7 Views · 1 year ago

UNABII AU UNAJIMU? JAMII YA WAAMINIO NA WASIOAMINI YAINGIA PABAYA | UKWELI WAWEKWA WAZI Na Bishop Gamanywa
Bonyeza LINK-https://youtu.be/Sj5houuTLNs
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu #ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic #ShalomtvTanzania
Kwa Taarifa mbalimbali kuhusu huduma zetu,pamoja na Mafundisho ya KINA ZAIDI,
Ungana na Bishop Gamanywa kupitia https://www.facebook.com/Bishopsylvestergamanywa
TEMBELEA SHALOM TV TANZANIA KISHA
Subscribe👇👇👇👇👇👇👇
https://www.youtube.com/c/shalomtvtanzania

proshabo
2 Views · 1 year ago

UJUMBE MAALUM WA KINABII JUMAPILI HII
Tukio la 4 kati ya matukio 12 ya kinabii yatakayoitikisa dunia ya leo ni; “Vita kuu ya tatu ya dunia”
~ Askofu Sylvester Gamanywa ~

BCIC MBEZI BEACH WOTE MNAKARIBISHWA

proshabo
2 Views · 1 year ago

rose muhando official#bahatibukuku

proshabo
4 Views · 1 year ago

BARAZA LA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE TANZANIA.

KONGAMANO LA WACHUNGAJI/MAASKOFU CPCT NA USIMIKAJI NA UZINDUZI WA UONGOZI AWAMU YA NNE.

"PALIPO NA UMOJA BWANA HUAMURU BARAKA ZAB 133:1-3"
CCC - UPANGA - DAR ES SALAAM, TANZANIA

proshabo
2 Views · 1 year ago

OPERESHENI HAKUNA LISILOWEZEKANA
Nakukaribisha wewe unayetamani sana Mungu ajidhihirishe kwako leo bila kujali dini wala dhehebu ulilonalo wiki hii katika ibaada ya Jumapili wiki hii BCIC Mbezi beach kuanzia Saa 4:00 asubuhi hadi saa 8:00 ya alasiri!
Karibu kwa ajili ya
Fundisho Sahihi la Kristo
Uponyaji wa Yesu Kristo
Nguvu za Roho Mtakatifu
.
Subscribe Youtube Channel Bishop Sylvester Gamanywa
https://www.youtube.com/c/Bish....opSylvesterGamanywaB
Subscribe Wapo TV
https://www.youtube.com/channe....l/UC1nD4IBFbRob4LvxS
#HakunaLisilowezekana
#kupokeanguvuzaRohomtakatifu
#ShuleyaUnyenyekevu #Mubasharajumapilibcic
#wapotv
#bishopsylvestergamanywa

proshabo
3 Views · 1 year ago

SHALOM TV ONLINE (24-06-2018)
Live/Mubashara kutoka BCIC Mbezi Beach, Jogoo, DSM
SEMINA YA KARAMA ZA ROHO
LEO NI KARAMA YA 3 YA MAFUNUO " PAMBANUA ROHO"

proshabo
1 Views · 1 year ago

UJUMBE WA JUMAPILI HII YA TAREHE 28-05-2017
Tukio la 5 la kinabii litakalohusu Hukumu za Mungu kupitia Mihuri 7, Baragumu 7 na Vitasa 7. ~Askofu Sylvester Gamanywa

Showing 89 out of 90